Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Neno 'MUNGU' Sio shida....Hili Ni kapu linaloweza kubeba maana yoyote ile
Hata Mimi naweza Sema "Mimi ni Mungu wa Maisha yangu" Au "Nyota ya Alpha centaury" ndie iliyotuumba
Hakuna shida as long as ni Imani yako tu na unaamini hivo
Shida inakuja unapoonza kubeba mabango na Maspika ukiwahubiria Watu kuwa Imani yako ndio sahihi na nyingine zote hazifai....Kuwa tafsiri yako ya neno Mungu ndo sahihi na wengine wote wanapotosha
Na kuanza kutoa povu na kuwashangaa hata kuwalaani Watu tofauti na imani yako
Hapo Sasa wenye hekima zao,watakuweka kati na kukuomba uthibitishe kuwa Mungu unayeamini yupo kweli na kafanya hayo yote unayohubiri
Kuna Sahani Elfu za chuma na zote zinafanana,Vipi wewe utake tuamini kuwa Sahani yako ndo Bora zaidi bila kututhibitishia ubora wake?
Kuna Miungu zaidi ya Elfu kutoka dini tofauti tofauti,Vipi wewe utake tuamini Mungu wako ndio wa kweli kuliko wengine hao 999?
Thibitisha kuwa Mungu wako Yupo? au funga Domo kwenye mada nzito Kama hizi
Neno Mungu haliwezi kubeba maana yoyote tu ile. Unaweza ukawa na sahani ya Aluminium ukadai ni chuma ni steel. Hio haimaanishi kuwa Steel ina maana yoyote
 
Neno Mungu haliwezi kubeba maana yoyote tu ile. Unaweza ukawa na sahani ya Aluminium ukadai ni chuma ni steel. Hio haimaanishi kuwa Steel ina maana yoyote
Ili Mjadala wowote uwe na Maana,Kwanza inabidi uwe na tafsiri ya Kila maneno yatakayo tumika katika Mjadala huo(Keywords)
Huyo Ni Socrate

Sasa tuanzie Hapa "Mungu Ni Nini?...Nipe tafsiri yake?
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Kwahiyo sasahivi mmekuja na msemo kua mungu yupo ila sifa zengine hastaiki??
 
vipi wewe unaamin shetani yupo??????????? na je unaamini kuna uchawi??
 
Uwepo wako ni ushahidi tosha
Hujathibitisha, umelazimisha tu pasipo kuelezea ni namna gani

Hapo unamaanisha Kabla ya uwepo wangu mungu huyo hakuwepo

Uwepo wangu unathibitisha mungu yupo, nisipo kuwepo itatupa jibu gani?
 
vipi wewe unaamin shetani yupo??????????? na je unaamini kuna uchawi??
Shetani na uchawi wote hao ni character wa movie moja ambayo staring ndiye mungu

Behind the scenes hakuna mungu wala shetani ni blah blah tu zimewekwa ili kudumalisha fikra za watu
 
Shetani na uchawi wote hao ni character wa movie moja ambayo staring ndiye mungu

Behind the scenes hakuna mungu wala shetani ni blah blah tu zimewekwa ili kudumalisha fikra za watu
na hayo mambo yanayodaiwa ni ya kichawi na matukio yanayofanana na ivo na wengine paka hukatwa ..huwa unayachukuliaje??
 
Unajua watanzania ni watu ambao tunatawaliwa kifikra na ulimwengu wa nchi zilizoendelea.

Hapo Awali Tanzania kulikuwa almost hakuna mashoga wala Lesbians lakini hivi sasa baada ya uzungu kutuingia mashoga na Lesbians wamekuwa wa kumwaga. Wasanii wetu walikuwa wanaimba nyimbo za kijamii na zenye kuhusiana na maisha yetu. Hivi sasa wasanii wanaimba nyimbo za kimagharibi na cultural traditional music is slowly fading away and replaced by what Westerners introduce into our heads. Hapo awali Vijana tulikuwa tukivaa nguo zetu vizuri na tukiongea kiswahili kilicho nyooka lakini hivi sasa vijana wanavaa suruali zinaanzia chini ya matako chupi nje na wakiongea wanabana sauti na kuslengisha kiswahili. Sasa hii naona munatuletea Ethisms na kujifanya nyinyi ndiyo mumesoma sana Science. Wacheni kutawaliwa kifikra na kuiga mambo ya wazungu.

Labda ni kuulize ni kinachokufanya usiamini Mungu?
Hapo zamani hapakuwa na Yehova wala Allah , lakini walipoingia wazungu na waarabu jamii zikaacha miungu yetu na mizimu yetu ikafuata Miungu waliyofundisha waarabu na wazungu, hapo vip mkuu
 
Wale wasiamini uwepo wa Mungu endeleeni kuamini tu hakuna atakaewalazimisha kumuamini maana kila kitu kipo wazi. Siku utakaporudi kwenye udongo ndo utafahamu kama yupo ama hayupo. Binaadamu umepewa akili ili uweze kuchanganua zuri na baya ndio maana Mungu ameweka Pepo na Moto na atatuhukumu jinsi tunavotumia Akili zetu
 
na hayo mambo yanayodaiwa ni ya kichawi na matukio yanayofanana na ivo na wengine paka hukatwa ..huwa unayachukuliaje??
Uchawi unatokana na fikra zako mwenyewe ambazo zimeshindwa kufikiri jambo na kujua kiundani ukweli wake

Unaweza ukawa unawasiliana na rafiki yako kwa njia ya video call katika kijiji ambacho wananchi wake hawajawahi kuona smartphone, watu wakakuita wewe ni mchawi kwasababu jambo la mtu kuongea na mwingine kwa kuonana kabisa kwa njia ya video call kwao ni jambo ambalo geni
 
Wale wasiamini uwepo wa Mungu endeleeni kuamini tu hakuna atakaewalazimisha kumuamini maana kila kitu kipo wazi. Siku utakaporudi kwenye udongo ndo utafahamu kama yupo ama hayupo. Binaadamu umepewa akili ili uweze kuchanganua zuri na baya ndio maana Mungu ameweka Pepo na Moto na atatuhukumu jinsi tunavotumia Akili zetu

Binadamu amepewa akili na nani??

Kama kazi ya akili ni kuchanganua mambo ili kujua ukweli kwanini mkiulizwa maswali hamyajibu ili nasisi tumjue huyo mungu?
 
Binadamu amepewa akili na nani??

Kama kazi ya akili ni kuchanganua mambo ili kujua ukweli kwanini mkiulizwa maswali hamyajibu ili nasisi tumjue huyo mungu?
Binaadamu amepewa akili na Muumba wake ambae na Mungu, hebu niulize swali lako linalokufanya usiamini uwepo wa Mungu.
 
Chanzo cha uovu ni shetani ambae alimuahidi Mungu kupotosha wanaadamu
Kama chanzo cha uovu ni shetani

Shetani tunaambiwa alikua ni mwema ila ghafla akapata kiburi anbacho ni uovu akamsaliti mungu.

Sasa huo uovu wa icho kiburi cha shetani ulitoka wapi na hapa umesema chanzo cha uovu ni shetani?
 
Back
Top Bottom