GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mzee Pasko hio paragraph ya pili inanipa ukakasi mwingi sana
 
Speech yake ya leo ndio imenishangaza sana naona anataka Confrontation zaidi na GenZTZ
 
Ila akili zako we jamaa aisee dah! 🤣yaani Lissu apozwe kwa kupewa Ubunge wa kanga , seriously? Na unaamini atakubali?🤣

Nimecheka hapo ulipowatambua ma Gen-Z kwa sura ya waharifu 🤣🤣 dah! Yaani wale akithubutu tu kuwaita waharifu ndiyo nikuwaongesea sababu ya kwanini wanapaswa kuufanya uharifu zaidi na kuanzia hapo taifa litawaka , tena asithubutu kuwatambua kwa sura ya waharifu na wakiguswa tu nikurejea tulipotoka , wale waganda wake wake wale niwepesi tu ,nibasi tu busara zilitumika ila siyo kwamba watu waliwashindwa
 
Wajuba huyu Mama kichwani ni box mazima ,wenzake wanamtoa kafara na hajui , vinginevyo angelikuwa wakujitambua angelipaswa kujitafakari sana
 
Mayalla ni mtu wa kitu kidogo. Anadhani Lissu ni mtu wa kuuza wenzake na nchi yake kama anavoweza kufanya yeye. Lissu angelikuwa na tamaa tiyari angepatiwa pesa na akaenda zake kuishi maisha ya kifahari kuzidi hata mbunge yeyote. Takataka kabisa.
 
Huyu anafikiria kichawachawa tuu
 
I know it is too much to ask but the only solution under these circumstances ni uchaguzi urudiwe under a new electoral commission. This election should be declared null and void
 
I know it is too much to ask but the only solution under these circumstances ni uchaguzi urudiwe under a new electoral commission. This election should be declared null and void
wangekuwa na nia hio wange ridhia mabadiliko ya mifumo kabla ya uchaguzi, wao kwa ujumla wao walishaamua twende ktk uchaguzi na mfumo huu. Nadhani la kutazama ni uwezekano wa wao kutimiza ahadi yao ya mabadiliko ya katiba, shida tu ninayo iona hapo ni kuwa kwakuwa uchaguzi ushapita sitashngaa hata wale wana CCM ambao waliunga mkono madai ya katiba kipindi hiki cha uchaguzi wakirudi nyuma na kuungana na wale wengine wasio taka katiba !
 
she is doing the opposite, from credible source kikosi ya mamluki kitaendelea kuwepo , kitafanya kazi zake usiku tu, usiku kuu kiko active ilala vijana wanauliwa , jana ilikuwa mbeya usiku , don't underestimate roho iliyomuingia huyu Mama .. There is no healing , atatawala kwa mkono wa chuma through out.. and may be that will be he downfall
 
Binafsi I am not optimistic at all. In fact I expected this outcome. Why? Angalia tu behavior ya madikteta wa nchi nyingine. Huwa hawarudi nyuma bila shuruti. Wakinusurika huwa ndo wanazidi kuwa wabaya zaidi. Yaani bila nguvu zaidi dhidi yake au kifo kiwe cha asili au mauaji mtu ambaye amepagawa na roho ya udikteta huwa hajirudi kwa hiari. They only get worse. Hata Magufuli asingejirudi bila kifo. Wapo wengi wanaua na wanaendelea kutamba e.g Kagame, Museven, Maduro, Jin Jinping, Putin, etc.
 
Kwa vile ni YEYE huziweka tawala za mataifa, then ni YEYE ameruhusu huu ushetani utokee kwenye ardhi yetu na kumruhusu shetani atamalaki na ushetani kutamalaki, tumwachie YEYE MWENYEWE, Atatenda!.
P
YEYE Yuko busy na hana huo muda kwa Maana amewapa Maarifa na UWEZO wa kumalizana na huo ushetani
 
YEYE Yuko busy na hana huo muda kwa Maana amewapa Maarifa na UWEZO wa kumalizana na huo ushetani
Kuna vitu ni kweli usimuachie Mungu kama unaweza ku deal navyo, lakini tawala zote za mataifa ni YEYE ndie huziweka na ni yeye huzitwaa.
Hivyo baada ya Samia kuapishwa, no one can do anything except YEYE!.
P
 
I know it is too much to ask but the only solution under these circumstances ni uchaguzi urudiwe under a new electoral commission. This election should be declared null and void
Sio tu uchaguzi urudiwe, kwanza katiba mpya ipitishwe ili kupunguza nguvu ya Raisi, we Raisi hadi ana ruhusu mamluki kutoka nje ya nchi kuua Raia wako…this is too much…our fellow countrymen are massacred by foreign mercenaries na watanganyika wengine waliopo kwenye vyombo wanasaidia…very painful.
 
Kuna vitu ni kweli usimuachie Mungu kama unaweza ku deal navyo, lakini tawala zote za mataifa ni YEYE ndie huziweka na ni yeye huzitwaa.
Hivyo baada ya Samia kuapishwa, no one can do anything except YEYE!.
P
Basi sisi tunamuachia SHETANI

Wakorintho 5:5
“Tumemkabidhi mtu huyo kwa Shetani, ili mwili wake uangamizwe, lakini roho yake iokolewe siku ya Bwana
 
Basi sisi tunamuachia SHETANI

Wakorintho 5:5
“Tumemkabidhi mtu huyo kwa Shetani, ili mwili wake uangamizwe, lakini roho yake iokolewe siku ya Bwana
Yaani ukabidhi shetani kwa shetani?.
Tanzania si itageuka Sodoma na Gomorrah?. Thread 'Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani' Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani

P
 

..wote waliopotezwa familia zao zifutwe machozi.

..waliohusika na utekaji, na mauaji, wachukuliwe hatua za kisheria.

..hili jambo la utekaji na mauaji ya kisiasa halipaswi kufumbiwa macho, au kusukumwa chini ya zulia.
 
Kwa hiyo wananchi tufanye nini ndugu Pasco, tusubilie mpaka Yeye atakaamua unachojisikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…