Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,190
- 132,304
Errors detected once again. Swali umeniuliza unakubali kuna uovu na wema (mpaka hapa hukufafanua uovu ninini mpaka nilipo kuuliza) Nimekuuliza uovu ni nini ili niweze kujua unacho kimaanisha swali langu halitoi jibu la swali uliloliuliza bali linatoa maana ya swaliHujaomba ufafanuzi wa swali,kwani kufafanua hakuhusiani na swali. Wewe umeulizwa swali ukauliza swali. Huu ni utoto.
Mimi ndiye nakupa nafasi nyingine tena ya kujibu swali lile lile, na nalirudia kwa mtindo ule ule nione kama limelenga kutoa jibu la swali lako. Uovu ni nini???Nakupa nafasi sasa,omba ufafanuzi wa swali au useme hujui.
hujaweza kutoa maana ya uovu tayari umerukia kwenye kutokuwepo na kuwepo kwa uovu ina maana una bahatisha???Kwamba hujui nini maana ya uovu na wema ? Je ukipewa maana ya uovu na wema ndio utajua kwamba viwili hivyo vipo ? Naomba ufafanuzi tafadhali.