Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Wewe huna haki ya kuamua wapi hakuna shida na wapi kuna shida.

Shida ipo.

Umeandika uongo, ujinga na uvivu.

Rekebisha ulichoandika kabla ya kusema hakuna shida.

Usiporekebisha shida lazima iwepo.
Sitarekebisha chochote Kiranga eti kwakuwa tu wewe umesema au mtazamo wako unaona hivyo never..! Wewe ni nani mpaka ujione uko sahihi kuliko mimi? Ita uongo Ita ujinga Ita uvivu sibadilishi hata nukta! Umeshasema zaidi ya mara kumi kuwa mimi ni muongo na nimeandika ujinga nimekukatalia mara zote hizo kwahiyo usidhani kuwa unaweza kunibadili msimamo wangu sasa ukiweza badili wako na sikulazimishi kwakuwa una maamuzi binafsi
 
Mkuu, nashangaa kwa nini watu wanaleta ubishi. Kukiri kwamba Mungu au shetani hayupo ni lazima ujenge imani kwamba hakuna Mungu wala shetani, likewise kukiri kwamba Mungu ama shetani yupo ni lazima ujenge imani katika mafundisho hayo.
Sio lazima mkuu mfano mdogo nikisema hakuna binadamu mwenye Macho matatu si lazima nianze na imani
 
Sayansi inaonyesha jinsi vitu vilivyo, bila kuonyesha kusudi lake. Why are we here? What is purpose of life? Biblia inatoa maana na lengo la vitu ivo.
Unaweza kunisaidia mkuu wewe unajua unalengo gani kuu hapa duniani????
 
Kuungwa mkono na wengi kwa uwepo wa kitu flani, haitoshi kudhibitisha kuwa kitu flani kipo.Mimi sijakushawishi uamini uwepo wa kitu flani, ndio maana sina haja ya kukupa shahidi...lakini kama nitamtaka mtu aamini uwepo wa kitu flani, nitamjia na shahidi...sasa wewe unataka uniamini kwa lipi?
Naona umemkataa
 
Sitarekebisha chochote Kiranga eti kwakuwa tu wewe umesema au mtazamo wako unaona hivyo never..! Wewe ni nani mpaka ujione uko sahihi kuliko mimi? Ita uongo Ita ujinga Ita uvivu sibadilishi hata nukta! Umeshasema zaidi ya mara kumi kuwa mimi ni muongo na nimeandika ujinga nimekukatalia mara zote hizo kwahiyo usidhani kuwa unaweza kunibadili msimamo wangu sasa ukiweza badili wako na sikulazimishi kwakuwa una maamuzi binafsi
Umekataa lakini hujaweza kukanusha (kwa maana ya disprove). Kuna tofauti.

Na wewe huijui.

Kwa sababu wewe ni muongo, mvivu na mjinga.
 
Umekataa lakini hujaweza kukanusha (kwa maana ya disprove). Kuna tofauti.

Na wewe huijui.

Kwa sababu wewe ni muongo, mvivu na mjinga.
at least you can repeatedly say this...but you can't go beyond trust me
 
Kuungwa mkono na wengi kwa uwepo wa kitu flani, haitoshi kudhibitisha kuwa kitu flani kipo.Mimi sijakushawishi uamini uwepo wa kitu flani, ndio maana sina haja ya kukupa shahidi...lakini kama nitamtaka mtu aamini uwepo wa kitu flani, nitamjia na shahidi...sasa wewe unataka uniamini kwa lipi?
Kuna wakati watu karibu dunia nzima waliamini jua linazunguka dunia.

Kuna wakati karibu dunia nzima iliamini dunia ni bapa, ukienda na meli sana baharini utaangukia nje ya dunia.

Kuamini hivyo hakukufanya hayo yawe kweli eti kwa sababu tu wengi wameamini hivyo.

The truth is not democratic. It is autocratic.
 
Kama wewe si mjinga , muongo na mvivu, kwa nini hutaki kusahihisha uongo, ujinga na uvivu uliouandika katika original post?
Mkuu usipoteze time yako kwa huyo kiumbe,yeye alishajiaminisha tayari kua humu JF yeye ndio kila kitu! Wakati kiuhalisia hana ajualo zaidi ya kuleta humu mada za Kufikirika na za kishirikina tu,

Amesha zowea kuwapotosha watoto wa Shule humu!
 
1473343445521.jpg
1473343450405.png
 
at least you can repeatedly say this...but you can't go beyond trust me
Do you want me to? Are you daring me?

Mimi kama walii, kwenye haya mambo si mgumu kukupa unachotaka.

Halafu ulalamike "Kiranga kanitukana".
 
Do you want me to? Are you daring me?

Mimi kama walii, kwenye haya mambo si mgumu kukupa unachotaka.

Halafu ulalamike "Kiranga kanitukana".
Mara zote mtukanifu ni mtu aliyeishiwa hoja kwahiyo ukifanya hivyo sitashangaa
 
Mkuu usipoteze time yako kwa huyo kiumbe,yeye alishajiaminisha tayari kua humu JF yeye ndio kila kitu! Wakati kiuhalisia hana ajualo zaidi ya kuleta humu mada za Kufikirika na za kishirikina tu,

Amesha zowea kuwapotosha watoto wa Shule humu!
Leo kakutana na kigingi kinachokwenda kwa facts.

Kabaki anawayawaya tu.
 
Mara zote mtukanifu ni mtu aliyeishiwa hoja kwahiyo ukifanya hivyo sitashangaa
Wewe ndiye uliyeishiwa hoja.

Ndiyo maana unaniomba nikutukane ili mimi nionekane sina hoja.

Umesema kila atheist anaamini kwamba Mungu hayupo kwa sababu Mungu haonekani.

Huo ni uongo, ujinga na uvivu ambao umekataa kuusahihisha hata baada ya kuelezwa hilo.
 
Hehe kwa hiyo mkuu hutaki watumie arguments ambazo wanaona ni valid? Kwani mtu kutumia argument aliyosoma somewhere kuna shida gani? Hata mwenye dini akiwa anatetea si anatumia yaleyale tu anayosikia kwa wengine au kusoma kwenye vitabu vya dini ambavyo hajui hata viliandikwa wapi.

Na unavyosema argumets za magharibi unanishangaza, em nipe mfano hata moja! So tatizo lako ni magharibi au? U r forgetting hao hao wa magharibi ndiyo walikuja kusambaza dini hizi huku Afrika, i think its logical kutumia arguments zao kwenye discussion maana hata mwenye dini anatumia vitabu vilivyotoka huko huko kwao, unless you can argue kua for some reason dini zili~exist naturally everywhere and not spread.

Ni kama mnavyoulizana swali la dunia ilianza lini, dini inakwambia about 4000~6000years ago, ila science inakwambia about 4.5billion years ago, science can provide proof, dini haiwezi, no offense ila siwezi mlaumu mwana sayansi kwa kitu kama hiki au nikamuita mjinga maana hapo mjinga ni mimi, yeye proof anayo na ni mathematically valid hata we unaweza pima leo hii. Ndo maana nasema it all start from the feeling kua hawa jamaa ni tofauti na wewe, unawaona kama rivals.

Ofcoz wapo atheists ambao they dont want to mind their own business na kua tolerant, same goes for watu wa dini, utofauti ni ule watu wa dini wanaweza kwenda kwenye extremes na kuua kabisa which I find plain stupid.

I notice there is something wrong with your comprehension dude, i never state in my explanations that atheists should cease to use westerners argument to defend their position, that is another infelicitous misinterpretation of yours.... what i actually meant they shouldn't look down on those with different dogmatic views while themselves they are still neophytes in their own beliefs.

Anyway since you are now telling me you've much faith in science for everthing, you've just disclosed to me you're another lost soul here..!! In my opinion science is still in infant stage,
there is much about nature it simply does not give the answer. There was still some of its theories there were modified and liable to change in future if there are available accurate evidences and explanations. So why would you lean on a discipline which has its own limitations?...I am sure
you would agree with me that science has its own limitation. If you disagree so check out different scientific theories and tell me why there are a lot of criques extended by those theories?

Science itself suffers from nearsightedness since its massive weapon is observation, what it cannot observe directly or indirectly it simply ignores it or just holds the speculation as a conclusion and there discrepancy between speculation and fact rationally. I am not too religious to discredit science whatsover, but it cannot be used to dismiss the idea that God exists.

However, there is no place science claims God never exist but it's you atheists continually resort to logical fallacy when dealing with ant-atheist and mention science as an authority for your claims, unfortunately it is plagued by its own flaws.

Mimi sina tatizo na wewe kuwa atheist na wala sijakuzuia kutumia evidence zozote kwenye arguments ninachopenda mimi ni mtu kuwa reasonable kwa watu wengine na ujuaji ndio huwa unafanya tunakuwa na endless debate humu. Na kuna maswali mpaka leo sijajibiwa na maatheist wenzako humu huko tayari nikuulize huku ukitumia hiyo science yako kunijibu?
 
Wewe ndiye uliyeishiwa hoja.

Ndiyo maana unaniomba nikutukane ili mimi nionekane sina hoja.

Umesema kila atheist anaamini kwamba Mungu hayupo kwa sababu Mungu haonekani.

Huo ni uongo, ujinga na uvivu ambao umekataa kuusahihisha hata baada ya kuelezwa hilo.
Mimi nimekuomba? amazing!
 
Back
Top Bottom