evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,980
- 9,928
Kimsingi anakosa moral authority ya kusimamia Sheria na taratibu
I wish I kudu bi MSEMAKWELI..Sawa kabisa Mkuu..
Huyu ni Mhalifu wa Taaluma..
Hapaswi kuachwa hata kidogo.
Hata awe Rais wa Dunia mpaka 2050, Vyeti kwanza.Makonda ndio rais wa Dar mpaka 2025..mtapiga kelele mtanyamaza wehu nyie
Wakati wa Lowasa , inaonekana DR Harrson alikuwa anataka kiti,Hili la ukuu wa mkoa niliwahi kutabiri hapa nikatukanwa sana, sisi watanzania tunawahi kusahau sana enzi za Mzee Lowassa upepo ulivuma sana mpaka akang'oka alafu mwisho wa siku tunaanza kuaminishwa kwamba ule upepo ilikua bahati mbaya wala Lowassa sio fisadi[emoji23]
Mzee wa watu anakuwaga mkweli sana tena alisema "tatizo ni uwaziri mkuu"
Narudia tena kusema, enzi za Lowassa nilishiriki kumlaumu sana kumbe nilitenda makosa makubwa, nilitumika kisiasa tena nilicheza ngoma bila kujua midundo yake ina maana gani.
Nimejifunza sana kwa hili la Makonda nasubiri kusikia ushahidi umepatikana ndio ntasema Makonda amefoji vyeti, otherwise naamini ukuu wa mkoa ndo unatafutwa
Tunaenda baraza la mitihani. Kamata mwizii meeeenaisee, mtaungana lini?? ebu acha upuuzi, twende mahakamani
lakini mkuu watatuuliza evidence, unazo? au utaenda kugonga hodi kwa Gwajima??
kuwa serious
Mimi nakuunga mkono lakini sheria inasemaje hapo?? siamini kama sheria iko silence kwa mtu aliyefodge vyeti..
Kujua nani anataka kiti cha u-RC ni vigumu ila picha kubwa ni kwamba huyu jamaa apoteze kiti tu [emoji23]Wakati wa Lowasa , inaonekana DR Harrson alikuwa anataka kiti,
je kwa manenepa, nan anataka kiti chake ??
Ugumu unatoka wapi ?Kujua nani anataka kiti cha u-RC ni vigumu ila picha kubwa ni kwamba huyu jamaa apoteze kiti tu [emoji23]
Hizi ndo siasa za Tanzania.
Mzee Lowassa ana roho ngumu sana sijapata kuona, alimua kujiuzuru lakin akasema ukweli kwamba tatizo ni uwaziri mkuu
Wengi hawajui tuhuma hizi zimeibuliwa kwa manufaa ya nani.Ugumu unatoka wapi ?
Kwa hiyo 50% humu JF wanaitaka nafasi aliyonayo ?
Hiyo ndio Priority yangu, wewe unasemaje mbona huandiki hayo yote tuchangie?Nasubiri muungane mkampeleke Makonda mahakamani[emoji23]
Wapuuzi wakubwa nyie mmeshindwa kuungana kuipinga HESLB ilipopandisha makato kinyume cha mkataba leo mtawezaje kuungana kumshitaki Makonda?
Mmeshindwa kuungana kutetea fao la kujitoa kwenye social security funds leo mtaweza kuungana kwa jambo dogo la Makonda ili iweje?
Mmeshindwa kuungana kumtetea Lema, kila siku mnaungana kutetea akina Wema Sepetu, na Jana Gen Ulimwengu kajiunga kumtetea Mbowe wakati Lema yuko selo takribani miezi minne, sasa kati ya Mbowe na Lema Nani anahitaji msaada wa haraka?[emoji23]
Akili za kupigania mpate pipi ilihali maslahi ya watanzania hamuwezi kutetea?
Nyie mmerogwa sio bure
Siku hizi hakuna sheria. Sheria anatunga Mr. President. Akitamka ndiyo sheriaMimi nakuunga mkono lakini sheria inasemaje hapo?? siamini kama sheria iko silence kwa mtu aliyefodge vyeti..
Ukuu wa mkoa? Labda kwa makada wenzakeHili la ukuu wa mkoa niliwahi kutabiri hapa nikatukanwa sana, sisi watanzania tunawahi kusahau sana enzi za Mzee Lowassa upepo ulivuma sana mpaka akang'oka alafu mwisho wa siku tunaanza kuaminishwa kwamba ule upepo ilikua bahati mbaya wala Lowassa sio fisadi[emoji23]
Mzee wa watu anakuwaga mkweli sana tena alisema "tatizo ni uwaziri mkuu"
Narudia tena kusema, enzi za Lowassa nilishiriki kumlaumu sana kumbe nilitenda makosa makubwa, nilitumika kisiasa tena nilicheza ngoma bila kujua midundo yake ina maana gani.
Nimejifunza sana kwa hili la Makonda nasubiri kusikia ushahidi umepatikana ndio ntasema Makonda amefoji vyeti, otherwise naamini ukuu wa mkoa ndo unatafutwa
Ni kweli lakini hatuijui kesho si mimi si wewe kama tutakuwepo kwa hiyo yeye ana uhakika kuwepo au huyo Godfather wana mkataba na MunguHata useme
"Makonda ndio rais waTanzania mpaka 2025..na JPM ndio RC wa Dar mtapiga kelele mtanyamaza wehu nyie"
Bado watu wanasema Bashite leta vyeti