Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,015
- Thread starter
- #121
Hivi Allah nilazima akopie kila kitu? Yaani baada ya miaka mia 6 Allah wenu alikopia kila kitu cha Wakristo? Alikuwa wapi miaka yote hiyo mpaka asubiri Jibril kuanziasha dini yake?Link Gregorian calendar - Wikipedia, the free encyclopedia
Link Islamic calendar - Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa hili huna hoja ya maana Ishmael..unaweza danganya kondoo za bwana lakini sio mtu anayejisomea vijarida na kujua mambo ya tarehe.
Hii kitu BC na AD ni ubunifu wa mtu tu. Kama Paulo alivyobuni ngano zake.
Link Anno Domini - Wikipedia, the free encyclopedia