Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,728
- 145,433
Jibu maswali kwanza, nitakujibu ukijibu sitaki ugezee.Kwani we unaniuliza kama nani?
Jibu maswali kwanza, nitakujibu ukijibu sitaki ugezee.Kwani we unaniuliza kama nani?
Bado hujaniambia we ni kama nani hadi nilazimike kukujibu.Jibu maswali kwanza, nitakujibu ukijibu sitaki ugezee.
Nani kasema unalazimika kunijibu?Bado hujaniambia we ni kama nani hadi nilazimike kukujibu.
Mimi sio atheist na niite lost soul or whatever (which actually proves my point, you are intolerant even though u claim not to be). Nakushangaa unasema you never stated kua atheists should cease to use westeners arguments, rudi pitia post yako that's exactly what you wrote. Unaanza kubadilisha mambo baada ya kuona argument yako haikua valid.
Alafu don't talk about science when you know nothing about it. Unasema its still in an infant stage, hehehe are u kidding me? Just because we can't do teleportation doesn't mean science hasn't grown, infact it has grown exponentially, its very mature, we are still a type I civilization lakini what we have achieved is very great.
I'm surprised unai-ditch science when its the reason upo jamiiforumns leo unapost, its the same thing that makes it possible for you to talk to someone who is on another country, you could even talk to someone standing on the moon because of this science unayohisi its wrong, ndiyo some rules zinabadilika, lakini ipo classical ambayo it has been proven and it won't ever change, scientists wanaposema dunia ni 4.5Billion years old kwa kutumia radioactivity, who are you to think otherwise? leo hii ni kitu naweza kukiprove laboratory na ukakiona, na same law inatumika kwenye vitu kama generation ya nuclear energy, umeme wa nuclear upo, kwa nini tuseme its wrong when its clear that it works?
We uliza swali lolote unalotaka kuuliza ambalo unahisi ni scientific na sitokua na jibu, maana hata mimi nikikuuliza kuhusu mambo ya dini utabaki umehaha tu, huwezi hata kunipa proof kua mungu wako ndiye mungu wa kweli zaidi ya kuspeculate, em nipe jibu according to the bible Earth is like 6000 years old, what evidence is there to backup your claim? usiniambie amini tu kama ilivyoandikwa, hata bible inakwambia utumie akili.
Na mwisho wa siku mnafika mpaka kwenye personal attacks wana maana hawa.Najua sana ndio maana nawapeleka kwa tune yao
Ingekuwa silazimiki basi ungenijibu kwanza na sio kwamba hadi mie nikujibu ndiyo nawe unijibu,huoni kuwa hapo nalazimika kukujibu?Nani kasema unalazimika kunijibu?
Unajua kusoma wewe?
Yaah...!! Nimeona na umejitahidi sana kumaintain calmness lakini jamaa ni dhairi ndiko anakokupeleka.Fuatilia mtiririko wa replies zangu hakuna popote nilipomshambulia mtu personally
Unalazimikaje?Ingekuwa silazimiki basi ungenijibu kwanza na sio kwamba hadi mie nikujibu ndiyo nawe unijibu,huoni kuwa hapo nalazimika kukujibu?
Au we unajua kusoma ila hauelewe maana ya hicho unachokisoma? maana kujua kusoma haina maana unaelewa usomacho.
Kulazimisha hakuhusiana na hivyo vitu ulivyotaja,ila unaweza kutumia hivyo vitu kutishia kwa kulazimisha kitu.Unalazimikaje?
Sijakushikia bunduki, sijaku blackmail, sijasema usiponijibu nitakufungia akaunti yako.
Unalazimika kunijibu kwa minajili gani?
Unafahamu kulazimika maana yake ni nini?
Unalazimika vipi kunijibu?
Ukiamua usinijibu uamue uende kulala sasa hivi, nitakulazimishaje unijibu?
Nimekulazimishaje?Kulazimisha hakuhusiana na hivyo vitu ulivyotaja,ila unaweza kutumia hivyo vitu kutishia kwa kulazimisha kitu.
Unakataa kuniambia wewe ni nani humu hadi uniulize maswali kwa aina hapo mwanzo kwa kutaka hadi nikujibu maswali yako.Nimekulazimishaje?
Sasa kwahiyo akishindwa kuthibitisha inakuaje kuwa kusema hakuna mungu nako sio kusadikika?Habari za kumuhusu Mungu ni za KUSADIKIKA, na hazina ukwel wowote ule.View attachment 396513
Kwa mfano nikikwambia UTHIBITISHE hautaweza, zaidi ya kuleta Hekaya hapa.
Hujanionesha nilivyokulazimisha. Mimi nimekuuliza, unaweza kujibu, unaweza kupotezea.Unakataa kuniambia wewe ni nani humu hadi uniulize maswali kwa aina hapo mwanzo kwa kutaka hadi nikujibu maswali yako.
wote ni matokeo ya jamaa wachache walijifungia na kufafanua vitu ambayo hwavielewi na kujipatia wafuasi wasiohoji mizizi ya wanachokihubiri dunia nzima. Ndio maana karibu wote walikufa hawajapata majibu ya wanachodhani wanakijua na kuwaacha wafuasi wakitapataba with surface evidence.Una hakika atheists wote hawaamini Mungu kwa sababu hawajamuona?
Au kufikiri hivyo ni matokeo ya kukosa elimu kwako tu?
Mkuu, hili jambo linafanana sana na je, secret societies(like Illumiati) ni dini?Kuna kitu wengi tunashindwa kukikiri ili uwe atheist ni lazima uwe na msingi...na hapa ndio dhana ya imani inapotokea
Ni lazima usome Biblia na Misahafu mingine halafu usikubaliane na kile kilichoandikwa mle... .uwe na uwezo wa kuhoji
.kile kitendo cha kusoma Biblia na mafundisho mengine ya jinsi hiyo tayari unakuwa umejengeka kiimani, imani juu ya Mungu uwepo wake nk halafu ndio sasa uende kinyume na hayo yote
Mr Kiranga hili neno "mjinga unalitumia vibaya.Macho yako yamejaa ujinga, uongo na uvivu, sishangai kama ukiwa huoni tatizo.