RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,488
- 135,445
Ngoja nisome akili zako za zamani wakati una umri kama katoto kazuri[emoji114][emoji23][emoji23][emoji23]
Enzi hizo nilikuwa naogopa kukutongoza😎Enzi hizo nikiwa mbichi [emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo ndani nikusitiri jiran yangu kabla kuku hawajajaa hapa walipomwaga mchele nje.Hahaha we acha tu jirani leo nimepatikana
Jaribu kumkumbusha ili umrekebishe kwa kupitia utani utani, huenda akaelewa, maana kama ameweza kuleta idea ya ndoa na kisha kukutangazia, Basi ni mtu anayekupenda. Kwa maisha ya sasa ni wanaume wachache sana utakuwa nao kwenye mahusiano wakaanza kukutangazia ndoa.Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
[emoji23][emoji23][emoji23] na nilikuwa sitongozekiEnzi hizo nilikuwa naogopa kukutongoza😎
Mbichi kuliko siku hizi?Enzi hizo nikiwa mbichi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nilikuwa nakutamani...
Duuhh huyo mkavu sana aisee " lol !!Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.
Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.
Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.
Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Nini kimetokea kwenye avatar yako. Jamaa uliemuweka anaonekana kama gayDuuhh huyo mkavu sana aisee " lol !!
Aisee ngoja ni checkNini kimetokea kwenye avatar yako. Jamaa uliemuweka anaonekana kama gay
Jaribu kumkumbusha ili umrekebishe kwa kupitia utani utani, huenda akaelewa, maana kama ameweza kuleta idea ya ndoa na kisha kukutangazia, Basi ni mtu anayekupenda. Kwa maisha ya sasa ni wanaume wachache sana utakuwa nao kwenye mahusiano wakaanza kukutangazia ndoa.
Hivyo ni bora ujaribu kumfanya ajue majukum yake na kuyakubali, ikishindikana basi uchukue maamuzi mengine.
At least huyo japo picha yako ingefaa zaidi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Aisee ngoja ni check
Acha mambo yako ulikuwa hata unanijua?Ila nilikuwa nakutamani...
Hapo vipi !!?Nini kimetokea kwenye avatar yako. Jamaa uliemuweka anaonekana kama gay
Hahaa acha ujinga ujue ... picture yangu niiweke humu unaumwa kweli weweAt least huyo japo picha yako ingefaa zaidi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ndio nilikuwa nataka nikujue