Umesha anza kukirikuwa Yesu ni Mungu.Nimekuwekea Paulo umependae anavyokuonya kuhusu kufuata uzushi wake. Ajabu wewe unaona kuwa nimekiri.Weye! Akili tope kabisa.
Umeona ayat.
Every soul will taste death, and you will only be given your [full] compensation on the Day of Resurrection. So he who is drawn away from the Fire and admitted to Paradise has attained [his desire]. And what is the life of this world except the enjoyment of delusion.
Je Yesu alikufa?
IshmaelNaona sasa umeanza kuonyesha presence of demons in you. Come to Church, I need to cast those demons out of you.
Umesha anza kukirikuwa Yesu ni Mungu.
Tuendelee, hivi Allah alikuwa wapi miaka mia sita baada ya Kuzaliwa Yesu, na aje na hadithi za kuetenegeza? Hivi alishindwaje kusema haya wakati wa Isa bi Maryam alipo zaliwa mpaka asubiri miaka mia sita ipite/baadae?
Unaanza kuona duble duble mapema hii kama ule wimbo wa Chezimba Band!!!Nimekuuliza Yesu alizaliwa lini?
Kifo ni nini? Je, kuna maisha baada ya kifo?
Ni kitu kinachohitaji kufanyiwa utafiti wa kutosha kukibaini kwani mfumo wa mwili kuishi unaongozwa na mfumo wa vitu vingi vinavyotegemeana ambapo kimojawapo au vyote kwa pamoja vikishindwa kufanya kazi, mtu hufa.Kusimama kwa uhai? Aisee, kumbe uhai unaweza kukoma/simama... sasa huu uhai unao koma/simama ni nini hasa na unaishi wapi katika mwili wa binadamu?
if you think there is no God, then you also think that when people die they're going no where, its over, done, finished.. you'll obviously be afraid of dying.. but I know God is there and He will welcome me to the Heavens when all this is done, when He has taken down the devil and his friends and followers, thats why I have hope and I know there is a life awaiting us after these sufferings
Hebu tumuulize Allah aliye dai kuwa kamtuma Issa Bin Maryam na akamchukua kabla ya kusulubiwa na kufa Msalabani. Maana inaoneka Allah wako anamfahamu Issa bin Maryam kweli kweli, AU SIO,Nimekuuliza Yesu alizaliwa lini?
Nikupe hongera kwa kukiri ukweli wa Quran.Maumivu teyari yamesha anza taratiiib kukuingia. Utaelewa tu. Sasa sifa ya Allah wako ni kuto kufa, wapi Yesu kafa? Je, huoni hiyo sifa Yesu teyari keshainyakuwa?
1 Corinthians 1:1 Paul, called to be an apostle of Christ Jesus by the will of God, and our brother Sosthenes,
1 Corinthians 15:13 If there is no resurrection of the dead, then not even Christ has been raised.
1 Corinthians 15:14 And if Christ has not been raised, our preaching is useless and so is your faith.
1 Corinthians 15:15 More than that, we are then found to be false witnesses about God, for we have testified about God that he raised Christ from the dead. But he did not raise him if in fact the dead are not raised.
1 Corinthians 15:16 For if the dead are not raised, then Christ has not been raised either.
1 Corinthians 15:17 And if Christ has not been raised, your faith is futile; you are still in your sins.
1 Corinthians 15:18 Then those also who have fallen asleep in Christ are lost.
1 Corinthians 15:19 If only for this life we have hope in Christ, we are of all people most to be pitied.
And [for] their saying, "Indeed, we have killed the Messiah, Jesus, the son of Mary, the messenger of Allah ." And they did not kill him, nor did they crucify him; but [another] was made to resemble him to them. And indeed, those who differ over it are in doubt about it. They have no knowledge of it except the following of assumption. And they did not kill him, for certain.
Link Surat An-Nisa' [4:157] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
.... Sasa sifa ya Allah wako ni kuto kufa, wapi Yesu kafa? Je, huoni hiyo sifa Yesu teyari keshainyakuwa?
Bado haujajibu swali. Nipe aya yenye tarehe ya kuzaliwa Isa bin Maryam.Nikupe hongera kwa kukiri ukweli wa Quran.
Umeanza kuelewa ukweli.
Sasa waeleze kondoo za bwana kuwa yale maneno aliyotahadharisha Paulo yametimia.
Ishmael, teyari ndugu umeingiza mguu mmoja ndani ya uislamu. Hiyo kukiri tu kuwa Yesu hajafa au kutia shaka juu ya kufa kwa Mungu wako teyari usukule aliokukuingiza Paulo umeanza kuyeyuka.
Sasa tamka ..ashhadu.....
cc. BillCosby, Allykombo, Kahtaan, Echolima,2013, Eiyer
Uhai na kuishi ni vitu tofsuti. Mimi nataka kufahamu, uhai ni nini na ukitoka au koma au simama kama ulivyo sema, huo uhai unaenda wapi?Ni kitu kinachohitaji kufanyiwa utafiti wa kutosha kukibaini kwani mfumo wa mwili kuishi unaongozwa na mfumo wa vitu vingi vinavyotegemeana ambapo kimojawapo au vyote kwa pamoja vikishindwa kufanya kazi, mtu hufa.
Ukweli umekuweka huru leo. Na unaonekana unaanza kuelewa kuwa Mungu hazaliwi.Bado haujajibu swali. Nipe aya yenye tarehe ya kuzaliwa Isa bin Maryam.
Wewe utaacha lini uchizi wako?Unaanza kuona duble duble mapema hii kama ule wimbo wa Chezimba Band!!!
Ngoja nikusaidie, hivi kwanini wana Historia wanatumia B.C na A.D? Ulisha wai jiuliza why? Ukipata jibu basi utaelewa Yesu alizaliwa lini? Ukigoma kunipa jibu basi, nionyeshe kwa kutumia Quran, Isa bin Maryam alizaliwa lini? Usiogope kusema ukweli.
Uhai na kuishi ni vitu tofsuti. Mimi nataka kufahamu, uhai ni nini na ukitoka au koma au simama kama ulivyo sema, huo uhai unaenda wapi?
Wewe utaacha lini uchizi wako?
BC na AD ni hoja ?
Unajua kamba ilikuwepo system ingine kabla ya hiyo AD na BC?
Kamu ulikuwa hufahamu, fanya kauchunguzi ujione ulivyo hovyo kabisa.
Link Anno Domini - Wikipedia, the free encyclopedia
Uhai katika theogia ni "roho" ambayo inapo ondoka, mwili wako unakuwa mauti.Unaweza kunipa utofauti wa uhai na kuishi na namna ambavyo haviendi pamoja katika thread hii?
Kabla ya Kuzaliwa kwake Yesu Kristo (kifupi: KK) ni namna ya kutaja miaka.Wewe utaacha lini uchizi wako?
BC na AD ni hoja ?
Unajua kamba ilikuwepo system ingine kabla ya hiyo AD na BC?
Kamu ulikuwa hufahamu, fanya kauchunguzi ujione ulivyo hovyo kabisa.
Link Anno Domini - Wikipedia, the free encyclopedia