Atcl haina tofauti na mkokoteni uliong'oka matairi na kumlazimu msukumaji kutumia nguvu nyingiATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka SAA 11 jioni wa dar - mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport. Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari. Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako
Bora hata lorry angalau una uhakika utafikaSisi tunaosafiri kwa lifti za Maloli tunapeta.
ATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka SAA 11 jioni wa dar - mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport. Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari. Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako

Mpaka sasa hivi bado kuondokaHeri hao wameondoka ingawa kwa kuchelewa! Fast jet hatukuondoka kabisa na kupewa majibu ya kibabe!
Pole sana.Mpaka sasa hivi bado kuondoka
Kabisa, heri ATC mara kumi kuliko Fastjet. Hawa Fastjet mara nyingi wanalaza watu. Ijumaa iliyopita ilikuwa tuondoke saa nne wakahairisha hadi saa moja na dk 25 jioni, nilipofika wakasema imejaa wakatulaza wakasema turipoti kesho yake saa kumi alfajiri, watu tukafika kama walivyotaka lkn matokeo yake tukaondoka saa 2 asubuh kuja MwanzaHeri hao wameondoka ingawa kwa kuchelewa! Fast jet hatukuondoka kabisa na kupewa majibu ya kibabe!