kibaigwa finest
Senior Member
- Oct 18, 2026
- 136
- 142
Yaani WANAONA timu Kama ni timu yao wenyewe wanaamua tu kuongea chochote kwenye mitandao Ila shabiki wa kawaida akitoa ukweli kuhusu club Tena mwenendo was timu ni mbovu Hawa jamaa wanamjia juu Hawa no machawa tu