Atayaweza majukumu huyu kweli?

Atayaweza majukumu huyu kweli?

Wadada wa siku hizi. Yaani mnataka Mkiliwa mzigo mlipwe? Aisee... Kama hujamwambia unauza atajuaje kuwa akija kwako akila akupatie na pesa?

Kama hujapika vizuri au chakula anachotaka ( unamaanisha style anazotaka au tigo na voda?)
We mwambie kabisa kuwa awe analipia asipende ubwete, asipende urojo.

Kama ingekuwa chakula cha kawaida tu si issue kabisa. Labda tu uwe na roho za kimaskini.
 
Mimi sisemi anihonge. Nataka walau achangie kile ambacho na yeye anakula. Inamaana mm ninapompa chakula mamhonga?
ulishamwabia aje navyo akagoma ata text bby ukija njoo na maji ya uhai akagoma? kuna watu wameumbwa wao kujiongeza ni mwiko mpk waambiwe ndo wanafnya,ushajaribu kumuambia?
 
Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.

Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.

Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.

Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
zigo hilo la kulelelwa!! temesha nje faster huyo siyo mwanaume. kawqaida ya mwanume akirudi home awe na mfuko!! huyo hawezi kitu! atakusumbua!! hajajitambua bado!! kama mpenzi sawa lakini kama una mipango ya baadaye endelevu- )%
 
Vipi kwanza huyo jamaa bahiri alifanikiwa kuku convince na kukusukuma ndani! Namaanisha alibadirika au ulishamwaga na kusonga mbele.

Ninachoweza kusema kuna watu wanabaahati kweli sijui sisi wengine hizi bahati zinatupita wapi.
 
Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula.

Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake.

Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yeye mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi.

Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani si atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
Angejiongeza bila hata ya kuulizwa, jaribu kuzungumza naye kwanza halafu ulete mrejesho.
 
Si watu wote ni wakujituma na kujitolea…wewe siku mpigie sim mwambie dia pitia dukani/sokoni uninunulie bidhaa hizi…Kama ni mtu wa kuelewa ataelewa kuwa chakula hakishushwi kutoka mbiguni na atakumbuka kama kuna kitu alikuwa anakosea….
Hii Pointi imekaa sawasawa.
 
Mimi sisemi anihonge. Nataka walau achangie kile ambacho na yeye anakula. Inamaana mm ninapompa chakula namhonga?
Haswaaaaa.... Unamhonga chakula ettiiii..... TeheTehe
 
Back
Top Bottom