Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Mkuu wewe ni atheist au atheist sympathiser?

Sijui hata kama ulinielewa nilichokusudia hasa katika maelezo yangu. Mimi nimeelezea hawa atheists hususani tulionao humu wanavyojiona wana uelewa wa hali ya juu kuhusu swala zima la imani na hata kuwaadaa wengine wenye mtazamo tofauti na wa kiimani na wa kwao kwamba ni wajinga, wakati kimsingi wao ndio wa kuwahurumia kwa sababu wako ignorantly brainwashed.

Na hakuna mahala mimi nimesema mwenye imani tofauti na wao ndio yuko correct na wala sijasema kwamba wasiendelee kuamini wanachokiamini vile vile pia sikusema nina proof 100% kwamba imani yangu iko sahihi... so that all of these were spurious annotations and prevarications of yours.

Ukitaka kuona hawa wako ignorantly brainwashed wanatumia logical fallacy ambayo ni argumentum ad velecundium wanapo deal na ant-atheist, wanatumia philosophical explanations za wapinga Mungu wa magharibi kama back up ya huo uatheist wao. Sasa mtu kama huyu anaanza vipi kujiona yeye ana akili sana kama na hata kudharau wasiofanana na yeye?

Kuhusu kuheshimu imani ya mtu mimi sina tatizo ila tatizo isipokuwa sina heshima kwa mjinga mjinga anaeiga vitu ambavyo hata yeye mwenyewe hana uelewa navyo na kuvitumia kama fimbo ya kuwachapia wengine.

Pamoja na hivyo sehemu kubwa nakubaliana na wewe hasa hizo paragrah mbili za mwisho.

Hehe kwa hiyo mkuu hutaki watumie arguments ambazo wanaona ni valid? Kwani mtu kutumia argument aliyosoma somewhere kuna shida gani? Hata mwenye dini akiwa anatetea si anatumia yaleyale tu anayosikia kwa wengine au kusoma kwenye vitabu vya dini ambavyo hajui hata viliandikwa wapi.

Na unavyosema argumets za magharibi unanishangaza, em nipe mfano hata moja! So tatizo lako ni magharibi au? U r forgetting hao hao wa magharibi ndiyo walikuja kusambaza dini hizi huku Afrika, i think its logical kutumia arguments zao kwenye discussion maana hata mwenye dini anatumia vitabu vilivyotoka huko huko kwao, unless you can argue kua for some reason dini zili~exist naturally everywhere and not spread.

Ni kama mnavyoulizana swali la dunia ilianza lini, dini inakwambia about 4000~6000years ago, ila science inakwambia about 4.5billion years ago, science can provide proof, dini haiwezi, no offense ila siwezi mlaumu mwana sayansi kwa kitu kama hiki au nikamuita mjinga maana hapo mjinga ni mimi, yeye proof anayo na ni mathematically valid hata we unaweza pima leo hii. Ndo maana nasema it all start from the feeling kua hawa jamaa ni tofauti na wewe, unawaona kama rivals.

Ofcoz wapo atheists ambao they dont want to mind their own business na kua tolerant, same goes for watu wa dini, utofauti ni ule watu wa dini wanaweza kwenda kwenye extremes na kuua kabisa which I find plain stupid.
 
Sasa kumbe definition umeipata kwenye kamusi?? Kazi ipo
Hebu niambie tafsiri direct isiyo na ubishi inapatikana wapi! Jimena msiwe too much defensive kwa hii mitazamo na kudhani kuwa mtazamo wako wewe ni bora wangu
Nilichoona hapa badala ya kujibu hoja baadhi wamekuja na kushangaa tu ama kuanza kuongea yaliyo nje ya mada...
 
Hehe kwa hiyo mkuu hutaki watumie arguments ambazo wanaona ni valid? Kwani mtu kutumia argument aliyosoma somewhere kuna shida gani? Hata mwenye dini akiwa anatetea si anatumia yaleyale tu anayosikia kwa wengine au kusoma kwenye vitabu vya dini ambavyo hajui hata viliandikwa wapi.

Na unavyosema argumets za magharibi unanishangaza, em nipe mfano hata moja! So tatizo lako ni magharibi au? U r forgetting hao hao wa magharibi ndiyo walikuja kusambaza dini hizi huku Afrika, i think its logical kutumia arguments zao kwenye discussion maana hata mwenye dini anatumia vitabu vilivyotoka huko huko kwao, unless you can argue kua for some reason dini zili~exist naturally everywhere and not spread.

Ni kama mnavyoulizana swali la dunia ilianza lini, dini inakwambia about 4000~6000years ago, ila science inakwambia about 4.5billion years ago, science can provide proof, dini haiwezi, no offense ila siwezi mlaumu mwana sayansi kwa kitu kama hiki au nikamuita mjinga maana hapo mjinga ni mimi, yeye proof anayo na ni mathematically valid hata we unaweza pima leo hii. Ndo maana nasema it all start from the feeling kua hawa jamaa ni tofauti na wewe, unawaona kama rivals.

Ofcoz wapo atheists ambao they dont want to mind their own business na kua tolerant, same goes for watu wa dini, utofauti ni ule watu wa dini wanaweza kwenda kwenye extremes na kuua kabisa which I find plain stupid.
Mtu anatumia herufi za Magharibi na internet iliyoanzishwa na Magharibi halafu anaponda Magharibi!

Aaanzishe herufi zake na internet yake ya mabua basi tujue kweli Magharibi hawafai kaanzisha chake.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.

Hili linaonesha jinsi watu wasivyotumia akili.
 
mshana jr

Hao walivyo ni kama Barcelona yenye kumfanya mpinzani wake acheze mpira autakao yeye ili waweze kuutalawa mchezo.
Ndiyo maana mimi nikaachana nae yule mmoja,angalia walipokupeleka huko sasa hivi halafu jiulize kama hicho wanachokufanya ujadili kama kinasaidia chochote katika mada husika.
 
Nina shaka kama wewe unaelewa hata maana ya kuelewa ni nini, achilia mbali kama utaweza kuelewa ninachoandika kiasi cha kuweza kuhoji kama naelewa au sielewi ninachoandika.
bado unarudi kwenye assumptions na fikra binafsi unazotaka ziwe uhalisia
Haya mashaka yako juu yangu ni mtazamo wako ambao sina tatizo nao! Kwanini nipingane na mtazamo wako?
Uiichoshindwa ni kimoja kujibu hoja
 
Assumptions umeanzisha wewe kwa kuandika kila atheist haamini Mungu yupo kwa sababu Mungu haonekani.

Unaweza kusahihisha assumption hiyo yenye uongo, ujinga na uvivu wako?

Ipo kwenye original post yako hapa.
 
Kwahiyo kwa muktadha wako Mungu anaonekana? Mbona unashindwa kabisa kujibu hizi hoja?tatizo ni nini? Sikuandika assumption nimeweka mada yenye kuhitaji mjadala....
 
Ume assume kwamba wasioamini Mungu yupo hawaamini Mungu yupo kwa sababu Mungu haonekani.

Mimi siamini Mungu yupo, lakini siamini hivyo si kwa sababu haonekani.

Hivyo kuandika kwamba wote wasioamini kuwapo kwa Mungu hawaamini Mungu yupo kwa sababu haonekani ni assumption ya kijinga, kiongo na kivivu.

Umeelewa?
 
Una tatizo la kumalizia na mtazamo huku ukitoa conclusion kuwa ulichoandika ndio uhalisia na ndio ukweli
Hiki ni kilema chako
 
Una tatizo la kutokubali kwamba umekosea hata ukioneshwa wazi kwamba umekosea.

Una tatizo la kutokuomba ueleweshwe ambapo hujaelewa.

Una tatizo la kuwapa watu sababu ya kukubali stereotype ya kwamba kina Mshana ni wabishi by nature, hata kwenye mambo ya kipumbavu.

Wewe umeandika kwamba atheist yeyote ukimuuliza kwa nini haamini Mungu yupo, atakwambia kwa sababu Mungu haonekani.

Mimi nakwambia mimi ni atheist, na sababu yangu ya kutokukubali kwamba Mungu yupo haina uhusiano wowote na kuonekana kwa Mungu.

Hujaona tu kwamba umekosea?

Hujakuwa hata na udadisi wa kutaka kujua sababu yangu ya kutokubali kuwepo kwa Mungu mpaka nianze kukuonesha maswali ya kuuliza?

Ndiyo maana nikasema, wewe ni muongo,mjinga na mvivu.
 
Una tatizo la kukubali kwamba umekosea hata ukioneshwa wazi kwamba umekosea.

Una tatizo la kuomba ueleweshwe ambapo hujaelewa.

Una tatizo la kuwapa watu sababu ya kukubali stereotype ya kwamba kina Mshana ni wabishi by nature, hata kwenye mambo ya kipumbavu.

Wewe umeandika kwamba atheist yeyote ukimuuliza kwa nini haamini Mungu yupo, atakwambia kwa sababu Mungu haonekani.

Mimi nakwambia mimi ni atheist, na sababu yangu ya kutokukubali kwamba Mungu yupo haina uhusiano wowote na kuonekana kwa Mungu.

Hujaona tu kwamba umekosea?

Hujakuwa hata na udadisi wa kutaka kujua sababu yangu ya kutokubali kuwepo kwa Mungu mpaka nianze kukuonesha maswali ya kuuliza?

Ndiyo maana nikasema, wewe ni muongo,mjinga na mvivu.
Bado uko pale pale kwenye mtazamo na personal attacks
Sikereki na wewe kwakuwa mimi sio muongo sio mvivu wala sio mjinga...kwa reply yako hii naona unazidi kuchanja mbuga kuelekea vichakani
The biggest joke ni kwamba eti mimi ni mbishi na sitaki kueleweshwa! Duu mimi mshana anieleweshe mtu anayejiita Kiranga
 
Kama wewe si mjinga , muongo na mvivu, kwa nini hutaki kusahihisha uongo, ujinga na uvivu uliouandika katika original post?
 
Siwezi kwakuwa sikuandika kum please mtu moja..! Unachokiona wewe ni mtazamo wako binafsi ambao sina tatizo nao! ila usitake kufanya ndio mtazamo wa wote kwahiyo siwezi hata maramoja kubadili chochote
 
Wewe kubali tu umejipindua, umechemka.

Umeandika kitu kisicho na kichwa wala mguu kwa sababu ya ujinga wako, umasikini wa mawazo, ukosefu wa werevu.

Ungumbaru.

Umeandika atheist yeyote ukimuuliza kwa nini haamini Mungu yupo atasema kwa sababu Mungu haonekani.

Maisha yako yote pamoja na kudai umekaa na hao atheists miaka yote hiyo 24/7 (sijui mlikuwa mnaoga na kunya pamoja) hujajua kwamba kuna atheists wasioamini kuwapo kwa Mungu bila ya kutumia sababu ya Mungu kutoonekana.

Inaonekana una uwezo mdogo wa kuelewa, huna uwezo wa kufuatilia mambo, huna uwezo wa kujenga hoja.

Ndiyo maana ukaandika uharo huo kuhusu atheists hata baada ya kukaa nao kwa miaka hiyo.
 
Hahhahahaaaa kisu kimegonga mfupa..sasa kwanini unahemka kiasi hiki? na mipasho juu? Na kejeli?
Ungekuwa una hakika na kile unachokijua ungetulia ukajibu kwa hoja makini sio hizi papara na kuruka ruka kama bisi kikaangoni
Nakiri wazi hujui kwa hakika atheism ni kitu gani la sivyo ungejibu hoja kwa hoja
Chukua muda ushushe pressure kisha urudi tuendelee na mada..hapa ni tuko kwenye mjadala sio mitazamo binafsi tunayodhani ndio sahihi kuliko mingine
 
Wewe uliyeandika kwamba atheist yeyote ukimuuliza kwa nini haamini kuwapo kwa Mungu atakujibu kwa sababu Mungu haonekani ndiye unaijua atheism?
 
Back
Top Bottom