Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
You sound, fake, hypocrite.. Some angry bitter individual..... Focus on your life... Stop imagining things!!
Ndugu zangu,

Mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote (we never give up united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals).

Binafsi mimi ndio muhanga na muathirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu, (trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky) na mambo mengi mabaya kwa binadamu.

(There comes a times it feels like the world is upon my shoulder can't take this shiit no more) nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha Mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake (ain't fear death because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy).

Nilikuwa na (plan) ya kutafuta (anyone with the solution) kwa maana ya (traditional healer) au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama (its a waste of time) watu nao wamekuwa matapeli tu (nowdays).

Yaani (we living in crazy time folks) nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hooa hell no! Mungu ananitaka mwanae si bure na (he is the master of the people so far so am good} to go though ukioniona( live) huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa huwezi.

Nimetoa dukuduku langu nahisi kama (relief) fulani nimepata.

Kila la kheri wandugu.
 
Mimi nipo tayari kukusaidia buree! Nashangaa mtu amekuja ooh upo mwembepande Tokyo, marekani blah blah wewe unaona hatari marekani!!! Sina urafiki kwa watu wajinga jinga.
Huyu alikuwa tapeli
 
Pesa yako my foot

kawatapeli wajapani sio watanzania ... tuna mambo mengi yupo nyuma katika dunia hii

eti ugonjwa huh wa mold bado upo kwenye utafiti .... wewe uliponaje

no fools anymore in Tanzania
[emoji23] [emoji23]
 
Kaka mi kifua kinabana sana nashindwa hata kufikiri kwa kina, nasahau hovyo hovyo, kichwa kinauma, mwili wote unawaka moto, ndoto za ajabu ajabu, mkosi na hakuna anaenipenda kwa sasa isipokuwa mama yangu mzazi tu...naambatana na mikosi ya ajabu!! N.k

Yaani hali tia maji tia maji kaka sokwe!!
Pumzika kwa amani!
 
Fanya kitunguu swaum kiwe mlo wako kila siku meza punje tano asubuhi na jion
 
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana. Mwamini Mungu atawatumia wachungaji na madaktari kukutibu ugonjwa wako. Ninakushauri sana mfahamu sana BwanaYesu hakika atakuponya. Nilipata shida sana ya kuugua lakini nilipomba Yesu maisha yangu na kuokoka na kukaa kwa Yesu nilikuja kupona kabisa. Matahyo 11:27-28.inasema

27 Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.

28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Huyo ni Yesu anayesema. JOHN 10:9-10.
Yohana 10
10 Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.

11 Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.

12 Mtu wa mshahara, wala si mchungaji, ambaye kondoo si mali yake, humwona mbwa-mwitu anakuja, akawaacha kondoo na kukimbia; na mbwa-mwitu huwakamata na kuwatawanya. HAYO NI MANENO YA YESU. YESU ALIKUJA KUTUPA UZIMA KISHA TUWE NAO TELE. KINACHOTAKIWA NI IMANI YAKO TU. YEYE NDIYE MCHUNGAJI MWEMA. Waganga wa kienyeji hawatakusaidia sana sana watakuongezea matatizo.
 
Alishafariki ndugu yetu.
 
Angalia mazingira ya nyumbani kwenu, Kama paa linavuja yaani Kama unaona ceiling board zimeweka maduara yenye rangi ya kijani au weusi, bafuni au aircondition unit, mold growth depend on moisture, dark area and low air circulation.
Sikuwahijua hili kabla, asante
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom