Kwa nini dictionary zinakuwaga na edition mbali mbali? ni sababu ipi inayokufanya uiamini dictionary?
Hoja ilikuwa kuonyesha sio tu wadau wa JF bali source zingine pia zina unga mkono. By the way nini itakayo nifanya nikuamini na wewe?
Kwa nini dictionary zinakuwaga na edition mbali mbali? ni sababu ipi inayokufanya uiamini dictionary?
Mkuu biblia na reasoning ni mbali na mbali kabisa ni sawa na biblia na sayansi.Na huu ndio mkanganyiko mwingine nilioutaja kwenye post
Reasoning ipo pia kwenye Biblia sayansi imelala pale..kwahiyo haya uliyoyataja ni part n parcel ya Biblia
Ni vigumu kukubali kuwa Kristo alikuwepo lakini ukakataa uwepo wa Mungu
Hapa mada imebadilika kutoka ''Atheism imani nusu na robo, hadi Atheism ni upotoshaji'' ili kujibu hii mada ya pili, yafaa kuleta shahidi sasa....maana kama mmoja atasema Atheism ni upotoshaji na mwingine akasema Dini ndio upotoshaji, nani atakaye kuwa sawa au atakayekosea? Hapo ni shahidi/Evidence ndizo zitakazo amua hiyo case.Unajua kuna vitu vingine vimejaa upotoshaji na atheism ni kimojawapo! Dhana ya uwepo wa Mungu ni ya kiroho zaidi kuliko kimwili, na vitu vya kiroho ni vya kiimani zaidi visivyoonekana na visivyoweza kuthibitishwa kisayansi lakini haiondoi ukweli na uhalisia wake
Ni kwa muktadha huu ndio maana wengine wakaamua kujitengenezea masanamu ili wayaabudu
Tukirejea kwenye msingi wa post atheism katika uhalisia wake ni imani..hata kamusi inathibitisha hivyo lakini kwangu mimi ni imani isiyotimia
Sayansi inaonyesha jinsi vitu vilivyo, bila kuonyesha kusudi lake. Why are we here? What is purpose of life? Biblia inatoa maana na lengo la vitu ivo.Mkuu biblia na reasoning ni mbali na mbali kabisa ni sawa na biblia na sayansi.
Ninavojua mimi lakini
Aaah! Hapo sasa ndo utakuja kuachana na ma atheist, reasoning siku zote haina altenaltive mkuu.Ni kwa vile wengi wanaitafisiri kwa akili za kidunia badala ya kiroho
Hapana haibadiliki bali ni mwendelezo kitu ambacho hakijatimia kama mifano niliyotoa ya vipimo chaweza kuwa upotoshaji kwa yule asiyejuaHapa mada imebadilika kutoka ''Atheism imani nusu na robo, hadi Atheism ni upotoshaji'' ili kujibu hii mada ya pili, yafaa kuleta shahidi sasa....maana kama mmoja atasema Atheism ni upotoshaji na mwingine akasema Dini ndio upotoshaji, nani atakaye kuwa sawa au atakayekosea? Hapo ni shahidi/Evidence ndizo zitakazo amua hiyo case.
Kwanza hakujawahi kuwepo kwa ushahidi kuwa Mungu yupo, hapo upo sawa....lakini kusema Atheism ni imani ambayo yaweza kuangukia katika jamii ya dini, siyo kweli.Narudia tena Atheism ni ukosefu/absence wa imani juu ya uwepo wa Miungu,Mungu,au Shetani(Deities).Kwa hiyo Atheism haina vigezo vya kuwa dini maana haina msingi (Imani) wa dini.Hapana
Infact haujawahi kuwepo ushahidi makini kuwa kuna Mungu.
Wakati atheism ikiwa ni belief nadhani ina fall short kuwa Religion, japo ina viji character vya religion
Kwa hiyo atheists wanategemea ushahidi ambao ni physical kama ulivyotoa wa JPM hapo juu. Kwa hiyo hawaamini katika gravitational na magnetic forces, maana hizi huzioni kwa macho. Ina maana hitimisho lao la kutokuwepo Mungu limetokana na kwamba hawakuwahi kumwona kwa macho, siyo? Je, wamewahi kuona kwa macho nguvu zinazoweka nyota na sayari kukaa sehemu zilipo bila kukaribiana au kugongana? au Je, wamewahi kuona kwa macho nguvu inayozuia maji ya bahari yasi overflow na kusambaa nchi kavu?Imani ni kule kukubali kwamba kitu flani kipo.Na ili uamini lazima pawepo na ushahidi wa kuwepo kwa unacho amini kipo.Imani zipo za aina mbali mbali, kwa mfano mimi naamini kwamba Rais wa JMT ni JPM kwa kuwa kuna ushahidi.Lakini Atheism haikubali Imani inayosema Mungu yupo kwa sababu hakuna shahidi za kusapoti hiyo imani.
Kuungwa mkono na wengi kwa uwepo wa kitu flani, haitoshi kudhibitisha kuwa kitu flani kipo.Mimi sijakushawishi uamini uwepo wa kitu flani, ndio maana sina haja ya kukupa shahidi...lakini kama nitamtaka mtu aamini uwepo wa kitu flani, nitamjia na shahidi...sasa wewe unataka uniamini kwa lipi?Hoja ilikuwa kuonyesha sio tu wadau wa JF bali source zingine pia zina unga mkono. By the way nini itakayo nifanya nikuamini na wewe?
HahahaSayansi inaonyesha jinsi vitu vilivyo, bila kuonyesha kusudi lake. Why are we here? What is purpose of life? Biblia inatoa maana na lengo la vitu ivo.
Ndio lakini reasoning pia haiwezi kuwa na mbadala kwamba usipo elewa kwenye hali moja ni kwa sababi hauko kwenye hali nyingineHapana ili uwe reasonable huwezi kuwa rigid kwahiyo reasoning ina mbadala
Labda nikuulize, je Mungu/Shetani yupo? una ushahidi wa uwepo wake?....Ukijibu hayo maswali basi Atheism inakufa automatically.Hapana haibadiliki bali ni mwendelezo kitu ambacho hakijatimia kama mifano niliyotoa ya vipimo chaweza kuwa upotoshaji kwa yule asiyejua
Kwamba unajua kabisa hii sio kilo moja ni nusu na robo lakini unasema ni kilo moja!kwakuwa tu vinakaribiana uzito...! Huu ni upotoshaji
Naamini katika Mungu mmoja na uwepo wa shetani-kwa maana ya kiroho na si kimwili lakiniLabda nikuulize, je Mungu/Shetani yupo? una ushahidi wa uwepo wake?....Ukijibu hayo maswali basi Atheism inakufa automatically.
NDIYO! Atheism inahitaji physical evidence ili kuamini uwepo wa Mungu.Magnetic force huchagizwa na mvutano wa kielektronic baina ya vitu viwili...Electron ni vitu vinavyoonekana....Kuhusu gravitational hiyo ipo wazi, inaweza kuchunguzika na kutoa majibu....je Mungu anachunguzika na kutoa majibu bila msaada wa akili ya binadamu?Kwa hiyo atheists wanategemea ushahidi ambao ni physical kama ulivyotoa wa JPM hapo juu. Kwa hiyo hawaamini katika gravitational na magnetic forces, maana hizi huzioni kwa macho. Ina maana hitimisho lao la kutokuwepo Mungu limetokana na kwamba hawakuwahi kumwona kwa macho, siyo? Je, wamewahi kuona kwa macho nguvu zinazoweka nyota na sayari kukaa sehemu zilipo bila kukaribiana au kugongana? au Je, wamewahi kuona kwa macho nguvu inayozuia maji ya bahari yasi overflow na kusambaa nchi kavu?
Atheism inahitaji physical evidence ili kuamini katika Mungu, haitambui uwepo wa roho....iweje uache kuleta physical evidence lakini useme roho ina affect mwili?...kipi kinakufanya uamini uwepo wa Shetani?Naamini katika Mungu mmoja na uwepo wa shetani-kwa maana ya kiroho na si kimwili lakini
Hebu ingia hapa nikiri wazi:namfahamu shetani
Una roho au huna roho?Atheism inahitaji physical evidence ili kuamini katika Mungu, haitambui uwepo wa roho....iweje uache kuleta physical evidence lakini useme roho ina affect mwili?...kipi kinakufanya uamini uwepo wa Shetani?
Anhaa sasa nimekusomaKwanza hakujawahi kuwepo kwa ushahidi kuwa Mungu yupo, hapo upo sawa....lakini kusema Atheism ni imani ambayo yaweza kuangukia katika jamii ya dini, siyo kweli.Narudia tena Atheism ni ukosefu/absence wa imani juu ya uwepo wa Miungu,Mungu,au Shetani(Deities).Kwa hiyo Atheism haina vigezo vya kuwa dini maana haina msingi (Imani) wa dini.