Kwa upande wangu naungana na wewe kupata uthibitisho kwa tuhuma zinazotolewa si kwa sababu nina maslahi navyo binafsi bali kwa taifa.Mtaungana wanasheria kufungua kesi mahakamani?
Juzi tu hapa mimi nilihoji na kimsingi kupendekeza jambo kama hilo lakini nikaashia kuambiwa na baadhi ya watu kuwa eti namkingia kifua kisa naye ni Msukuma kama mimi.
Akili za nyumbu hizo!
Ila sasa, nyie 'wasomi' mkienda kufungua kesi mahakamani, ushahidi mnao?
Au mtafungua kesi ya aina gani na dhidi ya nani/ nini?
Hakna mamlaka iliyo huru datz how wapo kimya wanasubr baba wa familia aseme kitu au atumbue ndo itakua jb tofauti na hapo itabaki kimya hvhv, nyani wote porin ni ndg,Kwa upande wangu naungana na wewe kupata uthibitisho kwa tuhuma zinazotolewa si kwa sababu nina maslahi navyo binafsi bali kwa taifa.
Vita hii ya vyeti ilianzishwa na mheshimiwa rais na ni kwa nia njema tu kwa taifa letu. Uhakiki wa vyeti kwa sisi wengine umefanyika kwa mara ya tatu wiki iliyopita hiyo ni kuonesha jambo hilo linavyopewa umuhimu.
Kama jambo limekuwa muhimu hivyo na shutuma zimetolewa, ni vizuri mamlaka husika zikalifanyia kazi na ikithibitika kuwa ni kweli basi hatua stahiki zichukuliwe dhidi yake na kama si kweli, hatua za kisheria zichukuliwe kwa aliyetoa shutuma hizo.
Ninavyofahamu utendaji wa jeshi la polisi ni kuzifanyia kazi (uchunguzi) kwa kushirikiana na mtu/ watu au taasisi husika taarifa zote wanazopewa au kuzisikia (zinazohusiana na shughuli zao likiwemo la kuidanganya serikali) na kuzitolea taarifa au hatua kadiri ya majibu watakayoyapata. Kinachonishangaza ni ukimya wa mamlaka husika hadi sasa na hili linasababisha hii vita na aliyeianzisha kuwa na taswira tofauti kwa wananchi.
Sawa kama ndio hivyo, ni vizuri waachane na hiyo vita ili wasiendelee kujishushia heshima kwa wapiga kura.Hakna mamlaka iliyo huru datz how wapo kimya wanasubr baba wa familia aseme kitu au atumbue ndo itakua jb tofauti na hapo itabaki kimya hvhv, nyani wote porin ni ndg,
Mh kamteua mama salma kupunguza mjadala ili muone kaz za kuteuliwa hazna education qualifications Bali ni mapenz ya mteuz tu! Tanzagiza mpaka tufke tutaskia mengi sana!
wewe una evidence kama Gwajima ana deal na madawa kama alivyotuhumiwa na mkuu wako wa mkoa, au ndiye unatetea kitu ambacho hukielewi?Wengi nyumbu hawajui tuhuma hizi zimeibuliwa kwa manufaa ya nani.
Hata wewe unafata upepo tu ukiulizwa evidence huna kazi kupiga makofi kama wabunge wa ccm
Ameshatoa majibu, kasema hata angekuwa na sifuri bado angekuwa mkuu wa mkoahivi kwanini asijitokeze kukanusha kama alivyofanya Mwingulu.
Msemo wa povu umeshapoteza mvutoJiwe nimetupa gizani, mbona povu
Vyeti huoneshwa kwenye usaili na kwenye michakato ya ajira au kuomba nafasi za masomo.Msemo wa povu umeshapoteza mvuto
Onyesha VYETI MKUU.
Kwa hiyo unakubali kwamba Rais wako alipotoa agizo watumishi watoe vyeti vyao alikosea ?Vyeti huoneshwa kwenye usaili na kwenye michakato ya ajira au kuomba nafasi za masomo.
Zile ni confidential documents ndo maana hata wewe vyeti vyako unatunza in a secret place
Yeye ndio muajiri mkuu wa serikali, hivyo ana mandate ya kuomba vyeti avihakiki (hiyo ni ndani ya mchakato wa ajira, rejea hiyo post niliyokwambia vyeti huoneshwa wapi)Kwa hiyo unakubali kwamba Rais wako alipotoa agizo watumishi watoe vyeti vyao alikosea ?
Siku inakuja ndo utajua Kati ya wewe, Makonda na sisi ni nani mwehu.Makonda ndio rais wa Dar mpaka 2025..mtapiga kelele mtanyamaza wehu nyie
Unaweza kuniambia katika huo uhakiki ni wakina nani walikuwa wanaomba ajira kwa hiyo muajiri akahitaj kukagua vyeti vyao kabla ya kuwaajiri ?Yeye ndio muajiri mkuu wa serikali, hivyo ana mandate ya kuomba vyeti avihakiki (hiyo ni ndani ya mchakato wa ajira, rejea hiyo post niliyokwambia vyeti huoneshwa wapi)
Na wale wenye vyeti lakini uwezo wao ni mdogo katika utendaji wao wa Kazi mnasemaje?Mamlaka husika zisipomchukulia hatua,tutaungana wanasheria kufungua kesi mahakamani kushtaki kwa kutochukuliwa hatua! Watanzania hatutakubali wachache wawajibishwe wengine waachwe chini ya katiba moja.
Ni hayo tu!
Haswaaa. Nipe namba yake nimpongeze kwa Kazi nzuri.Makonda ndio rais wa Dar mpaka 2025..mtapiga kelele mtanyamaza wehu nyie
Kipi bora uwezo wa mtu au digri zile Mkinga alikuwa anasema za ................."tunataka vyeti bashite
We jamaa sijui elimu yako ni level gani, naanza kukuchoka maana kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wewe kama GT ulipaswa kuvijui sasa nashangaa unauliza tu,Unaweza kuniambia katika huo uhakiki ni wakina nani walikuwa wanaomba ajira kwa hiyo muajiri akahitaj kukagua vyeti vyao kabla ya kuwaajiri ?