MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,013
Ila tu kumbuka mali za watu hizo tena ni mtu wetu wa karibu kabisaa, si uliona ile ya jana kwa bed nite Kali?
Cha mtu huliwa na mtu
Ila tu kumbuka mali za watu hizo tena ni mtu wetu wa karibu kabisaa, si uliona ile ya jana kwa bed nite Kali?
Yaani mfuko wangu umejaa Benjamin tu halafu natembea huku nimekaa
miss chagga jaribu kumsikiliza kaka yangu MO11
Sasa mbona amekununia hivyo may be kazi yako haijamridhisha bana umeperform chini ya kiwango
Tatizo nachepuka sana
miss chagga hapo atakuwa anasema Yethuuuu na maria Laki moja haito haitoshiiiiiiiiiii
miss chagga jaribu kumsikiliza kaka yangu MO11
miss chagga hapo atakuwa anasema Yethuuuu na maria Laki moja haito haitoshiiiiiiiiiii
ha ha ha ha aongeze dau
"Ni rushwa tu inayoweza kumfanya mwanamke kuwa mwanaume na mwanaume kuwa mwanamke" Ole Sendeka 2014Na wewe tena...angalia tu uwe makini...manake money buys everything
miss neddy hebu msikilize MO11 bana mpaka apige magoti au mpaka aweke mikono mfukoni ndo utamkubalia
haha tatizo lake namwambia kachelewa mi mke wa mtu hataki