Mamlaka husika zisipomchukulia hatua,tutaungana wanasheria kufungua kesi mahakamani kushtaki kwa kutochukuliwa hatua! Watanzania hatutakubali wachache wawajibishwe wengine waachwe chini ya katiba moja.
Ni hayo tu!
Kisheria huna uwezo wa kufungua kesi ya jinai.Huyu lazima tupambane naye,
Mamlaka husika zisipomchukulia hatua,tutaungana wanasheria kufungua kesi mahakamani kushtaki kwa kutochukuliwa hatua! Watanzania hatutakubali wachache wawajibishwe wengine waachwe chini ya katiba moja.
Ni hayo tu!
Leo amejitetea alipo kutana na wajumbe wa mkoa, kwamba kinacho tafutwa sio makonda Bali ni ukuuu wa mkoa. na hata kama angepata zero au division zero kama Mungu alipanga awe mkuu wa mkoa angekua hivyo.Kisheria huna uwezo wa kufungua kesi ya jinai.
Sisi tunatakiwa kupiga kelele juu ya hizi tuhuma ili vyombo husika vifanye kazi yake
Hili la ukuu wa mkoa niliwahi kutabiri hapa nikatukanwa sana, sisi watanzania tunawahi kusahau sana enzi za Mzee Lowassa upepo ulivuma sana mpaka akang'oka alafu mwisho wa siku tunaanza kuaminishwa kwamba ule upepo ilikua bahati mbaya wala Lowassa sio fisadiLeo amejitetea alipo kutana na wajumbe wa mkoa, kwamba kinacho tafutwa sio makonda Bali ni ukuuu wa mkoa. na hata kama angepata zero au division zero kama Mungu alipanga awe mkuu wa mkoa angekua hivyo.
Kisheria huna uwezo wa kufungua kesi ya jinai.
Sisi tunatakiwa kupiga kelele juu ya hizi tuhuma ili vyombo husika vifanye kazi yake
Makonda ndio rais wa Dar mpaka 2025..mtapiga kelele mtanyamaza wehu nyie
Kumbe makonda ni raisi wa tanzania na jpm ni RC wa dar, kweli hii nnchi ya vi-wonderHata useme
"Makonda ndio rais waTanzania mpaka 2025..na JPM ndio RC wa Dar mtapiga kelele mtanyamaza wehu nyie"
Bado watu wanasema Bashite leta vyeti