Atheists have no reason to fear death or punishment

Then why do you cry at funerals? Go to the hospital when you fall ill or when you get injured in an accident ?
And even when you face imminent death while you are aware, a good example being the two major hostage taking incidents in Kenya, where it was widely reported on how hostages cried and prayed for their lives to be spared by the hostage takers. Why go to such lengths if death is not scary? Why not rejoice for going to meet your maker and receive all the promised rewards?

dude, take it easy.. told you it may be scary to some people thinking of HOW they're going to die so they will automatically cry for their lives if they are found in such situations, hivi hadi leo hujui ni kwanini watu hulia misibani, you must be joking, you cry because your friend has left you, not because you're afraid of death, its natural to feel sorry kwa wale waliotangulia, death is not good news lakini haimaanishi uiogope.
God gave you life, God gave you food, water and everything.. use those stuff to live and praise Him, not being afraid of death or knowing that you're going to die doesn't mean when you get sick basi usitumie dawa, kifo hakitafutwi braza, kitakujia kwa muda wake.
 
Ukipokea zawadi nzuri kwa vyovyote vile ni lazima ufurahi, Ndugu yako/mkeo/ mzazi wako akipanda cheo kazini unafurahi na unaandaa hata sherehe kwa kuwa unawapenda na unafurahia wao kupata kitu chema. Sasa ni kwanini uhuzunike wakifa wakati unajua kabisa wanaenda mahala pazuri?
 
Do you know the PRINCIPLE OF NON CONTRADICTION?

TELL ME THE EVIDENCES OF HELL OR HEAVEN
That is not an evidence of your existence God Hater.

FYI: Even your existence is a principle and you can not support it. You are doomed God Hater. Do you exist? Prove it to me. Where's your arguments and evidence? Obviously, you can't prove your non theist belief. You can't even provide arguments or evidence to justify your belief or your existence. Mindless non theist is scared of death.

You made my point for me.

Come back when you can be honest about your mindless faith on non theism.
 
Kabla ya Kuzaliwa kwake Yesu Kristo (kifupi: KK) ni namna ya kutaja miaka.
Hesabu hii imekuwa njia ya kuhesabu miaka inayotumika zaidi duniani siku hizi. Kila mwaka huhesabiwa kuanzia mwaka unaodhaniwa kuwa mwaka wa kuzaliwa kwake Kristo. Miaka iliyofuata baada ya kuzaliwa kwake huitwa Baada ya Kristo au kifupi: BK.
Kuhusu historia ya hesabu hii tazama: Historia ya Hesabu "Kabla ya / Baada ya Kristo"

Ishmael
Unaelewa kuwa aliyebuni kutumika hizo AD na BC alikuwa anatumia aina ingine ya kuhesabu siku na miaka?
Kwa nini alibadili?

Tatizo lako unataka kuhalalisha kitu ambacho ,mafias wakiamua kesho wanaweza kukibadilisha?

Kuna miaka ya kichina, kuna miaka ya kiislamu, kuna miaka ya nairuz.
Uking'ania hii hoja yako ni sawa na kusema kuwa wazungu wanaoalalisha ushoga na ikifikia siku wakiweza kuzilazimisha nchi ingine kutambua ushoga kama haki ya kibinadamu itakuwa ndio wataalamu wako wamefanya jambo la maana?

Kutumika AD na BC ni utapeli tu kama wa Paulo. Ni sawa na US alivyolazimisha matumizi ya dollari katika biashara za dunia na unaona jinsi wanavyozuia wengine wasianzishae fedha ambayo itaiumiza US dollar. Je huoni dalili kuwa watu wametambua ujanja na utapeli wa kuitumikia Greenback? Na wanaanzisha banks za kuanza kupunguza nguvu za us dollar?

Hiyo ni sawa na wale walionzisha GMT. Je leo ni GMT tu inayotumika kuweka vigezo vya wakati na masaa?

Ishmael na vihoja (viroja ) vyako bana.
 
Ishmael
Unaelewa kuwa aliyebuni kutumika hizo AD na BC alikuwa anatumia aina ingine ya kuhesabu siku na miaka?
Kwa nini alibadili?

Tatizo lako unataka kuhalalisha kitu ambacho ,mafias wakiamua kesho wanaweza kukibadilisha?

Kuna miaka ya kichina, kuna miaka ya kiislamu, kuna miaka ya nairuz.
Uking'ania hii hoja yako ni sawa na kusema kuwa wazungu wanaoalalisha ushoga na ikifikia siku wakiweza kuzilazimisha nchi ingine kutambua ushoga kama haki ya kibinadamu itakuwa ndio wataalamu wako wamefanya jambo la maana?

Kutumika AD na BC ni utapeli tu kama wa Paulo. Ni sawa na US alivyolazimisha matumizi ya dollari katika biashara za dunia na unaona jinsi wanavyozuia wengine wasianzishae fedha ambayo itaiumiza US dollar. Je huoni dalili kuwa watu wametambua ujanja na utapeli wa kuitumikia Greenback? Na wanaanzisha banks za kuanza kupunguza nguvu za us dollar?

Hiyo ni sawa na wale walionzisha GMT. Je leo ni GMT inayotumika?

Ishmael na vihoja (viroja ) vyako bana.
Naona umesha anza kutunga katiba ya CUF,

Kabla ya Kuzaliwa kwake Yesu Kristo (kifupi: KK) ni namna ya kutaja miaka.
Hesabu hii imekuwa njia ya kuhesabu miaka inayotumika zaidi duniani siku hizi. Kila mwaka huhesabiwa kuanzia mwaka unaodhaniwa kuwa mwaka wa kuzaliwa kwake Kristo. Miaka iliyofuata baada ya kuzaliwa kwake huitwa Baada ya Kristo au kifupi: BK.

Kuhusu historia ya hesabu hii tazama: Historia ya Hesabu "Kabla ya / Baada ya Kristo"
 
Naona umesha anza kutunga katiba ya CUF,

Kabla ya Kuzaliwa kwake Yesu Kristo (kifupi: KK) ni namna ya kutaja miaka.
Hesabu hii imekuwa njia ya kuhesabu miaka inayotumika zaidi duniani siku hizi. Kila mwaka huhesabiwa kuanzia mwaka unaodhaniwa kuwa mwaka wa kuzaliwa kwake Kristo. Miaka iliyofuata baada ya kuzaliwa kwake huitwa Baada ya Kristo au kifupi: BK.

Kuhusu historia ya hesabu hii tazama: Historia ya Hesabu "Kabla ya / Baada ya Kristo"
Nimekwambia huna hoja.Ishmael

Sasa unaanza Katiba ya CUF, kesho CCM, Chadema au UDP?

U-paulo ni msiba.

Umeanza kuchanganyikiwa mchungaji? Au mapepo yanakupuliza? :becky:
 
MUHAMMAD ALIPAGAWA NA MASHETANI TOKEA UTOTO WAKE
********************************************************************************************
1. Mama yake akiri kuwa Muhammad aliingiwa na Mashetani tokea utoto wake.
2. Mashetani yamtwanga Muhammad Pangoni.
3. Mkewe Bibi Khadija aamua kumzawadia mumewe utume.
4. Muhammad ampa Uchawi Mke wake Aisha.

1. Imetafsiriwa na Guillaume katika Ishaq Ukurasa wa 72
Alisema kwangu, "Nina hofu kuwa huyu mtoto ameshikwa na mfadhaiko, hivyo ngoja nimrudishe kwa familia yake kabla hali yake kuwa mbaya zaidi. Mama yake Muhammad akasema kumetokea nini kwa mtoto wangu? Akasema, NINA HOFU KUWA MUHAMMAD AMEINGIWA NA SHETANI, akanijibu, NIKWELI MUHAMMAD AMEPAGAWA NA MASHETANI

2. YALIYOMKUTA MTUME BAADA YA KUTOKA PANGONI!
Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na kuweweseka, na kusema, "Najikhofia nafsi yangu, kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga".

3. MKEWE AMPA UTUME ILI KUMFARIJI!
Pale pale bibi Khadija akamdakiza, akamwambia, "Wacha hayo siyo yatakayokuwa hayo, wewe huwezi kuchezewa na mashetani, shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako, wewe unatazama vema Jamaa zako, unawadhihirisha watu sifa nzuri, ambazo hukuwa mwenye nazo, unachukua mizigo ya watu wasiokuwa wako, unafanya hivi, unafanyi hivi, furahi ndugu yangu, pumua moyo wako, Wallahi mimi mkeo naona umekwisha kuwa mtume."

(Kitabu cha wakeze Mtume wakubwa na wanawe, uk. 12)

4. ALIMPA MKE WAKE NDUMBA ILI AJIKINGE, NA JICHO OVU:
Muhammad alimpa ‘Aisha ndumba ili kutibu jicho ovu. Sahih Muslim juzuu ya 3 kitabu cha 24 na. 5445,5447-5450 uk.1196

MASWALI:
1. Wapi katika Quran tunasoma kuwa Muhammad alitolea Masheitan yalio muingia tokea utoto wake?

2. Wapi katika Biblia tunasoma kuwa Manabii wa Biblia nao walikuwa wamepagawa na Mashetani kama Muhammad?
3. Kwanini Allah alimuacha Mtume wake Muhammad afe huku akiwa amepagawa na Mashetani?
4. Je, Mtu aliye kufa na Mashetani ataweza kuingia Mbinguni?
Hakika kuna Msiba mkubw sna katika dini ya Islam.
\
TAFAKARI

CHUKUA HATUA

MPOKEE YESU

Nawakaribisha Waislam wote katika Njia ya Kweli ambayo ni Yesu Kristo. Yesu alisema hivi, Mtu haji kwa Baba ila kwa kupitia yeye.

Mpokee Yesu leo na uokoke.
 
MUHAMMAD ALIPAGAWA NA MASHETANI TOKEA UTOTO WAKE
...
Ishmael

Hapo kale alikuwepo mfalme aliyempenda mtoto wake kwa upendo na mapenzi yote. Na mfalme hakuacha kutangaza mapenzi yake juu ya mwanae huyu kwa watu . Lakini walitokea vibaka wakatenda kosa, walimkosea mfalme.

La ajabu Mfalme akaamua kumwadhibu mwanae mpenzi ili awasamehe vibaka.

Hivi kama kweli mfalme alikuwa na mapenzi juu ya mwanae kwa nini hakujitolea yeye aadhibiwe? Hivi mfalme hakuweza kuwasamehe tu hizi mtu za escrow?

Ingekuwa wewe Ishmael, kama unaona gari inakujieni na unahisi gari lile litawagonga na una mtoto mmoja tu na mapenzi yako juu yake hayana kipimo. Je utamkinga mwanao asigongwe na gari lile kwa kujitanguliza wewe na kujitoa mhanga ili mwana apone au ndio utamsukuma mwana ili wewe upone?
 
Ustaadh, mwenye maskhara ni huyo niliye m-quote.

Hivi weye unaogopa kufa?
Kwa nini weye! unatembea na bullet proof jacket?

Si utembee tu kama zile bushmen za Kalahari desert!
 
That is not an evidence of your existence God Hater.

FYI: Even your existence is a principle and you can not support it. You are doomed God Hater. Do you exist? Prove it to me. Where's your arguments and evidence? Obviously, you can't prove your non theist belief. You can't even provide arguments or evidence to justify your belief or your existence. Mindless non theist is scared of death.

You made my point for me.

Come back when you can be honest about your mindless faith on non theism.

I tend to think that you are arguing for the sake of arguing and not for gaining knowledge.
Tell me the Evidences of hell and Heaven
 
Where is the evidence.
 
Why can't answer my question?
Evidence is that which can be known by our senses or emprically proved.
Why don't you give it to me and stop blahing. Do you exist? Prove it to me.
 
Kwa nini weye! unatembea na bullet proof jacket?

Si utembee tu kama zile bushmen za Kalahari desert!
Mbona unaweweseka weye. Jibu swali.

Weye unaogopa kufa kama non theists?
 
Ishmael

Hapo kale alikuwepo mfalme aliyempenda mtoto wake kwa upendo na mapenzi yote. Na mfalme hakuacha kutangaza mapenzi yake juu ya mwanae huyu kwa watu . Lakini walitokea vibaka wakatenda kosa, walimkosea mfalme.

La ajabu Mfalme akaamua kumwadhibu mwanae mpenzi ili awasamehe vibaka.

Hivi kama kweli mfalme alikuwa na mapenzi juu ya mwanae kwa nini hakujitolea yeye aadhibiwe? Hivi mfalme hakuweza kuwasamehe tu hizi mtu za escrow?

Ingekuwa wewe Ishmael, kama unaona gari inakujieni na unahisi gari lile litawagonga na una mtoto mmoja tu na mapenzi yako juu yake hayana kipimo. Je utamkinga mwanao asigongwe na gari lile kwa kujitanguliza wewe na kujitoa mhanga ili mwana apone au ndio utamsukuma mwana ili wewe upone?

Sasa hii nayo tuite Sahih hadeth ya al Nonda or is a new version of Sahih al Bukhari? Nilikwambia kitaambo, wewe kutunga hadith ndio fani yako.
 
Back
Top Bottom