ATCL viable - US investor

Hadi Wachina wameikimbia.. ATCL itapelekwa UAW ili kukamilisha mtandao wao wa Sharjah kule..

Mwanakijiji... huu ndio mshtuko wangu!!! Tume- dillydally na kuwekeana vyeo na ulaji mpaka mwekezaji amekimbia... looking at our economic fragility na style ya uendeshaji ya marekani hakyanani hii ATC ni another TRL

Hivi kwanini sisi ni mabingwa wa ngojangoja??
 

Hapana, mwandishi ndiye aliyechanganya unga na maji baridi. Huyu bwana Fabian Bachrach ni mtu anayefahamika sana katika biashara ya kukodisha na ndege. Kampuni yake yenye makao makuu pale Boca Raton Florida eneo la biashara ya fedha karibu sana na Florida Atlantic University inaitwa AIR FINANCE CORPORATION na website yao ni hii hapa Air Finance Corporation. Ukipitia website yake utaona kuwa katika kufanikisha shughuli zake, huwa wanatumia financial services kutoka makampuni ya Bravo Capital Holdings Corporation na CELTIC CAPITAL CORPORATION ambayo website yake ni hii hapa. Inavyoonekana, mwandishi ndiye aliyeboronga kwa kuchanganya majina ya makampuni hayo mawili ya CELTIC CAPITAL CORPORATION na AIR FINANCE CORPORATION.


asante kwa ufafanuzi

Nikirudi nyuma tena, hivi sisi Tanzania tuna ugonjwa gani wa kuamini kuwa mwokozi wetu atatoka nje ya nchi? Kila kukicha tunaongelea kumpata mwekezaji wa kutufanyia mambo yetu yaende sawa, lakini na miaka yote hii tumeona ni nini kinatokea kwa kufanya hivyo; je vichwa vyetu haviwezi kufikiri namna ya kujikwamua sie wenyewe? Nadhani inabidi tufundishane tena siasa za kujitegemea.


Rais ameshasema bila wawekezaji hatuwezi kuendelea; sasa unapingana na Rais?
 
Reverand usije nawe ukawa umechukulia post yangu kama vile mimi ni mtetezi wa dili hii; kuna mwandishi mmoja hapo juu alionyesha hivyo.

Mimi siwatetei jamaa hawa kuwa ni investor wazuri, no! no ! no! na wala sina undani wa kampuni hiyo ya AFC.

Mwalimu Kichuguu,

These guys are scam artist if not low profile investors like Richmond!

Hiyo Celtic Capital ni kajikampuni ambako hakana hata misuli na profile ya kutosha, Bravo hata ukipita Gugo au Bing kurasa tatu huwaoni na hata AFC ndio nao wako listed kama inactive kwa Secretary of State of Florida!

Binafsi ninamfahamu Fabian kwa vile nilikutana naye sana Summer ya 2008 kipindi nikiwa FAU na alinipa business card yake; alikuwa na branch kwenye uwanja wa ndege ulioko nyuma kidogo ya FAU. Nina uhakika kuwa katika kipindi cha miezi mitatu niliyokuwapo pale, alikodisha ndege ndogo ndogo na corporate jets karibu ya nne. Jamaa huyu alikuwa anajulikana sana kwa shughuli hizo za ndege kwenye ukando huo kuanzia Boca Raton hadi Fort Lauderdale. Eneo hilo lina biashara nyingi sana za ndege; kwa mfano kuuza na kukodisha ndege, flying schools, air taxis, kutengeneza ndege, na kadhalika. Kumbuka kuwa nje kidogo ya eneo hilo kule Vero Beach kuna kampuni maarufu ya kutengeza ndege za Piper.

NB: Hata Gire ni mtu maarufu sana pale Houston lakini alituletea Richmond.


Nami nimecheki hapo kwenye list ya secretary of state nikaona kuwa kampuni ya AIRFINANCE CORP ni inactive tangu 1999, na ilikuwa imedikishwa kwa jina la WILLIAM B ELLIOTT ikiwa na ofisi zake kule WEST PALM BEACH. Sijui uhusiano wa kampuni hiyo na hii tunayoongelea na kama ulivyosema inawezekana kabisa hii ni kampuni kanyabwoya au inafanya biashara kwa kutumia jina la kampuni nyingine.
Je, Fabian aliingia mradina Mattaka wakati Mattaka alipokuja Florida 2007 na kuingia dili la kununua HewaBasi na kutuletea ule mchko uliotokea Guatemala au Honduras kama si El Salvador?
Hiyo nayo inawezekana kabisa kwa vile jamaa huyu anaonekana kujulikana sana among Latino communities, kwa hiyo anaweza kuwa alihusika kwenye dili hilo. Vile vile labda ndiyo maana jamaa huyu alikuwa na interest sana ya kuongea namimi mara kwa mara; huenda aligundua kuwa nimetokea Tanzania ingawa hakuwahi kuniambia kama ana connection yoyote ya kibiashara na Tanzania.
 
Pole pole, naomba uwe mstaarabu kidogo hata kama si silka yako. Kutokubaliana na mtu siyo lazima mtu yule awe mwongo; inawezekana wewe ndiwe mwongo unayepinga na ukweli.

Nilianza kwa kusema kuwa wanakodisha ndege kwa vile ndiyo biashara wanayofanya. Kama wewe unataka ndege ya kukodi, waone wao watakutafutia na kukudoshia ndege hiyo; hiyo ndiyo business model yao na kwangu mimi hiyo ni biashara ya kukodi ndege.

Baadaye nimeongezea kuwa nawaona kama ni middlemen ni kwa vile hawana fleet yao ya kukodisha, wanachofanya ni kutafuta ndege zilipo na kuzikagua kuhakikisha kuwa zinatosha mahitaji ya mteja wanachukua.

Nimesema huenda ana asili ya kikyuba kwa vile wakati nikiwa FAU yeye alikuwa active sana katika elemenatry schools ambazo zina wanafunzi wengi wa kikyuba wakati wanajiandaa na mashindano ya science: mimi nilikuwa mmoja wa organizers wa mashindano yale.


Mwishoni kabisa, sijashabikia kuwa huyu ni mwekezaji lazima tumpe. Nimemalizia kwa kupinga hii tabia ya kutafuta watu wa nje kuja kutuchukulia mashirika yetu. Nimesema hivyo kwa sababu hata kama kampuni la nje lina uwezo wa kuendesha biashra ya ndege, siyo kweli kuwa wakija watatufufulia hili letu na kulifanya la kimataifa kwa faida yetu; SAA walionyesha hivyo.

Kama wewe unafurahia matusi na kuitana majina basi sasa inatosha, usinihusishe zaidi.

sorry kwa kukuita mwongo
saa ingine emotions.
 
website ya sinagol inasema haya chini.sasa sijui wanataka kuuza mafuta ya ndeege au vipi. maake Angola ndo wachimbaji wakubwa

"Established in 2004, China Sonangol International Holding Limited mainly engages in oil, gas and minerals investment and exploration, crude oil trading and large-scale national reconstruction projects. With the headquarter office in Hong Kong, the company also has branch offices in China, Africa and Latin America"
 
Hata ndani ya Bunge tayari wameshajadiliwa na kuridhiwa, hivyo sioni ni katika grounds zipi tunaweza kumwita MZUNGU wa America

10% itamleta mwarabu amini usiamini hakuna mchina anymore

Mkuu una hakika na unachoongea kuhusu kuridhiwa kwa mkataba wa mchina ATCL? That is not correct. Hata mkataba wenyewe haupo mezani kuanza kujadiliwa!!
 
Kuna watu waliopewa uwaziri na kikwete lakini hawana hadhi ya kuwa mawaziri.
 
website ya sinagol inasema haya chini.sasa sijui wanataka kuuza mafuta ya ndeege au vipi. maake Angola ndo wachimbaji wakubwa

"Established in 2004, China Sonangol International Holding Limited mainly engages in oil, gas and minerals investment and exploration, crude oil trading and large-scale national reconstruction projects. With the headquarter office in Hong Kong, the company also has branch offices in China, Africa and Latin America"


kaka ushawahi kusikia wachina wanachagua ;labda kukujulisha jamaa alikiri kabisa hana uzoefu ila amefadhili baadhi ya airline africa angola mojawapo ninavyoongea zimbabwe wamelamba nao dume majuzi baada ya kuaja bongo akatarajia wanamaliza iakaona mlolongo mwingi akaamrisha zile ndege ulizosikia zinaletwa atcl 4 zikaelekea zimbabwe wanakula shafu;huyu jamaa ajui kitu ila ni mjanja ;kama angola na zimbabwe kachukua watu wa luftansa ndio wanasimamia kila kitu alafu kwenye financial director anawka wake;kazi kwako....
 
Hata ndani ya Bunge tayari wameshajadiliwa na kuridhiwa, hivyo sioni ni katika grounds zipi tunaweza kumwita MZUNGU wa America

10% itamleta mwarabu amini usiamini hakuna mchina anymore

Ndio maana Kawambwa mwenyewe ndio anasafiri kutafuta wawekezaji baada ya Mchina kulalamika kuwa watu wanaomba wapewe chochote!! He was only diplomatic when he complained of bureaucracy in Tanzania; haitakuwa ajabu ukiwaona waarabu ndio wanapewa bila ya kufanyiwa due diligence kwani wizara inayojitwisha jukumu hili zito haina uwezo wa kufanikisha zoezi!! 10% watapata za kuwasaidia uchaguzi lakini nchi itapata RICHMONDULI 2!!! Let us wait and see.
 
mchina aliwaambia wazi wizara imejaa matapeli wa ten perc jamani ;kwa mtaji hu akuna mkataba utakaosainiwa;awakuamani
 
Mkuu una hakika na unachoongea kuhusu kuridhiwa kwa mkataba wa mchina ATCL? That is not correct. Hata mkataba wenyewe haupo mezani kuanza kujadiliwa!!

Sasa kama hakuna maelewano yeyote kati ya Mchina na ATCL hizo Dash 8 mbili aliwanunulia kwa misingi gani?Inasemekana hata deposit ya ndege aina ya AIRBUS aliwawekezea!! Sasa watasemaje hawana maelewano nae na Kawambwa is recorded in Hansard kwamba mazungumzo na Mchina yalikuwa at a very advanced stage!! Je, inawezekana aliliongopea bunge kama ilivyokawaida ya mawazili wa muungwana?
 
wabunge weni wa bunge letu ni waongo wakiongozwa na mawaziri kaka dont trust them
 
HIVI HAO NDIO HAWA AMA

ATCL acquires two aircraft
daily news; friday, december 29, 2006 @00:03

Air Tanzania Corporation Limited (ATCL) has leased two aircraft from Celtic corporation based in Canada. One of the aircraft, Boeing 737, landed in Dar es salaam on Wednesday night, as officials of the airline described its arrival as `a new dawn` for the troubled firm to move out of the red.

‘‘This step marks the new beginning for air Tanzania, and the start of an interim phase on our road to become cash positive and a going concern,’’ said Ali Mfuruki, chairman of ATCL board of directors in a statement.

He said the two aircraft were part of the fleet transition from those owned by the firm's former strategic partner, South African airways (saa).

Mr Mfuruki said the newly arrived aircraft was scheduled to begin operations today. The second aircraft was expected in the country within a month, he added.

He said ATCL has been able to lease the aircraft following the decision by the government to start re-capitalisation of the troubled airline.

He further said the airline could be turned around into a profitable venture by fleet and network expansion, returning to the Air Tanzania ticket stock, re-branding and a new it platform.

the 19-year-old planes were being leased for a two year contract at 50,000 us dollars each per month.he said the aircraft have a configuration of 16 passengers in business class and 86 in the economy.
 
Air Tanzania Corporation Limited (ATCL) has leased two aircraft from Celtic corporation based in Canada. One of the aircraft, Boeing 737, landed in Dar es salaam on Wednesday night, as officials of the airline described its arrival as `a new dawn` for the troubled firm to move out of the red
 
Tsh 54 billion bailout else… Air Tanzania Corporation in throngs of death, again
Friday, 24 July 2009 08:41 | Written by Administrator |
* Travel agents no longer sell ATCL tickets
*Causes of its woes, impact and prospects
* Dec Tsh2bn bailout settled debts
* Gov to offer Ths 20bn
* Management hits back, talk of sabotage

YAKOBE CHIWAMBO AND ZUHURA HUSSEIN

THE much-troubled Air Tanzania Corporation Limited (ATCL) still has a long way to crawl out of the abyss in which it has fallen in terms of performance – despite frantic efforts by the Government to rescue it, Business Times has established.

Late last year, the so-called national air carrier suspended its operations for more than a month. Although the Government pumped Tsh2 billion into the ailing Corporation, it was more or less a classic case of throwing good money after bad! That tidy sum is equal to US$1.54m at an exchange rate of Tsh1,300 to the dollar!

That financial rescue package notwithstanding, ATCL has continued to cancel otherwise scheduled flights now and then. Currently, the airline has only one aircraft in operation out of the two it boasts to its name! The Airline also has two other planes on hire from other sources.

“The 'national carrier' is bedeviled by the twin problems of having only one flying plane, and a singular lack of technical manpower. Compounded by questionable management decisions that were made in the last decade or so, all this has caused what was once upon a time the Pride of Tanzania in the Skies to virtually kiss the dust,” a reliable source told Business Times.

Weeks of investigation by this paper unearthed some of the reasons which make ATCL the laughing stock it is today, scheduled flights at the drop of a hat as a matter of course!


Flight cancellations
ATCL has continued to cancel scheduled flights now and then. Worse still, when delays and cancellations occur, ATCL modus operandi gets miles away from the idea of refunds, or even slightest compensations in the form of meals and accommodation.
Long delays, cancellations and lack of care have led to overwhelming complaints from customers against ATCL.
Business Times witnessed a slight commotion between would be passengers and ATCL officers at the departure gate of Julius Nyerere airport, about 9.00 am on Saturday, July 4 2009.

A day before the fracas, an Air Tanzania Dar - Mwanza flight was cancelled and passengers were promised they would travel the next day instead (without being given a word on their rights to compensation, full or partial refunds, possibility of re-routing them or shifting them to other airlines such as Precision air).

But the scheduled next day's flight to Mwanza was already full of bookings that included several journalists who were heading to Mara via Mwanza, on investigation about the alleged seepage of poisonous substance by Barrick Gold's North Mara mine into Tigithe River.

ATCL decided to clear the backlog first. So, most of the scheduled July 4th passengers couldn't board the plane and were told they would travel in the evening instead, again, without ATCL's concern about meals, accommodation, re-routing etc the hence commotion.

Already, customer grumblings against ATCL have boomeranged at air ticket agents, some of whom have now decided to kick the corporation out of their good books.

Only one plane operating
Only one of the two Dash 8-300 planes ATCL owns is operational.

An impeccable source who spoke on condition that his/her identity would not be published explained that the other Dash 8-300aircraft is grounded at Mwanza Airport while its engines are ostensibly undergoing repairs in Italy!

Dependency on hired planes
ATCL has at its disposal one Airbus 320aircraft hired from Walis Trading Company of France, as well as one Boeing 737-200hired from Celtic Corporation. However, the 150-passenger Airbus was grounded last year when ATCL's (Air Operator Certificate) was suspended.

In the event, the Government and the ATCL at first contemplated terminating the lease – but then, fearing incurring untold costs which could result from court litigation, entered into negotiations with the owners, WTC.

“The negotiations were successful," our source said. “In March this year, the French firm removed some of the conditions for renting the Airbus after considering the effects of the financial meltdown – and the fact that the plane was grounded.”

In that regard, the Government was required to issue a Letter of Comfort the lessor that monies owned to him would be paid, and that the aircraft would be taken to Sabena Technics in France a 'mandatory periodic maintenance of aircraft' (C).

The letter was issued in late-June 2009, and the air craft is currently undergoing the check in France. It was expected to be back with ATCL this July.

"Whether the Airbus-320 flies or not, ATCL is obligated to pay WTC as the contract states," the source stressed – adding more financial woes to the Airline.

Inadequate number of pilots
ATCL has a dire shortage of Tanzanian pilots, and has to employ foreign pilots especially for A320 and the Dash 8-300 fleet. This, our source noted, costs the Airline million in scarce foreign currency. However, this may be offset if and when the five Tanzanian pilots being trained in France for the A320 aircraft will 'come on-stream!'

But, even then, the new pilots would not solve the pilots-shortage problem.

"A Dash 8-300 pilot cannot operate a Boeing 373-200 or an Airbus," the source notes, adding that “it costs about US$30,000 (roughly Tsh39m) to convert one set of crew to operate a different plane.”

Indeed, the Airline has converted a good number to operate the Dash 8-300 airplane... But it did not convert all since it needed some to operate the Airbus and B737-200 aircraft if and when they become operational again!

What should be done to strengthen ATCL?
The source said there is a possibility of ATCL being revived – but only if a number of things are done to that end.

"The Government must release enough funds to widely promote ATCL as a functional and reliable airline. As it is, air travellers have lost confidence in it, largely as a result of the frequent flight cancellations, coupled with the suspension of some of the airline's routes,” said.

"The Government must boost its own (national) airline if it wants to remain in the air transport business," he said.

He noted that ATCL has the potential for a significant role in promoting the country's tourism industry and regional activities such as the 2010 World Soccer Cup Finals in South Africa.

In a related Survey, Business Times sampled the views of some of ATCL's Agents on the matter.

A good number of them expressed much disappointment with the Airline. In fact, four of the five interviewed have suspended ATCL ticket sales!

“I stopped selling Air Tanzania tickets because they were often cancelling their flights at short notice, thereby inconveniencing our customers,” said a representative of Reza Travel & Tours Ltd in the city centre. Not only that, he went on... “We booked with the Airline twice, and the flights were canceled. We incurred losses, as ATCL took long to refund the money.”

An official of the Star World Travel Agent said they were not selling ATCL tickets anymore – but refused to articulate the reason(s) for that.

Jumba Travels Services Ltd along Upanga Street said they do sell tickets for airlines – except ATCL tickets. Again, the fellow was unwilling, unable or unready to reveal more details, pleading that he was not the firm's spokesman!


ATCL answers back, Acting Managing Director says we can do it


In the mean time, ATCL's Acting Managing Director, Willian Itaji said yesterday that ATCL had not been canceling flights as propounded by some travel agents.

“We have not canceled flights since January, but due to some technical problems sometimes we reschedule the trips,” he said.

He said, some agents have been amplifying the lies that ATCL cancels flights often, with an intention of assisting ATCL competitors gain the largest market share.

“It is surprising that some people with malicious intentions keep on painting a negative picture on the national airline”, he said.

He said the number of flights that they have canceled since January this year did not exceed three.

According to him, many Tanzanians prefer traveling by ATCL but they are being frustrated by agents that are promoting ATCL competitors.
Itaji said in the rare cases that they canceled flights they duly informed their customers and provided them with accommodation.

He acknowledged that ATCL had numerous debts but since the government injected money the debts have been reduced.

He said the debts would not prevent it from operating though they needed more funds to improve operations.

During this years budget, ATCL had asked for Tsh 54 billion boost but the Parliament only approved Tsh 20 billion.

Itaji said in three weeks time the C-Check for the Airbus is expected to be finished while the Boeing 737-200 and the other Dash are expected to be operational in a week's time.

According to Itaji, the Dash8 300 makes a total of 21 flights per week, all of them being internal flights to Mwanza (14 times) Kilimanjaro, Dar , Zanzibar-Dar (3 times) and Kigoma - Tabora (4 times).

About pilots, ATCL said four Tanzanian captains have just finished training for Airbus.

“The whole course cost US$500,000. It is a great success not only to ATCL but to the nation,” he said Thomoson Byarushengo, Sales and Distribution manager for ATCL.

According to Byarushengo, it is the first time that the country got its own captain for the Airbus that has the capacity of 150 passengers.


MMH KAZI NZITO
 
Air Tanzania Corporation Limited (ATCL) has leased two aircraft from Celtic corporation based in Canada. One of the aircraft, Boeing 737, landed in Dar es salaam on Wednesday night, as officials of the airline described its arrival as `a new dawn` for the troubled firm to move out of the red

Sasa nimeanini kuwa hii Celtic Corporatioon haipo, na huenda ilinundwa kimigebemigebe na huyu bwana fabian ili kuilamba ATCL.

Baadaye nilikaa na ku-google Celtic Corporation na kupata makampuni yafuatayo:


  1. Celtic Capital Corporation: Santa Monica California, USA
  2. Celtic Leasing: Irvine California, USA
  3. Celtic Financial Services: Baton Rogue Louisiana, USA
  4. The Celtic Group: Baton Rogue, Louisiana, USA
  5. Celtic Marine: Baton Rogue, Louisiana, USA
  6. Celtic Capital Corporation: Bellaire Texas, USA
  7. Celtic Bussiness Development Corporation: Ferryland, New Foundland, Canada
  8. Celtic Investment, Salt Lake City, Utah, USA
  9. Celtic Bank, Salt Lake City, Utah
  10. ............................
  11. ..............................
Kuwepo kwa makampuni mengi ya "Celtic" yanayohusika na biashara ya fedha na ukodishaji inaweza kuwa ndiyo sababu ya jamaa kutumia jina hilo la Celtic kwa imani kuwa litawa-confuse watu na kumkubali kirahisi.
 
Kwanza nataka sana muone ni nani ameweka hii post.... anaitwa bwana Pundamilia.... Yule mtetezi mkubwa wa mafisadi na makampuni feki kama Dowans. Hapa kuna jambo kubwa sana linataka kufanyika... kuweni macho juu ... eti nini? Celtic Capital Air Co-operation ...
mawe!!!
Kosa kubwa sana ambalo amelifanya Mkapa si kujilimbikizia mali kama watu wengi wanavyodhani.... Amefanya kosa la kuiacha nchi kwenye mikono ya Manyang'au... matapeli majizi ... Jk na kundi lake...

Mkuu macho_mdiliko,
Ahsante sana kwa angalizo lako juu yangu mimi bwana au bibi Pundamilia. Post yako nimeiona punde baada ya kuibandika hapa lakini sikuwa na haja ya kuijbu kwa vile madai yako hayana manufaa yeyote kwa Taifa letu na ATC kwa ujumla. Sina haja ya kwenda ndani zaidi ya madai yako isipokuwa ninaomba uige mfano wa wachangiaji wengine wa kujadili hoja kwa kina na pia kufanya tafiti ambazo zitasaidia kuokoa pesa za walipa kwa kuepuka kamati zingine za bunge juu ya uchunguzi kama ilivyokuwa kwa Richmond. Sisi kama wananchi tuna nafasi yetu katika kuzuia na kuelekeza mambo kabla hayajaharibika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom