Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Bado uko pale pale kwenye mtazamo na personal attacks
Sikereki na wewe kwakuwa mimi sio muongo sio mvivu wala sio mjinga...kwa reply yako hii naona unazidi kuchanja mbuga kuelekea vichakani
The biggest joke ni kwamba eti mimi ni mbishi na sitaki kueleweshwa! Duu mimi mshana anieleweshe mtu anayejiita Kiranga
Lakini mshana huoni kwamba kiranga yupo sahihi kwa maelezo yake?

Mimi nimerudi kusoma tena uzi wako ili nijue wewe na kiranga nani mbishi.

Wewe umesema ukimuuliza atheist yeyote kwanini haamini uwepo wa Mungu atakwambia ni kwasababu hajawahi kumuona.

Kiranga anajitetea kwamba kutoamini kwake uwepo wa Mungu sio kwasababu hajawahi kumuona (ana sababu zingine tofauti na hiyo ya kutokuonekana kwake)

Kiranga yupo sahihi kwamba bandiko lako ni uongo, maana yeye ni atheist na sababu iliyomfanya kuwa hivo sio kutokuonekana kwa huyo mungu tu bali ana sababu zingine.

Mimi pia siamini uwepo wa mungu. Na kutokuamini kwangu uwepo wa huyu mungu sio kwasababu hauonekani.

Hivyo nikisema unatuwekea maneno mdomoni nitakuwa sijakosea.
 
Wewe uliyeandika kwamba atheism yeyote ukimuuliza kwa nini haamini kuwapo kwa Mungu atakujibu kwa sababu Mungu haonekani ndiye unaijua atheism?
Ndio naijua tena kwa hakika kabisa atheism ni imani kama ilivyo Uislam ukristo Buddhism Satanism ndani ya hizi imani kuna sect mbalimbali! Atheism nayo mjomba ina sect umeshawahi kusoma kuhusu vivid atheism? Au unified Atheism?
 
Kama unaijua atheism hivyo mbona hujajua kwamba kuna atheists ambao hawakubali kuwepo kwa Mungu kwa sababu ambazo hazina uhusiano na kuonekana kwa Mungu?
 
Lakini mshana huoni kwamba kiranga yupo sahihi kwa maelezo yake?

Mimi nimerudi kusoma tena uzi wako ili nijue wewe na kiranga nani mbishi.

Wewe umesema ukimuuliza atheist yeyote kwanini haamini uwepo wa Mungu atakwambia ni kwasababu hajawahi kumuona.

Kiranga anajitetea kwamba kutoamini kwake uwepo wa Mungu sio kwasababu hajawahi kumuona (ana sababu zingine tofauti na hiyo ya kutokuonekana kwake)

Kiranga yupo sahihi kwamba bandiko lako ni uongo, maana yeye ni atheist na sababu iliyomfanya kuwa hivo sio kutokuonekana kwa huyo mungu tu bali ana sababu zingine.

Mimi pia siamini uwepo wa mungu. Na kutokuamini kwangu uwepo wa huyu mungu sio kwasababu hauonekani.

Hivyo nikisema unatuwekea maneno mdomoni nitakuwa sijakosea.
Ni sahihi kwa mtazamo wako na asante kwakuwa sasa at least umekuja wewe na hoja
Hii ni mitazamo tuu! Akija anayeamini katika Mungu ataniunga mkono na ukija kama wewe utaniona muongo unajua ni kwanini? Ni kwasababu tunatofautiana mitazamo na hilo kwangu sio tatizo
 
Kama unaijua atheism hivyo mbona hujajua kwamba kuna atheists ambao hawakubali kuwepo kwa Mungu kwa sababu ambazo hazina uhusiano na kuonekana kwa Mungu?
Hilo ni lako sio langu kwahiyo usinilazimishe kukubaliana na wewe
 
Hehe kwa hiyo mkuu hutaki watumie arguments ambazo wanaona ni valid? Kwani mtu kutumia argument aliyosoma somewhere kuna shida gani? Hata mwenye dini akiwa anatetea si anatumia yaleyale tu anayosikia kwa wengine au kusoma kwenye vitabu vya dini ambavyo hajui hata viliandikwa wapi.

Na unavyosema argumets za magharibi unanishangaza, em nipe mfano hata moja! So tatizo lako ni magharibi au? U r forgetting hao hao wa magharibi ndiyo walikuja kusambaza dini hizi huku Afrika, i think its logical kutumia arguments zao kwenye discussion maana hata mwenye dini anatumia vitabu vilivyotoka huko huko kwao, unless you can argue kua for some reason dini zili~exist naturally everywhere and not spread.

Ni kama mnavyoulizana swali la dunia ilianza lini, dini inakwambia about 4000~6000years ago, ila science inakwambia about 4.5billion years ago, science can provide proof, dini haiwezi, no offense ila siwezi mlaumu mwana sayansi kwa kitu kama hiki au nikamuita mjinga maana hapo mjinga ni mimi, yeye proof anayo na ni mathematically valid hata we unaweza pima leo hii. Ndo maana nasema it all start from the feeling kua hawa jamaa ni tofauti na wewe, unawaona kama rivals.

Ofcoz wapo atheists ambao they dont want to mind their own business na kua tolerant, same goes for watu wa dini, utofauti ni ule watu wa dini wanaweza kwenda kwenye extremes na kuua kabisa which I find plain stupid.
Safi sana. Mwenzetu anatuaminisha kwamba yeye anamtetea mungu wake bila kuqoute maelezo ya wengine.

Alafu anatumia maneno kama "mjinga mjinga" ilihali kaonyesha upumbavu wa hali ya juu
 
Hilo ni lako sio langu kwahiyo usinilazimishe kukubaliana na wewe
Ni langu vipi wakati wewe ndiye uliyeandika hilo katika original post yako?

Kwa maneno yako mwenyewe umeandika hivi.

Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja

Sasa mbona unataka kuyakana maneno yako mwenyewe kama hujaandika wewe?

Utasemaje hili ni langu wakati umeandika wewe?
 
Ni langu vipi wakati wewe ndiye uliyeandika hilo katika original post yako?

Kwa maneno yako mwenyewe umeandika hivi.

Sasa mbona unataka kuyakana maneno yako mwenyewe kama hujaandika wewe?

Utasemaje hili ni langu wakati umeandika wewe?
Nimejibu ulichoandika sijakana nilichoandika mimi mbona unapotezea kuhusu sects za atheism? Au hujui hili nalo?
 
Ni sahihi kwa mtazamo wako na asante kwakuwa sasa at least umekuja wewe na hoja
Hii ni mitazamo tuu! Akija anayeamini katika Mungu ataniunga mkono na ukija kama wewe utaniona muongo unajua ni kwanini? Ni kwasababu tunatofautiana mitazamo na hilo kwangu sio tatizo
Sikutegemea kama ungenikwepa kiasi hiki!
 
Nimejibu ulichoandika sijakana nilichoandika mimi mbona unapotezea kuhusu sects za atheism? Au hujui hili nalo?
Wewe kama hujui kwamba kuna atheists wasiokubali kuwapo kwa Mungu kwa sababu ambazo hazina uhusiano na kuonekana kwa Mungu, hizo sects hazina maana. Maandishi yako yanakuwa ya uongo, ujinga na uvivu.

By the way, kuna sects za scientists, kuna sects za wafanyabiashara, kuna sects za siasa, kuna sects za kila kitu.

Hizo sects zinafanya hayo mambo yawe imani za kidini?
 
Tunazungumzia sects za atheism sio nyingine kwahiyo tusichanganye mada tafadhali baki kwenye mstari
 
Huyo jamaa ni mjinga, muongo na mvivu.

Siandiki hilo kimzaha tu. Nimeonesha kwa nini naandika hivyo hapo juu.

Kwa hiyo, usitegemee lolote la maana kutoka kwake.
Kama unalosema ni kweli ni wakati muafaka wa kuaga kama jamaa alivyoniaga na mimi bila kinyongo nimekubaliana naye
 
Ni sawa mkuu kwa ulilosema kuwa Mungu anasikia "sauti tulivu"(isiyotetema mawimbi ya sauti" na sauti zenye kutetema mawimbi.Lakini ukisoma sentensi yangu inayozungumzia kupayuka bila shaka utaona tofauti tofauti kubwa kati ya "kupayuka" na kuongea.Hata Mungu ameonya juu ya kumuomba kwa kupayuka.Anataka tuongee naye na sio kupayuka.Najua unataka uthibitisho wa hilo.Soma Injili ya Matayo 6:5-7.Hapo Yesu anatoa praying principle.Anasema unaposali usipayuke payuke kama mtu mnafiki!Kamusi ya Kiswahili inaweza kukupa tafsiri nzuri ya kupayuka.Mungu ni mtu wa utaratibu maalumu na unaopendeza.Hapendelei "vocal" au "mistari" zisizokuwa na mipangilio.Kama sisi tunaweza kukataa wimbo wowote labda wa Diamond kwa sababu vocal yake inakera unafikiria Mungu itakuwaje?Yeye si atakuwa anachukizwa zaidi?

Mkuu, tuwe wakweli tu.Maombi ya namna ile ambayo hakuna anayemsikiliza mwingine unafikiria ni sala kweli?Sala lazima iwe na Mpangilio maalumu.Unaikumbuka sala kuu(Baba yetu) aliyoifundisha yeye mwenyewe Yesu Kristu?Ukiisoma unapata picha gani?Hivi kweli maneno yale yanaweza kuwa yalikuwa yanatoka kwenye kinywa cha mpayukaji?
Hit the target mkuu coz kama kuna kundi unalizungumzia
 
Back
Top Bottom