Atakayegundulika na vyeti feki...

Atakayegundulika na vyeti feki...

mwacheni afanye kazi aliyotuma na Magu kijana wa watu, mzee wa call me J
 
We jamaa sijui elimu yako ni level gani, naanza kukuchoka maana kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wewe kama GT ulipaswa kuvijui sasa nashangaa unauliza tu,
Nakusaidia mara ya mwisho, kiutaratibu katika ajira iwe private sector au iwe government muajiri ana haki ya kuomba CV na vyeti vya mfanyakazi wake wakati wowote endapo atahisi kwamba kuna ulazima wa kujiridhisha juu ya jambo flani katika nyaraka hizo.

Mimi sio mwanasheria lakini hizi ni sheria ndogo ambazo hata mtu asiyekua mwanasheria anapaswa kuzijua.
sawa
kwa nini huo utaratibu mzuri kabisa husiwe applied kwa Makonda ?
au kwake hiyo sheria haifanyi kazi ?
 
Tutatanganza dunia nzima ijue kuwa think tank ya viwanda inatumia walioleta zero kufikia malengo
 
sawa
kwa nini huo utaratibu mzuri kabisa husiwe applied kwa Makonda ?
au kwake hiyo sheria haifanyi kazi ?
Hilo boss wa Makonda ndo anatakiwa kukujibu na kulifanyia Kazi.
Kumbuka Makonda ni mteule wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa nani ana uwezo wa kumhoji rais kwamba kwanini hajakagua vyeti vya Makonda?

Kwa upande mwingine hizi kelele zinamaanisha kwamba rais sio mtu makini na uteuzi wa Makonda haukua kama bahati mbaya ni lazima alifanyiwa vetting sasa ukisema ana vyeti feki unamaanisha mfumo uliotumika sio makini na rais sio mtu makini.

Mengine kamuulize rais Magufuli, Mimi sitaki kuitwa mchochezi.

Ila kwa maswali yako wewe unaonekana bado uko Shule kama sikosei form six
 
Hili la ukuu wa mkoa niliwahi kutabiri hapa nikatukanwa sana, sisi watanzania tunawahi kusahau sana enzi za Mzee Lowassa upepo ulivuma sana mpaka akang'oka alafu mwisho wa siku tunaanza kuaminishwa kwamba ule upepo ilikua bahati mbaya wala Lowassa sio fisadi[emoji23]

Mzee wa watu anakuwaga mkweli sana tena alisema "tatizo ni uwaziri mkuu"
Narudia tena kusema, enzi za Lowassa nilishiriki kumlaumu sana kumbe nilitenda makosa makubwa, nilitumika kisiasa tena nilicheza ngoma bila kujua midundo yake ina maana gani.

Nimejifunza sana kwa hili la Makonda nasubiri kusikia ushahidi umepatikana ndio ntasema Makonda amefoji vyeti, otherwise naamini ukuu wa mkoa ndo unatafutwa
Sasa c aonyeshe vyeti tu yaishe ,huyu kilaza na mhalifu Wa taaluma ashughulikiwe tu
 
Hilo boss wa Makonda ndo anatakiwa kukujibu na kulifanyia Kazi.
Kumbuka Makonda ni mteule wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa nani ana uwezo wa kumhoji rais kwamba kwanini hajakagua vyeti vya Makonda?

Kwa upande mwingine hizi kelele zinamaanisha kwamba rais sio mtu makini na uteuzi wa Makonda haukua kama bahati mbaya ni lazima alifanyiwa vetting sasa ukisema ana vyeti feki unamaanisha mfumo uliotumika sio makini na rais sio mtu makini.

Mengine kamuulize rais Magufuli, Mimi sitaki kuitwa mchochezi.

Ila kwa maswali yako wewe unaonekana bado uko Shule kama sikosei form six
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] To cut the long story short , kuhusu elimu naona unajiuliza sana, ok nimeishia darasa la Saba, sjui hata mtihani wa form one unafananaje. Moreover Asante mkuu kwa majibu murua.
Uwe na siku njema mkuu.
 
Sasa c aonyeshe vyeti tu yaishe ,huyu kilaza na mhalifu Wa taaluma ashughulikiwe tu
Kama wewe ni mtu smart basi huwezi kumuita Makonda ni muhalifu ilihali hauna ushahidi na wala haijathibitika mahakamani, haya mambo ya kutuhumu watu bila ushahidi ndio yameshusha credibility ya Makonda huyu tunayempigia kelele hapa, sasa kua makini usije kuonekana hauna uelewa.
 
Na wale wenye vyeti lakini uwezo wao ni mdogo katika utendaji wao wa Kazi mnasemaje?
Hilo ndio wasilolijua na ndio maana hawakuwajali wale waliokuwa na uwezo mkubwa lakini hawakuwa na vyeti. Cha muhimu sasa ni kutumia kanuni ile ile uhakiki ufanyike na kwake. Sitaki kuamini kuwa nchi nzima "mwenye uwezo" amebaki yeye tu.
 
Basi tuelewe kuwa ni mkuu wa mkoa mwenye ziro siyo anaetumia cheti cha mtu. Kama anatumia cheti cha mtu bhasi achie ngazi apishe wenye ziro lakini wanatumia majina yao halisi.
 
Makonda ndio rais wa Dar mpaka 2025..mtapiga kelele mtanyamaza

If and only if Watanzania wote watakao kuwepo mwaka 2025 watakuwa na DIVISION ZERO. Otherwise ataambulia ya kwake, mkewe na wale wenye ZIRO wenzake. Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakubali aongozwe na Rais aliye feli masomo yote, yaani ALIYEZUNGUSHA, YAANI ZERO. Yule kiumbe au yule bwana wa Kolomije!!
 
Mamlaka husika zisipomchukulia hatua,tutaungana wanasheria kufungua kesi mahakamani kushtaki kwa kutochukuliwa hatua! Watanzania hatutakubali wachache wawajibishwe wengine waachwe chini ya katiba moja.

Ni hayo tu!
Mbona wanasheria ndiyo mnao wasaidia hao wavunja sheria? Ktk muhimili usio jielewi ni wenu , mpo mpo tu. Ingekuwa nchi za wenzetu hili suala lingeshamalizwa na wanasheria
 
Nimeamini Jina la Mungu si la kutumia hovyo hovyo,huyu jamaa kila kitu alikuwa anamsingia Mungu,mwisho wa siku kaumbuku.hivi kumbe andiko kama hili liko dhahiri kias hiki??? Matayo 7:21 "si kila mtu aniambiaye Bwana,Bwana,atakayeingia katika ufalme wa mbinguni..."
 
Vyeti huoneshwa kwenye usaili na kwenye michakato ya ajira au kuomba nafasi za masomo.
Zile ni confidential documents ndo maana hata wewe vyeti vyako unatunza in a secret place
Usiri gani huo kufoji au mbona kama matahila ya lipwele vile.....
 
Mamlaka husika zisipomchukulia hatua,tutaungana wanasheria kufungua kesi mahakamani kushtaki kwa kutochukuliwa hatua! Watanzania hatutakubali wachache wawajibishwe wengine waachwe chini ya katiba moja.

Ni hayo tu!

Unangoja nini?
 
I wish I could be president of URT huyu mtu BASHITE asingekuwa ofisini muda huu.
VOTE FOR JILE79 presidency!
 
Back
Top Bottom