Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,579
- 3,926
Hio sheria imetungwa na nani? Mtunzi wa hio sheria ni nani ?Positive na negative
Hio sheria imetungwa na nani? Mtunzi wa hio sheria ni nani ?Positive na negative
Wapi nimesema kua hiyo ni sheria na inahitaji mtunzi?Hio sheria imetungwa na nani? Mtunzi wa hio sheria ni nani ?
Mkuu ebu jibu hili swali kistaarabu sana.
1. Nini chanzo cha uovu??
Mungu huyo Ni Yupi Sasa Allah,Jehovah,au Krishna?Mungu sio kiumbe, ni muweza wa yote na hakuna zaidi yake
tatizo mnaenda ,mbaali sana kwenye kumjua creator...ebu niambie origin yako kwanza.. yaan mwanadamu origin yake ni nn.af tuendeleeBinadamu amepewa akili na nani??
Kama kazi ya akili ni kuchanganua mambo ili kujua ukweli kwanini mkiulizwa maswali hamyajibu ili nasisi tumjue huyo mungu?
We mbona point yako haieleweki?Mkuu, mm sitaki kujibiwa kulingana na Mungu. Mm nataka wasioamini kuwa Mungu yupo, wanipe chanzo cha uovu.
Ujuaji ukizidi sana watu wanaanza ulopokaji kua kuna kua kuna mtu/kitu kipo angani kina control ulimwengu huu na ndicho kilicho muumba binadamu, halafu pia kitu icho kimetengeneza moto wa mileleUjuaji ukizidi sana....
Ujuaji ukizidi sana watu wanaanza ulopokaji kua kuna kua kuna mtu/kitu kipo angani kina control ulimwengu huu na ndicho kilicho muumba binadamu, halafu pia kitu icho kimetengeneza moto wa milele
tatizo mnaenda ,mbaali sana kwenye kumjua creator...ebu niambie origin yako kwanza.. yaan mwanadamu origin yake ni nn.af tuendelee
Kama ibatofautisha kati ya baya na jema hio ni nini?? Kama haihitaji mtunzi imejiweka yenyewe?Wapi nimesema kua hiyo ni sheria na inahitaji mtunzi?
Wewe usieamini Mungu, jibu kwa upande wako, usiegemee kwa wanaoamini Mungu.Chanzo cha uovu ni DINI
Unaamini kuna uovu na wema??We mbona point yako haieleweki?
Kwanza tuekane sawa mkuu sababu kubwa ya uovu inaanzia kwenye nafsi, shetani ni kichocheu tu cha kufanya maovu hivyo nafsi ina uhuru wa kukubali kufanya uovu ama kukataa. Kwa kuwa shetani alikuwa wa jamii ya Majini ndani ya kundi la Malaika, ni wazi alikuwa na aina fulani ya cheo kama wasemavyo baadhi ya wanazuoni. Shetani yeye alikuwa ni kiumbe wa hiyari tofauti na Malaika ambao hawatendi kwa hiyari.Unakwama wapi mtumishi??
Kiburi na majivuno ya shetani yalimuingiaje? Kulikua na shetani mwingine aliyempandikiza hayo majivuno?
Maana tumeona ili uovu utokee lazima awepo shetani wakusababisha sasa hayo majivuno na kiburi kilisababishwa na kitu gani hadi kikamuingia shetani??
Jambo Ovu na Jema tofauti ni Makubaliano tuUnaamini kuna uovu na wema??
Tuanzie hapo.
Kwani mwanzo ulivyokua unauliza kipimo cha mabaya ulikusudia nini???Kama ibatofautisha kati ya baya na jema hio ni nini?? Kama haihitaji mtunzi imejiweka yenyewe?
Nafsi yenyewe ni chanzo cha uovu kwa sababu ya ule uelekeo wake mbaya. Katika Malaka yake, Effects of Sins on the Human Personality: In the Light of Islam and Modern Psychology, Dkt. Gohar Mushtaq wa Chuo Kikuu cha Rutgers, Marekani, kaandika,Unakwama wapi mtumishi??
Kiburi na majivuno ya shetani yalimuingiaje? Kulikua na shetani mwingine aliyempandikiza hayo majivuno?
Maana tumeona ili uovu utokee lazima awepo shetani wakusababisha sasa hayo majivuno na kiburi kilisababishwa na kitu gani hadi kikamuingia shetani??
Kilitokana na nafsi yake baada ya kushawishiwa na nini?
Kitu gani kilishawishi nafsi yake hadi akafanya ule uovu?
Swali lako la msingi ni kwamba “ni nani aliyemchochea Shetani kukaidi maamrisho ya Mwenyezi Mungu?Unakwama wapi mtumishi??
Kiburi na majivuno ya shetani yalimuingiaje? Kulikua na shetani mwingine aliyempandikiza hayo majivuno?
Maana tumeona ili uovu utokee lazima awepo shetani wakusababisha sasa hayo majivuno na kiburi kilisababishwa na kitu gani hadi kikamuingia shetani??
Nasubiri jibu la swali.Kwani mwanzo ulivyokua unauliza kipimo cha mabaya ulikusudia nini???
Kwani kila kitu lazima kiwe na mtunzi?
Na ikihitaji mtunzi unafikiri nae huyo mtunzi atakua amejiweka mwenyewe?