Atalainika tu

Atalainika tu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1417681932255.jpg
 
miss neddy hebu msikilize MO11 bana mpaka apige magoti au mpaka aweke mikono mfukoni ndo utamkubalia
 
Last edited by a moderator:
Kwa jinsi picha ilivyo ni kama jamaa amelia tayari tena huenda ikawa bila helmet, manake bibie inaonekana kama kachoka na analaumu au anadai chake.
 
Last edited by a moderator:
mshana jr huyo MO11 Ameamua kumfuata mlokole mmoja kanisani kwa hiyo lazima ajifanye mtakatifu kabisa na kujichora msalaba
Huyo mimi mbona namuona kama miss neddy

Hahahahaaa swaga hizi...!!! Jinsia pinzani itatumaliza wallah! Halafu si ndo huyu huyu kigori jana alikuwa anabembelezwa kwa bed? Na yule hakuwa MO11 kwa vyovyote
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa swaga hizi...!!! Jinsia pinzani itatumaliza wallah! Halafu si ndo huyu huyu kigori jana alikuwa anabembelezwa kwa bed? Na yule hakuwa MO11 kwa vyovyote

ni mimi yule ila kule ndani kuna kipupwe ndio maana nilikuwa nang'aa
tangu siku ile bibie miss neddy kakimbia ndio nimemfuata
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky huyu bibie miss neddy anautesa moyo wangu nitamfungia kwenye gazeti ili aondoke nao
MO11 mfuko wako umefunguka na umejaa noti au card za bank na vitambulisho na je unatembelea miguu minne au bado ni TZ 11 maana miss neddy hataki uchafu wala matope

Hahahahaaa swaga hizi...!!! Jinsia pinzani itatumaliza wallah! Halafu si ndo huyu huyu kigori jana alikuwa anabembelezwa kwa bed? Na yule hakuwa MO11 kwa vyovyote
mshana jr ni shideeer hii jinsia pinzani itatutoa roho aise usipokuwa makini utaishia kuuza nyumba za urithi
 
Last edited by a moderator:
mshana jr hizo ni swagger za kuwaingilia mamiss

ila naona kama unataka kuniharibia na kunipeperushia ndege wangu

Ila tu kumbuka mali za watu hizo tena ni mtu wetu wa karibu kabisaa, si uliona ile ya jana kwa bed nite Kali?
 
Last edited by a moderator:
MO11 mfuko wako umefunguka na umejaa noti au card za bank na vitambulisho na je unatembelea miguu minne au bado ni TZ 11 maana miss neddy hataki uchafu wala matope


mshana jr ni shideeer hii jinsia pinzani itatutoa roho aise usipokuwa makini utaishia kuuza nyumba za urithi

Yaani mfuko wangu umejaa Benjamin tu halafu natembea huku nimekaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom