Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Ndiyo maana nikasema yeye ndiye muumbaji maana ili kiwepo kilichoumbwa lazima awepo muumbaji,sasa ikiwa Mungu yeye pekee ndio muumbaji sasa tutasemaje kuna muumbaji mwengine?
Umejuaje kwamba mungu yuko peke yake kwenye uumbaji... na ni kwanin vilivyopo ni lazima viwe vimeumbwa?
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu

Asante
 
Mawazo kwamba, Mungu hayupo ni upotofu wa baadhi ya watu walio au wanaoelewa kimakosa sayansi. Hawa si tu kwamba wanaelewa kimakosa sayansi, lakini pia hawaelewi sayansi inatokana na nini. Hawa humkataa Mungu kwa madai kwamba, ameshindwa kuwasaidia wanadamu katika matatizo yao kama vile magonjwa, vita, njaa, umasikini, n.k. Wakati huohuo, wao hawatazami; wala hawazingatii namna wao walivyo chanzo cha uharibifu huo-hili hawafikiri kama wanahusika, inasikitisha! Kama unaelewa vizuri mafundisho ya dini sahihi, utaelewa wazi kabisa kwamba, sayansi haiwezi kuwepo bila kwanza kuwepo dini sahihi-Mungu na hivyo sayansi inafafanua na kumdhihirisha waziwazi Mungu kwetu. Pia, watu ni lazima tutafute elimu nzuri, bila ya elimu sahihi hakuna tutakachoweza kujua na kuelewa kuhusu sayansi, saikolojia, falsafa na kisha teolojia. Bila elimu sahihi ya sayansi, saikolojia na falsafa huwezi kujua Mungu. Vinginevyo ufunuliwe.
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Washaelewa somo hawa religious lunatics!

Mwanzoni walikua wanaruka kama kangaroo,sasa wametulia wanajua somo vizuri!

Hahahahaaa
 
Unajua watanzania ni watu ambao tunatawaliwa kifikra na ulimwengu wa nchi zilizoendelea.

Hapo Awali Tanzania kulikuwa almost hakuna mashoga wala Lesbians lakini hivi sasa baada ya uzungu kutuingia mashoga na Lesbians wamekuwa wa kumwaga. Wasanii wetu walikuwa wanaimba nyimbo za kijamii na zenye kuhusiana na maisha yetu. Hivi sasa wasanii wanaimba nyimbo za kimagharibi na cultural traditional music is slowly fading away and replaced by what Westerners introduce into our heads. Hapo awali Vijana tulikuwa tukivaa nguo zetu vizuri na tukiongea kiswahili kilicho nyooka lakini hivi sasa vijana wanavaa suruali zinaanzia chini ya matako chupi nje na wakiongea wanabana sauti na kuslengisha kiswahili. Sasa hii naona munatuletea Ethisms na kujifanya nyinyi ndiyo mumesoma sana Science. Wacheni kutawaliwa kifikra na kuiga mambo ya wazungu.

Labda ni kuulize ni kinachokufanya usiamini Mungu?
KWAMBA HUYO MUNGU HUJUI PIA TUMELETEWA NA HAOHAO WA MATAIFA MAKUBWA??? au unajitoa ufahamu?
 
Huu ni ujinga uliyo kubuhu taka kichwani..................... Elimu gani unayomaanisha?
Utaalamu gani unafikiria..!!
FYI, hao waliokuwa na utajiri na rasilamali na awanaoongoza katika maendeleo ni watu hata darasa la saba hawakuhitimu!!
Naomba ufungue macho yako na utazame watu waliyekuzunguka wapojee..!!
au nikupe mifano chanya....?
mpe mifano hasi, chanya hawezi kukuelewa!
 
mtu aliyesoma biblia vzr akamaliza anAjua kwann Mungu yupo ila hawa wanafundishwa meditation wao wanaamini ktk mungu jua na ndo biblia iliwatabiri vzr sn na tulionywa kabisa mapema...Mungu alikua wise enough kutupa baadhi ya vitabu vya unabii wa siku za mwisho yaan utabiri wa miaka zaid ya 1000mbele huko akijua tu watakuja watu ambao watajifanya watabe lkn kuonyesha mimi kiboko nakutabiria ya mbeleni miaka mingi sana mbele lkn wao watashindwa kujitabiriwa kesho yao tu ipoje?haya ya kuabudu miungu yapo toka zmn na mara kadhaa Mungu alionya...kushindwa kusoma biblia vzr kumeleta shida kubwa watu wanaangamia kwakukosa maarifa leo hii mtu hajui ht mafungu kumi kwenye biblia ila anafundishwa kupinga biblia ili kupokea imani nyingine simple coz hakuijua vzr lzm haone chenga chenga....yataibuka mengi sn ila mafunzo yote mtapinga ila pale kwenye kitu kinaitwa unabii ndo Mungu anaprove yupo..
Vipi wanaoabudu quran wapo kundi gani? Nacho si ni kitabu kitakatifu au?
 
Umesahau hii hapo kabla tulikuwa tunaabudu kwenye miti na mapango, wakaja wamisionari na waarabu. Siku hizi makanisa na misikiti ya kumwaga na kuna wafuasi kindakindaki kuliko walioleta dini hizo. Sio cultural traditional tu hata cultural beliefs zimekuwa faded na hizi zilizokuja na meli.
Mkuu, hapo uliposema kuhusu mababu zetu, is like hata wewe unaamini katika uwepo wa Mungu isipokua huamini hi style ya kisasa ya kuabudu Mungu!? Sina hakika kama nimekuelewa vizuri!

Anyway, nilikua na boss wangu raia wa kuzaliwa wa Australia, siku tu anaingia alijitambulisha, alianza hivi, "naitwa Fulani bin Fulani, ninapenda kitu hiki na kuchukia kile, naamini sayansi na wana sayansi, siamini kabisa katika Mungu na wala huyo mungu hayupo". Alikua boss moja poa sana, sio mbaguzi etc, mimi naamini katika Mungu (haya ni yangu mimi, silazimishi na mwingine aamini kama mimi) so kadiri siku zilivyokua zinakwenda tulianza majadiriano ya hapa na pale na hi ilifuatia siku moja Jumapili alitaka kunitembelea kwangu yeye na mkewe plus with his 3 kids, muda huo aliokua anakuja, mimi nilikua kanisani so ikashindikana that day, siku moja tukiwa kwenye mazungumzo alinambia hivi, "Mazindu, siamini katika Mungu kwasababu sehemu zote ambazo ndio chimbuko la dini/mungu ndio hakuna Amani na hata Misri kabla Musa hajaitwa na huyo Mungu, walikua wanaishi kwa Amani, baada tu ya Musa kuitwa na Mungu ndipo Amani ilipotoweka" So nikamuuliza, "so boss unaamini Mungu yupo kufuatia haya majibu yako"? Akanijibu, "No, I don't believe it, I don't believe in God even his presence" Nikamuuliza tena, "accourding to your statements, you mentioned about peace in relationship with God, where do you get it then? Alishindwa kunijibu swali langu, nikamuuliza tena, "brother, hivi katika dunia hi, kitu gani uliwahi kukisikia jina lake lakini hicho kitu hakipo kabisa, hili swali na lenyewe hakulijibu. Niliachana nae na tukaendelea na Maisha kama kawaida, siku moja one of his subordinates alifanya makossa makubwa sana, na wiki 2 baadae the same guy alifanya makossa makubwa Zaidi, boss wangu huyu alikua na choice moja katika hizi mbili, either yeye awajibike kwa makossa ya yule subordinate wake au amuwajibishe subordinate wake,, nikiwa nae field nilimsikia akitamka maneno haya mara kadhaa, "Ooh my God, help me, Jesus I need your help"Sikuwahi kumuuliza hilo la my God na Jesus kalitoa wapi, mi nami ni mtu mzima sikuona kama ni busara kumuuliza mtu hayo wakati mtu yupo kweny hard timr, well mshkaji aliondoka, alikua Misri na sasa yupo USA but still tunawasiliana vizuri tu. Nilicho jifunza kwa nyie Atheist ni hiki, sio kweli kama hamuamini katika Mungu, mnaamini sana tu ila masharti ya Mungu ndio yamewashinda and hence mnaamua kuesema hakuna Mungu, mkikwama sehemu hua hakuna kimbilio, is either mtakwenda kwa Waganga (shetani) au kwa waombeaji kina Gwajima (Mungu)
 
Gwajima ana Mungu

Dooh we jamaa
 
Gwajima ana Mungu

Dooh we jamaa
Gwajima kasimama kama jina la kiongozi yeyote wa dini so unaweza kuweka yeyote tu unae mfahamu, nimetumia jina lake kwasababu ya umaarufu wake. hivi nikisema mchungaji James au Benyamini, we utamfahamu kweli!? Nilidhani hili jukwaa ni la great thinkers who could think outside the box but i'm sorry cause I was wrong, very sorry
 
Mimi hata grup langu la chuo wananiona wa ajabu hasa pale ninapo wapinga live kuhusu huyo mungu.
Lkn kwasasa naona kuna baadhi wamebadilika na kuwa open mind.

Mwanzon unaonekana km jiti lililokosa adabu, lihuni lkn kadri unavyowatemea facts wakaanza kunielewaa.

Sasa tunaheshimiana na wengi kwasasa hawajishughulishi na mambo ya imani km zaman
Kwa iyo una tafuta wafuasi au una taka kua na wenzako mnao kua na mawazo mamoja sasa wewe ina kuuma wapi mpaka uteme fact na cheche...unapo sema HUYO mungu ...huyo ni nafsi iliopo sasa unapo tamka HUYO ni maana ya uwezo---utajichosha bure kutaka kukama upepo unao tikisa mti na kuujua upoje ila mwisho wa yote mti uangushwa na upepo na majani upeperushwa ila kukamata upepo na kuonesha uma uwezi.....
 
Gwajima kasimama kama jina la kiongozi yeyote wa dini so unaweza kuweka yeyote tu unae mfahamu, nimetumia jina lake kwasababu ya umaarufu wake. hivi nikisema mchungaji James au Benyamini, we utamfahamu kweli!? Nilidhani hili jukwaa ni la great thinkers who could think outside the box but i'm sorry cause I was wrong, very sorry
Sawa great thinker

sisi wengine waduanzi yaan foolish and idiots morests

Ndo tulivyoumbwa na Mungu !
 
Hahahaaa!!,
Wanadamu hupotea katika njia panda za fikra Zao.

Nmefurahishwa na jinsi unavyojieleza na kutaja wafuasi wa Mrengo wako. Kitu pekee ninachoweza kukwambia ni kuwa kila Swali litajibiwa. Ikiwa utataka majibu.

Ukiujua ukweli utakuweka huru, Nao ukweli ni nini basi?

Ukweli ni kumjua asiyekuwepo kwa mambo yaliyopo. Kumtafuta kwa bidii zote kwa akili aliyokupa. Ukweli hauji kwa kumpinga Asiyekuwepo katika njia panda ya Fikra za nyama.

Basi Nakusihi,, angalia sana katika siku zako, siku za mapito zako. usije ukajipoteza kwa yaliyopo machoni pako nawe ukakosa yasiyokuwepo katika macho yako na Akili yako ambayo katika hayo ndio asili ya roho yako.
[emoji23][emoji23][emoji23]bravo broo!!.. Nilijianda kukashifu uzi but ume-play my part
 
Mkuu, hapo uliposema kuhusu mababu zetu, is like hata wewe unaamini katika uwepo wa Mungu isipokua huamini hi style ya kisasa ya kuabudu Mungu!? Sina hakika kama nimekuelewa vizuri!

Anyway, nilikua na boss wangu raia wa kuzaliwa wa Australia, siku tu anaingia alijitambulisha, alianza hivi, "naitwa Fulani bin Fulani, ninapenda kitu hiki na kuchukia kile, naamini sayansi na wana sayansi, siamini kabisa katika Mungu na wala huyo mungu hayupo". Alikua boss moja poa sana, sio mbaguzi etc, mimi naamini katika Mungu (haya ni yangu mimi, silazimishi na mwingine aamini kama mimi) so kadiri siku zilivyokua zinakwenda tulianza majadiriano ya hapa na pale na hi ilifuatia siku moja Jumapili alitaka kunitembelea kwangu yeye na mkewe plus with his 3 kids, muda huo aliokua anakuja, mimi nilikua kanisani so ikashindikana that day, siku moja tukiwa kwenye mazungumzo alinambia hivi, "Mazindu, siamini katika Mungu kwasababu sehemu zote ambazo ndio chimbuko la dini/mungu ndio hakuna Amani na hata Misri kabla Musa hajaitwa na huyo Mungu, walikua wanaishi kwa Amani, baada tu ya Musa kuitwa na Mungu ndipo Amani ilipotoweka" So nikamuuliza, "so boss unaamini Mungu yupo kufuatia haya majibu yako"? Akanijibu, "No, I don't believe it, I don't believe in God even his presence" Nikamuuliza tena, "accourding to your statements, you mentioned about peace in relationship with God, where do you get it then? Alishindwa kunijibu swali langu, nikamuuliza tena, "brother, hivi katika dunia hi, kitu gani uliwahi kukisikia jina lake lakini hicho kitu hakipo kabisa, hili swali na lenyewe hakulijibu. Niliachana nae na tukaendelea na Maisha kama kawaida, siku moja one of his subordinates alifanya makossa makubwa sana, na wiki 2 baadae the same guy alifanya makossa makubwa Zaidi, boss wangu huyu alikua na choice moja katika hizi mbili, either yeye awajibike kwa makossa ya yule subordinate wake au amuwajibishe subordinate wake,, nikiwa nae field nilimsikia akitamka maneno haya mara kadhaa, "Ooh my God, help me, Jesus I need your help"Sikuwahi kumuuliza hilo la my God na Jesus kalitoa wapi, mi nami ni mtu mzima sikuona kama ni busara kumuuliza mtu hayo wakati mtu yupo kweny hard timr, well mshkaji aliondoka, alikua Misri na sasa yupo USA but still tunawasiliana vizuri tu. Nilicho jifunza kwa nyie Atheist ni hiki, sio kweli kama hamuamini katika Mungu, mnaamini sana tu ila masharti ya Mungu ndio yamewashinda and hence mnaamua kuesema hakuna Mungu, mkikwama sehemu hua hakuna kimbilio, is either mtakwenda kwa Waganga (shetani) au kwa waombeaji kina Gwajima (Mungu)
Vema
 
Back
Top Bottom