tibwilitibwili
Senior Member
- Sep 12, 2006
- 184
- 14
Huko tuendako...haya!
Kwani William Hajji vipi maana sisi wengine tunaona majina tu.. !
Mmmh chijui nicheme au nimungunye?
Jamani ee si ndio tunatengenezewa mabilionea 100 au hamtaki?
Jamani ee si ndio tunatengenezewa mabilionea 100 au hamtaki?
miye sitaki bwana; ukiwa na mabilionea 100 halafu ukawachukua tena na kuwagawia mabilioni mengine katika jitihada za kutengeneza mabilionea 100, ukishamaliza utakuwa na mabilionea wangapi wapya?
Cha msingi ni kuhakikisha kuwa wale mabilionea tulionao tunawaimarisha zaidi katika ubilionea halafu hao sasa ndio watasaidia kuongeza idadi ya mabilionea, first things first, mpo hapo?!
Jamani ee si ndio tunatengenezewa mabilionea 100 au hamtaki?
Hii hesabu ngumu sana itabidi wataalamu wa hesabu kina Mtanzania watusaidie kidogo hapa. Inavyoonekana Kikwete ameamua kubaki na mabilionea mia moja wale wale aliokuwa nao Mkapa!
Cha msingi ni kuhakikisha kuwa wale mabilionea tulionao tunawaimarisha zaidi katika ubilionea halafu hao sasa ndio watasaidia kuongeza idadi ya mabilionea, first things first, mpo hapo?!
Mnahangaika kutengeneza mabillionea hamuoni Jongwe (Mugabe) alivyotengeneza wa kwake Zimbabwe?
Shukrani wa ndugu; haya mambo ni mazito. Nashindwa sijui nianzie wapi tu tukubali tu yaishe?
Hiyo bank ndio ilitakiwa isaidie kutengeneza mabilionea lakini si ajabu hata wenyewe hawajui mabilionea wanatengenezwaje.
Jibu swali wacha uppuzi wako. Kilichokukera nini hapo? huna adabu nini wewe.