The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Kulikoni
Maelezo yako kutoka kwa wataalamu (if there were any experts at all) yamenivuta kuandika kidogo.
Utaalamu uliotakiwa uuleze hapa ni costing and pricing. Nje ya hapo ni ubabaishaji tu kama wa swahiba Kikwete. Alitetea dili la Richmond kwamba unit price ilikuwa ndogo zaidi kuliko makampuni mengine. Hata kama hatujui details za mikataba hiyo, lakini hatuwezi kukubali maelezo ya kibabaishaji. We know the principles.
Unit price ni kipengele kimoja tu katika mkataba wowote ule. One has to look at total costs.