Atayaweza majukumu huyu kweli?

Atayaweza majukumu huyu kweli?

Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.

Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.

Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.

Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Dalili ya mvua mawingu, ila kabla ya yote mchane live labda atabadilika, kama hato badilika achana nae hawo ndo wale wanaume ambao hawajui majukumu yao wamewaachia wake zao
 
Kama wewe ndiyo huwa unamuita aje kula kaa kimya...sio kwamba hajui majukumu yake wala aio kwamba anasahau kuja hata na machungwa ya buku..huyo anakupima uvumilivu wako kumbe nawewe unampima kwa tamaa zako eeboohh

Yani wewe Unampikia ugali dagaa alafu unamsumbua kwenye simu aje kula ili akuletee zawadi ya simu,tv,subwoofer nyie wanawake msijifanye mna akili sana hata sisi tunazo..

Akifika hapo full kujisemesha saivi tungekua tunaskiliza country music,
Nguo zangu zinajikunja sana ningekua na kabati zisingejikunja

Kuna mdada hujamuona hapo nnje..ni mother house yani muda wa kodi ukifika anadai hadi kero haahaaaa...
Mwanamke anapika Ugali tembele mwanaume alipe kodi ya chumba laki kwa mwezi
 
Mkuu.....😀😀😀😀
 
Hongera mkuu ila hata nyie mkijaga magetoni hamtoi kitu.Hapo ni kwamba unampenda na ukimueleza ukweli unaogopa kumpoteza.
 
Duh, kweli dada hilo shaka lako ni la msingi. Mi kama mimi ninajua umuhimu wa kuishi na mtu mke ikiwa ni kutimiza majukumu ya kumtunza , hata nikienda kwa ndugu siendi mikono mitupu walau tachukua hata sukari kg 2. Nyumbani baba alikuwa kila mwisho wa mwezi akipata mshahara anaenda sokoni kuhemea vitu vya mwezi mzima, sa huyo anahitaji elimu ya kujitambua.......
Cha kufanya: kama ana rafiki yake ambaye unamfaham mtafute muelezee juu ya tatizo hilo ili aongee nae amuelimishe
 
Kama wewe ndiyo huwa unamuita aje kula kaa kimya...sio kwamba hajui majukumu yake wala aio kwamba anasahau kuja hata na machungwa ya buku..huyo anakupima uvumilivu wako kumbe nawewe unampima kwa tamaa zako eeboohh

Yani wewe Unampikia ugali dagaa alafu unamsumbua kwenye simu aje kula ili akuletee zawadi ya simu,tv,subwoofer nyie wanawake msijifanye mna akili sana hata sisi tunazo..

Akifika hapo full kujisemesha saivi tungekua tunaskiliza country music,
Nguo zangu zinajikunja sana ningekua na kabati zisingejikunja

Kuna mdada hujamuona hapo nnje..ni mother house yani muda wa kodi ukifika anadai hadi kero haahaaaa...
Mwanamke anapika Ugali tembele mwanaume alipe kodi ya chumba laki kwa mwezi
Huijui hata unachokisema walah, I was talking about food! Anunue sabufa wapi ye mwenyewe sabufa.
 
Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.

Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.

Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.

Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Walk away!
Kama vile unavyomuonjesha ladha ya mke bora kwa kumpikia n so n so. Na yeye anatakiwa akuoneshe ladha ya mume bora kwa kukuhudumia. Wanasema ukiona mwanaume anadiriki kula chakula hajui kilipotoka huyo ni janga...Tena janga la dunia (Imeandikwa mwanaume utakula kwa jasho)
 
Back
Top Bottom