[emoji2] [emoji3]aisee, mtaungana lini?? ebu acha upuuzi, twende mahakamani
lakini mkuu watatuuliza evidence, unazo? au utaenda kugonga hodi kwa Gwajima??
kuwa serious
[emoji2] [emoji3]aisee, mtaungana lini?? ebu acha upuuzi, twende mahakamani
lakini mkuu watatuuliza evidence, unazo? au utaenda kugonga hodi kwa Gwajima??
kuwa serious
Mamlaka husika zisipomchukulia hatua,tutaungana wanasheria kufungua kesi mahakamani kushtaki kwa kutochukuliwa hatua! Watanzania hatutakubali wachache wawajibishwe wengine waachwe chini ya katiba moja.
Ni hayo tu!
Vyeti feki sasa vimepitiswa kupitia Bashite mteule wa Rahisi.Mamlaka husika zisipomchukulia hatua,tutaungana wanasheria kufungua kesi mahakamani kushtaki kwa kutochukuliwa hatua! Watanzania hatutakubali wachache wawajibishwe wengine waachwe chini ya katiba moja.
Ni hayo tu!
Bashite anakuumiza kichwa mkuu[emoji23] [emoji23]Mbona povu au ww ndie bashite mwenyewe?lete vyeti
Kuna aina nyingine ya kushughulikia upotoshaji!(Lowassa Principle)hivi kwanini asijitokeze kukanusha kama alivyofanya Mwingulu.
Ushahidi wa shule zote alizosoma ataufuta? Umma wote unaojua kila kitu nao utafichwa? Watu walishaingia maofisini kuzisaka kumbukumbu kabla hiyo system haijaanza kufanya kazi. Watu wamekaa wanamsubiria Ndalichako aseme ya mwisho tu. Yaani mtu ameharibu halafu atetewe kwa maslahi ya nani? Sheria iko waziri bhana.Ndugu zangu sie huku n kama tu visamaki kwenye maji kesho wakiamua tu wenyewe wanaingia kwenye system wanamtengenezea kiumbe identity zote halali wanaziingiza kwenye system kumbuka mashine za zamani zipo hazitupwi manake kuna wengine watauliza watachapisha na nn.....then ss kuna kale kakiumbe kengine kalikopewa meno juzi kakusimamia matusi mitandaoni nako kataanza kuokota mmoja mmoja humu kwenye bwawa letu.....then tutajua ni viwonder...................................ilaaaaaaaaaaaaa nakumbusha tu-:
Polisi- washafichwa.
Wanasheria- washafichwa.
Mahakama- washahukumiwa.
Bunge-kwapani siku nyingi.
Jeshi-mmmmmhhhhhhhh.
Radio & TV-nyingi zishafekwa.
Bodaboda-vilio tu.
Tanesko-hahaha mgao palepale.
Trafiki-sasa ndo TRA.
Sukari...holaaaaaaaa
Virobaa..holaaaaaaa
Elimu bora...holaaaaaa
Mikopo ya elim ya juu...holaaaaa
.....mmmmhhhhhhhhh....sema na wewe................
WACHA MANENO LETA MAVYETI
Mkuu, kwani matokeo ya form four 2020 ni mbali? Kwani Shule zote alipita mtu zimekufa? Hata Classmates nao wapo eti.Kikubwa ni yeye kujitokeza na nyaraka halali za kusoma kwa jina hilo ili kukata mzizi wa fitna.Mtaungana wanasheria kufungua kesi mahakamani?
Juzi tu hapa mimi nilihoji na kimsingi kupendekeza jambo kama hilo lakini nikaashia kuambiwa na baadhi ya watu kuwa eti namkingia kifua kisa naye ni Msukuma kama mimi.
Akili za nyumbu hizo!
Ila sasa, nyie 'wasomi' mkienda kufungua kesi mahakamani, ushahidi mnao?
Au mtafungua kesi ya aina gani na dhidi ya nani/ nini?
GSM ndio nini, naliona kila mara hili neno, mie najua ni ile ya mtandao wa simu, nifafanulie mkuu, naombaHuyu jamaa pia ana kosa la kumiliki passport kwa jina la bandia la Paulo Makonda ambalo sio lake. Hayo ni makosa makubwa sana na jambo hili lingegundulika pengine wakati ule yuko nje kwa likizo yake iliyogharamiwa na GSM angeweza kutiwa kizuizini na kufungwa huko huko. Bahati yake Daudi !
Labda wanasheria wengine sio wanasheria hawa wa Tanganyika Law Society!Mamlaka husika zisipomchukulia hatua,tutaungana wanasheria kufungua kesi mahakamani kushtaki kwa kutochukuliwa hatua! Watanzania hatutakubali wachache wawajibishwe wengine waachwe chini ya katiba moja.
Ni hayo tu!
Sawa kabisa Mkuu..
Huyu ni Mhalifu wa Taaluma..
Hapaswi kuachwa hata kidogo.
GSM ndio nini, naliona kila mara hili neno, mie najua ni ile ya mtandao wa simu, nifafanulie mkuu, naombaHuyu jamaa pia ana kosa la kumiliki passport kwa jina la bandia la Paulo Makonda ambalo sio lake. Hayo ni makosa makubwa sana na jambo hili lingegundulika pengine wakati ule yuko nje kwa likizo yake iliyogharamiwa na GSM angeweza kutiwa kizuizini na kufungwa huko huko. Bahati yake Daudi !
mwanzoni aliwahi kusema kelele zote hizo ni kwa sababu kawataja wauza udaga, sasa kaja na gia nyingine kuwa ni ukuubwa mjoa, na yeye ndio mojawapo aliyeweka press conference kumtusi ngoyai kuwa hapaswi kuwa hata mwenyekiti wa kitongoji, wakati el alikuwepi ccm tangu 1976Kujua nani anataka kiti cha u-RC ni vigumu ila picha kubwa ni kwamba huyu jamaa apoteze kiti tu [emoji23]
Hizi ndo siasa za Tanzania.
Mzee Lowassa ana roho ngumu sana sijapata kuona, alimua kujiuzuru lakin akasema ukweli kwamba tatizo ni uwaziri mkuu
hapana , kwa hili kama kweli amesema tatizo ni ukuuu wa mkoa basi ameiga maneno ya lowassa kwa sababu tatizo lake lipo wazi na ufumbuzi wake ni rais kabisa ambao ni kuonyesha kwamba Nina lake Paul ndilo alilotumia toka darasa la kwanza , na kama alibadili sio kwa sababu alipata bashite form IV.Hili la ukuu wa mkoa niliwahi kutabiri hapa nikatukanwa sana, sisi watanzania tunawahi kusahau sana enzi za Mzee Lowassa upepo ulivuma sana mpaka akang'oka alafu mwisho wa siku tunaanza kuaminishwa kwamba ule upepo ilikua bahati mbaya wala Lowassa sio fisadi[emoji23]
Mzee wa watu anakuwaga mkweli sana tena alisema "tatizo ni uwaziri mkuu"
Narudia tena kusema, enzi za Lowassa nilishiriki kumlaumu sana kumbe nilitenda makosa makubwa, nilitumika kisiasa tena nilicheza ngoma bila kujua midundo yake ina maana gani.
Nimejifunza sana kwa hili la Makonda nasubiri kusikia ushahidi umepatikana ndio ntasema Makonda amefoji vyeti, otherwise naamini ukuu wa mkoa ndo unatafutwa
Makonda ndio rais wa Dar mpaka 2025..mtapiga kelele mtanyamaza wehu nyie