ATCL Kwawaka moto! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ATCL Kwawaka moto!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Feb 13, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Habari zilizotufikia punde huko makao makuu ya atcl mjini kunawaka moto,,
  chanzo chetu kilicho huko tanzania kinasema Mkutano mkubwa umeitishwa na CEO wao MH david mattaka, NA HABARI ZILIZOJIRI MH SANA AMEANZA KWA KUCHOKOZA WATU WAENDE LIKIZO BILA MALIPO, KATIKA KUULIZWA NA KUBANWA WAPI SHERIA KAMA HIYO IPO, ameshindwa kujieleza na hivi sasa kunawafanyakazi wananyanyua viti kupingana na agizo lake.

  habari zaidi wafanyakazi wamerudia tena CEO kazi imekushinda waachie wengine...mwenye taarifa zaidi huko tz atujulishe jamani,jamani hii atcl si ndio iliopewa billion 2,billion 2.5,billion 2, na inatarajiwa ati kuongezewa billion 3

  jamani huyu mtu anataka kutafuna pesa zote bila ya kuwa na wafanyakazi ama!!tuleteeni nyuzi
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,805
  Likes Received: 83,184
  Trophy Points: 280
  Mattaka angeanza yeye kwenda likizo bila malipo ya miezi mitatu akirudi apunguze mshahara na marupuru yake kwa asilimia 50.
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Hivi hakuna watu wengine jamani mbona huyu tu...anakuwa kama Arsene Wenger wa Arsenal? LOL
   
 4. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hehehehe wacha nicheke mieee, hebu tafuta jina lake kamili ukishajua basi utafahamu fika kuwa hiyo post alipewapewaje
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  yeaaaaaaaaaaaaahhhhhhhh hii kweli JF
  JAMANI NASIKIA NI KWELI KUNA KIKAO KINAENDELEA HIVI PUNDE KULE MJINI OFISI ZAO,,NA TAARIFA ZAIDI WAU WAMEMWAMBIA MATTAKA AANZE KUONDOKA NA MENEJIMENT YAKE NA WAFANYAKAZI WATAFWATA,,,HUYU BWANA NI KATILI NA KISIRANI EMBU ANGALIA NASIKIA ALIKUWA AKIPITA NA KUAPA KWAMBA WATU LAZIMA WAENDE LIKIZO BILA MALIPO,SI WALITAKA NIONDOKE SASA NTAWAONDOA WAO
  SIDHAN NI KIONGOZI ANAEFAA,,,,,HAONI AIBU HAO WAFANYAKAZI KWANZA WAMEMSTAAHI SANA SI WALIANDIKA HAWAMTAKI KWENYE MAGAZETI NA KUWAPELEKEA WAZIRI ,,,SASA WAMEKAA KIMYA.....,ANAWAONA MAFALA

  USHAURI
  WAFANYAKAZI INAWABIDI KWELI MKAZE BUTI,HUYU BWANA ASIWADANGANYE UHUSIANO WAKE NA MKUU JAKAYA KIKWETE HANA UBAVU WA KUWAPELEKA LIKIZO BILA MALIPO,HAKUNA SHERIA KAMA HIYO.??..,
   
 6. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hii ndo Tanzania inayopiganiwa kwa wananchi muwe na maisha bora, kweli kazi ipo dah!
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Feb 13, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nimewapa pendekezo serikali iwape ATCL bilioni 500!!! hamtaki!
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Ni kweli nimepita kama dk 10 nikiwa naelekea huku juu gorofani,,wao wanafanyia chini..naona wafanyakazi wamesema watamfungia lango kama akiamua kufanya upumbavu huu,,,na kinachowaumiza wafanyakazi ameulizwa ati airbus mkataba wake na matumizi yake vipi,,na vipi waliajiri ama kuwekeana mkataba na wafaransa ,alafu wanaleta marubani ambao awajafikisha hata masaa 250,,,wanarusha ndege za watu ,,,leo hii nimejua sababu,kuna siku nilienda mwanza wandugu kulikuwa na rubani mzee mmoja ana kipara aliturusha kama ngombe kwenye fuso wakati akitua,,,wakati tukishuka nilikiona katoto kadogo nikauliza imekuwaje kanarusha ndege kako qualified ..waafanyakazi wa ndani waakasema tukaiulize menejiment..now nimepata ans,,ila swali langu hawa TCAA hawajui hayo,na kama ndio sheria zinasemaje au nao wanakula teeen perc,kusambaratisha roho za watu??
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Kaizer
  Kaizer has no status.
  Senior Member Join Date: Tue Sep 2008
  Posts: 163
  Rep Power: 21

  Thanks: 21
  Thanked 54 Times in 37 Posts
  Credits: 5,355

  Re: ATCL Kwawaka moto!

  --------------------------------------------------------------------------------

  Hivi hakuna watu wengine jamani mbona huyu tu...anakuwa kama Arsene Wenger wa Arsenal? LOL

  mkuu kaizer::jibu hilo liko bagamoyo kaka:
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Kwa maneno mengine uto tubilioni tuwili tuwili ni kama Panadol tena 250g, huku mtu ana malaria kali?
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  laiti wangewahi kumsikiliza ama kumsoma huyu mtu,wangekuwa mbali sana
  sijui tuwasubirie maamuzi yao..hivi hao wafanyakazi .......mmmhhh break
  nisije wapa dili la kufanya!!!mmalizeni kwanza huyoo kidudu mtu
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Mzee Mwanakijiji
  Mzee Mwanakijiji is present!
  JF Premium Member Join Date: Fri Mar 2006
  Location: Kijijini
  Posts: 13,366
  Rep Power: 52

  Thanks: 7,369
  Thanked 10,354 Times in 3,877 Posts
  Credits: 801,043


  Re: ATCL Kwawaka moto!

  --------------------------------------------------------------------------------

  Nimewapa pendekezo serikali iwape ATCL bilioni 500!!! hamtaki!
  __________________
  Ni rahisi zaidi kumshambulia mtu, kuliko kushambulia hoja za mtu!- M. M. Mwanakijiji Original

  Kijarida cha "Cheche za Fikra" kimetoka!
  Jipatie nakala yako hapa
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwa kila shirika moja la umma lililofanikiwa, ntakuonyesha mia ya binafsi yaliyofanikiwa.

  Na katika mashirika mia ya umma yaliyojiuwa, mimi ntakuonyesho ziro la binafsi.

  Nani wa kulaumiwa?
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Feb 13, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  wewe kwa kutuonesha!
   
 15. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Huo ni ufisadi tu hakuna jingine ikishakufika kuwa Chama Tawala kimejaa wezi usifikirie kama katika ngazi zingine watakosekana ,ukienda mahospital wezi wapo mradi utakapo kanyaga ,hakuna paliposalimika ,kuendesha shirika lolote la serikali hivi sasa ni kubeba mzigo,ni lazima serikali iliyokuwepo ijiuzulu na kuitisha uchaguzi mwengine ,Kikwete hana sababu ya kutotangaza kuwa Nchi imemshinda na hivyo aachie ngazi ili awapishe wengine ambao huenda wakawa na meno makali zaidi ya kuwashughulikia mafisadi na kuirudisha nchi kwenye dira. Ikiwa sasa kila mmoja anajichukulia hatua mikononi mwake ,inamaana hakuna tena anaeijali serikali kwa kujua hakuna anachoweza kufanywa ,mambo ya ukorofi wa juu sifanyi mimi na wewe wanafanya wale ambao wameshajijenga na hata akikamatwa dhamana ya bilioni moja haimshindi na majaji na mawakili nao atawakatia bilioni yao moja kisha anarudi tena uraiani na kuajiriwa upya na serikali.

  CCM imeoza sana na inahitaji kung'olewa tu ,mshikamano wa uhakika unahitajika ili kuwaweka kando watu hawa waliopotea na kupoteza dira ,hawa hawatarudi tena katika muelekeo wa safari njema ambayo ni ndoto kwa Mtanzania ambae fikira zake zinahitaji kupatika uongozi unaojiamini na wenye meno kumkabili yeyote yule ili maisha yake yawe ya wastani.
   
 16. Insurgent

  Insurgent JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2009
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 469
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mataka na Mkulo, kwa nyakati tofauti wakiwa PPF(kwenye viinua mgongo vyetu) wamesaidia sana Chama. Hawa hata wavurunde vipi kuwatoa haiwezekani.

  Haya ni mapanya buku mazoefu.
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  (A)-b(C)d efg hijk (L)mnop qu lmno pq rst( T) uvwl xyz
  Kazi kweli kweli wameshanza kutafunana..lazimaa mchawi apatikane hata kama wamechelewa.....ripot ya mshoro inafanya nini???
   
 18. Insurgent

  Insurgent JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2009
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 469
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mataka na logo yake ya kibunifu...Kenya Airways logo with A instead of K. Huyu ni "msanii"
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Mataka na logo yake ya kibunifu...Kenya Airways logo with A instead of K. Huyu ni "msanii
  afadhaali ya hiyo ndugu huu jama akiwa PPF alikuwa hatari..sema alikuwa anakula na vipofu(WAFanyakazi)....huko ATCL akakutana na mkenya mmoja mshenzi uanweza amini wamaetoa million 200 kwa hiyo logo tu..sasa nani kala ngapi mi sijui walulizen wa dar!!!huyu jamaa walimtaja sana anaitwa HEHO....kama umeona walichofanya alijaribu kugeuza K ya kenya airways na kuweka A
  PUMBAFU!!!!!!!!!!!!!!kabisa na raisi unazidi kunywa na o chai wahuni kama hawa
   
 20. Insurgent

  Insurgent JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2009
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 469
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na kwanini bado yuko pale? Hii ni stori ya mwaka 1998:

  Last week, the fund found itself in trouble with the public when, only a day after Mr Mataka declared that they were not lending to politicians and powerful people, Prime Minister Frederick Sumaye admitted publicly that he had borrowed some $74,626 (Tsh50 million) from PPF early this year to construct a house. (Wazi huyu ni mzee wa kamba, ndio anaaminiwa na viongozi?)

  Mr Sumaye made the disclosure when he publicly declared his property in a move by Chama Cha Mapinduzi leaders to announced their physical assets.

  The admission contradicted a denial last June by the premier's press secretary, Mr Jacob Tesha, who told The EastAfrican then that Mr Sumaye had not borrowed or requested to borrow money from the fund.

  The denial followed claims that PPF was lending to powerful individuals, including the then Governor of the Bank of Tanzania, Dr Idris Rashidi. The bank official borrowed $74,626 to purchase a house in Dar es Salaam without collateral. He presented as security the same house he was borrowing money to buy.(Huyu kapewa TANESCO)


  Mr Rashidi has since been replaced by Mr Daudi Balali after completing his five-year term in office.

  Although his departure from the central bank had no direct link to the PPF loan, the Anti-Corruption Bureau interrogated him on the matter.

  Then, suspiscion was high that the pension fund could have been misused by lending to questionable people or on questionable grounds and conditions due to political influence.

  The PPF was created to take contributions from employees of state-owned firms and low cadre workers while the National Provident Fund, now renamed National Social Security Fund takes contributions from employees of private firms.

  Politicians and government officials do not contribute to either of the funds.

  Hawa ndio wahuni...eeh...wajanja wetu.
   
Loading...