Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,127
- 124,690
- Thread starter
- #281
Hapo fresh homeboyHapo vipi !!?
Dah...[emoji41]Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Mnavyoozeeka na mambo fulan yanaimarika inasemekana lakini
Weka tu mpwa. Nitakulinda ndan na nje ya jf [emoji2][emoji2][emoji54][emoji54]Hahaa acha ujinga ujue ... picture yangu niiweke humu unaumwa kweli wewe
OkayHapo fresh homeboy
Aahh ishi ndani ya maneno yako " Anza kuweka weweWeka tu mpwa. Nitakulinda ndan na nje ya jf [emoji2][emoji2][emoji54][emoji54]
[emoji28][emoji28][emoji28]Dah! Nani huyo anayefukua makaburi?
Tena siku hizi wako wengi sana wa hivyo, mpe makavu live kama hawezi kuwajibika piga chiniHabari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Oooh baby naamini ulishamuacha eee si ndioHabari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]Yes babe
Yaani mimi pia nimebaki macho kodo....2014! Sijui nani kaufukua@ram jamani huu uzi wa miaka hiyoo
Duuh kwenye ndoa tena
Sawa jirani. Siongezi nenoMimi sjui jirani
Ngumbalo wewe,ngoja nikuripotiAcha ungeseee ww,hivi unawajua wajaluo vizuri kwa kuhudumia mwanamke,mjaluo kwake njaa hamna fanya utafiti kabla hujaropoka ww pumbavu ww.