Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,015
- Thread starter
- #41
Je, Allah anaweza kufanya jambo lolote lile atakalo?Ukweli umekuweka huru leo. Na unaonekana unaanza kuelewa kuwa Mungu hazaliwi.
Hii itakusaidia kupata usingizi mnono.
Say, "He is Allah , [who is] One,
Allah , the Eternal Refuge.
He neither begets nor is born,
Nor is there to Him any equivalent."
Link Surat Al-'Ikhlas - The Noble Qur'an - ?????? ??????
Surat hii pii inakuwekea wazi kuwa Mungu hazaliwi. Surat inam-disqualify Yesu katika imani uliyoyanayo juu yake kuwa ni mungu.
Mungu hazai wala hazaliwi.
Waeleze kondoo za bwana kuwa umeamua kuachana na upaulo rasmi.
Mnamfanyia Yesu sherehe ya birthday yake lini vile?
Jibu swali usikimbia kama utamaduni wako na wa dada yako FaizaFoxy
Last edited by a moderator: