Ni kweli mkuu kubishana hawa watu ni ngumu sana
jibu ni dogo wacha wafe wakakutane naye hukohuko ndo watajua
isitoshe hao wakina Darwins na wanzake wameshaujua ukweli huko walipo na wanatamani waje wa-withdraw/kutengua kauli zao za kuwa Mungu hayupo lkn Uhuru wakuja kusema hayo hawana tena.
Kama Atheist hawaamini hata kwa kuona
uumbwaji wa Dunia na vilivyomo na kuleta theory yao ya Big bang
Sasa ndo wataamini swala La Kiroho?
Maana hili ni swala kiroho ya mtu anavyotendewa na Mungu wake
mf: leo asubuh nakwambia usiku ni meongea na malaika, ushahidi wa maneno yangu hautakuwepo hata nikueleze vipi kamwe hutoamini kama tu umeamua kutoamini Bali ukweli utabaki ndani yangu mwenyewe kuwa leo usiku nimeongea na Malaika baaasi itabaki kuwa hivyo ila kamwe kwasababu sijakupa ushahidi audio or video tape ya maongezi yetu Ndo uniamishe kuwa hujaonana na malaika na wala hakuna kitu kama hicho bali ulikuwa unaota!! Haizekani kamwe!!