Kwaio ili uthibitishiwe kama Mungu yupo unataka nichukue kitu ambacho hakipo?Huo sio ushahidi
Huwezi kuchukua kitu ambacho kipo halafu ukatolea maelezo ambayo hayapo kama ushahidi?
Wazee vijijini waliuliwa kwa kudaiwa kua ni wachawi kwasababu macho yao ni mekundu, hapa utaona kua walichukua kitu ambacho kipo kutolea sababu isiyokuwepo kama ushahidi, ni kweli wale wazee wanamacho mekundu lakini kua na macho mekundu hakumaanishi ni mchawi
Maelezo gani kuwa hayapo kwa kitu kilichopo?