Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Kuamini kuna watu wanaamini wao ni Mungu, kwa hivyo kuamini hakuna maana sana.

Unaweza kuamini wewe Magufuli, lakini kama wewe si Magufuli, kuamini tu hakukufanyi uwe Magufuli.

Kwa hiyo, suala si kuamini.

Suala ni, unaweza kuthibitisha?
Nshakujibu hapo juu
 
Mkuu umepotea sana kwenye mijadala hii karibu sana
 
Kiranga nafarijika kuona kuna watanzania wenye akili kama wewe
Waafrika wengi tunaishi kwa mapokeo tu, hatuna uthubutu kabisa wa kuhoi mambo tuliyoyakuta na ndio maana maisha yetu hayana mabadiliko sana na maisha ya mababu zetu

Mzee usipotee sana huku, mimi ni moja ya watu ninao kusoma sana
 
Umejibu swali ambalo sijakuuliza, nililokuuliza umekuwa muungwana kusema ni gumu huwezi kujibu kikamilifu.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo, kwa sababu hayupo.
Nshakujibu kwamba siwez kuthibitisha sababu bado sina uwezo huo

Unataka jibu gani tena
 
Mkuu umepotea sana kwenye mijadala hii karibu sana

Shukurani.

Hakuna jipya, maswali yangu ya siku nenda rudi hayana majibu, hata nikipotea mwaka nikirudi nakuta yale yale tu kama sijapotea.

Kwa hiyo nakuja kuangalia mambo, kila baada ya kitambo.
 
Kiranga nafarijika kuona kuna watanzania wenye akili kama wewe
Waafrika wengi tunaishi kwa mapokeo tu, hatuna uthubutu kabisa wa kuhoi mambo tuliyoyakuta na ndio maana maisha yetu hayana mabadiliko sana na maisha ya mababu zetu

Mzee usipotee sana huku, mimi ni moja ya watu ninao kusoma sana

Pamoja sana. Shukurani.
 
Nshakujibu kwamba siwez kuthibitisha sababu bado sina uwezo huo

Unataka jibu gani tena
Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, kwa sababu hayupo.

Angekuwepo, sio tu ungeweza kuthibitisha, ungekuwa huna hata haja ya kuthibitisha.

Lingekuwa ni jambo la wazi kwa kila mmoja, kiasi kwamba habari ya kuhitaji uthibitisho isingeyumkinika.

Mtu kuomba uthibitisho wa kuwapo kwa Mungu huyo, ni ushahidi kwamba hayupo.
 
Acha tu niamini siku ya mwisho kama moto upo nisiende
 
Ila mkuu vitisho vina nafasi yake na ndiyo hata leo kuna watu wengi hatuibi,kiuwa,kutapeli n.k kwa kuoga kuwa kwenda jela laiti kusingekuwa na jela au adhabu yeyote kwa atakayevunja sheria basi kusingekuwa na uoga kwa watu kufanya uhalifu.
Namchukia mungu wa hivyo! Na mafundisho hayo ya uwongo yanapingana na mungu huyo mnaesema ana huruma na upendo!

A loving God ain't burn his kids by eternal fiery lake! Ana pata faida gani kuwatesa milele?
 
Kwa

Kwa maswali haya uliouliza ni wazi kuwa uelewa wako kuhusu sayansi ni was kutilia mashaka. Wazo kwamba Mungu yupo liko wazi kisayansi
Sayansi inaenda na uthibitisho.

Unaweza kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeuumba ulimwengu huu yupo kweli na si hadithi za uongo tu?

Thibitisha.
 
Namchukia mungu wa hivyo! Na mafundisho hayo ya uwongo yanapingana na mungu huyo mnaesema ana huruma na upendo!
A loving God ain't burn his kids by eternal fiery lake! Ana pata faida gani kuwatesa milele?
Hata angekuwa hivyo ufikiriavyo bado pia kungekuwa na kuna huko kupingana, umelifikiria hilo?
 
Madai kwamba Mungu ni mwenye huruma na upendo ni wazi yanaonekana kwa kila mtu. Ni wazi kwamba, kadiri ya mtu alivyo yaani matatizo au mazuri aliyonayo ni huruma na upendo wa Mungu. Shida kubwa iliyopo kwa watu ni kuwa tunaishi, tunatumikia, tunaelewa na tunaamua mambo kwa hisia. Kwasababu hatiwezi kutumia uwezo wetu wa ndani ya moyo yaani akili ya kina badala take tunatumia hisia basi hatuwezi kumwona Mungu. Na hata pale Mungu anapojidhihirisha waziwazi kwetu tuna kataa kwasababu maisha yetu yote tunatumia hisia. Hisia ni nzuri katika mazingira fulanifulani lakini kamwe hisia haziwezi kuleta manufaa ya mwili na roho wala kwa zenyewe hakuna maarifa. Udhibitisho wa kitu au jambo hautokani na sayansi kama kitu pekee kilichomo ndani yake lakini pekee pale kinapounganika na Mungu.
 
Kushindwa kwangu kueleza origin yangu kunakupaje nafasi ya kushindwa kueleza origin ya mungu??

Nikikwambia mimi sina origin yani nimejileta tu hio itakupa jibu gani??
UMEJILETA KUTOKEA WAP .. jibu kimantik halileti maana.. jibu vizur kwanza
 
Kuamini kuna watu wanaamini wao ni Mungu, kwa hivyo kuamini hakuna maana sana.

Unaweza kuamini wewe Magufuli, lakini kama wewe si Magufuli, kuamini tu hakukufanyi uwe Magufuli.

Kwa hiyo, suala si kuamini.

Suala ni, unaweza kuthibitisha?
mnaenda mbali sana.. wewe unaweza nithibitishia origin ya mwanadamu ?? kabla hutujaenda mbaaali sana..
 
Back
Top Bottom