Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
Nipm jumapili ntawahi kukuwekea siti ya mbele uje tukanyange mafuta huenda mambo yako ya sasa yatabak kuwa historia
 
You sound, fake, hypocrite.. Some angry bitter individual..... Focus on your life... Stop imagining things!!
Hivi hawa watu wanao andika mambo zao hizi huwa wanasoma thread mpaka mwisho kabla ya kuandika hisia zao? Embu ifike muda mtu ajifikirie mara mbili kabla ya kuandika chochote nahisi itapunguza hali kama hizi....

Nafikiri ilishatolewa taarifa kuhusu tukio la kuiaga dunia kwa huyu ndugu yetu sasa sijajua ninyi mmelionaje hili....

Moderator nafikiri wangetusaidia kuundoa uzi huu maana hizi dhihaka humu zimetosha.
 
Ndugu zangu,

Mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote (we never give up united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals).

Binafsi mimi ndio muhanga na muathirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu, (trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky) na mambo mengi mabaya kwa binadamu.

(There comes a times it feels like the world is upon my shoulder can't take this shiit no more) nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha Mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake (ain't fear death because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy).

Nilikuwa na (plan) ya kutafuta (anyone with the solution) kwa maana ya (traditional healer) au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama (its a waste of time) watu nao wamekuwa matapeli tu (nowdays).

Yaani (we living in crazy time folks) nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hooa hell no! Mungu ananitaka mwanae si bure na (he is the master of the people so far so am good} to go though ukioniona( live) huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa huwezi.

Nimetoa dukuduku langu nahisi kama (relief) fulani nimepata.

Kila la kheri wandugu.
Duuh, pole ndugu!
 
Nadhani huyu ndie ndugu yetu Folk alietutoka kwa pancreatic cancer . May he continue to rest in peace.
 
You sound, fake, hypocrite.. Some angry bitter individual..... Focus on your life... Stop imagining things!!
Never judge kabla hujaexperience baadhi ya hali maishani . Tema mate chini na muombe sana Allah akuepushe na kama yaliyomkuta marehemu Folk. Ni rahisi kuhukumu kabla ya kuelewa.
 
you ..lucky you..mshukuru na mtukuze sana mungu wako kwa kukukinga na kukuepusha na majaribu haya magumu ya kukumbwa na matatizo ya ushirina...

mimi nakusamehe bure maana hukumu ya kaburi aijuae maiti kaka...

kila la kheri na pia shukrani kwa mchango wako.
Dah, endelea kupumzika bro [emoji29]
 
Sio siri nimefurahishwa na kuhamasishwa sana wewe kaka kwana namna ulivyoguswa na kutoa moral and material support kwa hili gumu kwangu natayafanyia kazi yale yote uliyonishauri na kunielekeza. You are awesoooome!!

Watanzania tujifunze kitu kwa kaka sokwe this life don't last forever, tusikejeli na kuhukumu offer tujenge kwa mawazo huru hata kama tujitofautiana haiondoi ukweli kwamba watanzania tunapendana pia kutotautiana ndio utajiri wa mawazo na pia ndio njia sahihi ya kujenga mawazo imara na murua.

Thanx bro your appreciated!!
Tunaweza jifunza kitu hapa kwa haya mawaidha ya ndugu yetu aliyetangulia mbele za haki takriban mwaka sasa.

You have my respect bro sokwe
 
Hapa ndo utawajua washirikina na watu wa maombi..
All in all may the Almighty God heal you
In Jesus name. Amen
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom