Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
Mkuu ulichobugui kuchanganya kizungu na kiswahili maana ake lugha yako ya kiswahili huikibali sio?
 
MPUMBAVU WEWE... ACHANA KABISA NA MAWAZO YA USHIRIKINA.. TATIZO UNALO WEWE MWENYEWE KWA KUTAFUTA MSAADA KWA WASHIRIKINA NA KUMHUSISHA MUNGU. CHAGUA UPANDE MMOJA. NAKUSHAURI UMCHAGUE MUNGU WA MBINGUNI MUUMBA WAKO.. YEYE ANAWEZA KUKUPONYA MUDA HUU. ACHA KABISA KUSHIRIKI UPUMBAVU WA WAGANGA. HAKUNA MWANADAMU MWENYE UWEZO WA KUKUSAIDIA.
 
Punguza munkari, kwasasa mkuu folk ametangulia mbele za haki
 
MPUMBAVU WEWE... ACHANA KABISA NA MAWAZO YA USHIRIKINA.. TATIZO UNALO WEWE MWENYEWE KWA KUTAFUTA MSAADA KWA WASHIRIKINA NA KUMHUSISHA MUNGU. CHAGUA UPANDE MMOJA. NAKUSHAURI UMCHAGUE MUNGU WA MBINGUNI MUUMBA WAKO.. YEYE ANAWEZA KUKUPONYA MUDA HUU. ACHA KABISA KUSHIRIKI UPUMBAVU WA WAGANGA. HAKUNA MWANADAMU MWENYE UWEZO WA KUKUSAIDIA.
Hizi comments zako zaonyesha we ni mtu wa type gani.....Shame!
Mungu atakuponya mkuu
 
Kaka heshima kwako! Ila kama hujaumwa hilo tatizo la huyo kijana, mm nilikuwa nalo na nikaambiwa nina matatizo ya akili. The thing about mold & mycotoxins yana damage kiasi kikubwa ubongo wako kiasi kwamba unakuwa emotion sana na ni kweli unaweza kuwa na attention seeking disorder au kujiona victim wa mambo mengi.

Nikishawahi kumshauri huyu dogo 2013! Kwasababu niliugua kama yeye, lakini hakuwa kunisikiliza possibly amepata cancer ya ini! Kwasababu ukiwa na hilo tatizo lazima ufanye body detox baada ya kutibiwa, tangu kipindi hicho mpaka leo siwezi kujua ametumia madawa gani plus accumulation ya hizo toxins za tatizo la mwanzo huenda zimepelekea kuwa na hiyo cancer.

Kuna maradhi duniani mengine ukiambiwa yapo huwezi kuamini unless uwe umekutana nayo kama mm na hii sio hadithi ni kweli.
Daah! bro hongera sana hakika ulikua na nia ya dhati kabisa ya kumsaidia huyu ndugu yetu sema sijui kwanini alikua anasita kuwasiliana na wewe.

Utalipwa kwa nia yako njema na je ulishaenda kwenye Tv kuongelea juu ya hao Mold??

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Jaribu kuulizia Moshi sehemu za Uchira kuna mtu anatoa tiba asili za Cancer; personally namfahamu mama mmoja alikuwa na cancer ya ziwa aliweza kuishi kwa zaidi ya miaka 30 akitumia hizo dawa za Uchira mpaka Mungu alipomchukua mwaka Juzi ikichangiwa na uzee
anaitwa Mama Apasia kutoka stand yq uchira hadi alipo unaweza kutembea au umpe bodaboda 1000 dawa yake ni 50 utakunywa mara 3 anasaidia wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah! bro hongera sana hakika ulikua na nia ya dhati kabisa ya kumsaidia huyu ndugu yetu sema sijui kwanini alikua anasita kuwasiliana na wewe.

Utalipwa kwa nia yako njema na je ulishaenda kwenye Tv kuongelea juu ya hao Mold??

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Wagonjwa wa kansa wengi wanapenda kupuuzia ila kansa ni hatari saaana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom