Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
Kijana emb kaa chin tafakar juu ya muumba wako thn ufanye touba ya kwel hakika huko ni kumshirikisha na adhabu yake ni motoni kwahy you still have ample time to correct your self,come back to your consciousness,be humble,relax,and focus on God,,,stay blessed little boy
 
Af we mtoa mada unaonekana kama muongo flan hivi,kuna Uzi wako kama huo kuwa repot ya daktar utakufa baada ya miez mnne Leo umekuja nahuu kuwa majirani wanakuloga,sasa tukueleweje ni majirani au madaktar walokwambia utakufa baada ya miezi mnne,Acha hizo wewe
 
Na kwenye ule Uzi ulisema kuwa unacancer na madaktar wamesema utakufa ndan ya miez mnne Leo unasema tena umelogwa,dah ama kwel naanza kuona harufu mbaya ya wale wanaolialia shida humu kama wote matapel vile,
 
Af we mtoa mada unaonekana kama muongo flan hivi,kuna Uzi wako kama huo kuwa repot ya daktar utakufa baada ya miez mnne Leo umekuja nahuu kuwa majirani wanakuloga,sasa tukueleweje ni majirani au madaktar walokwambia utakufa baada ya miezi mnne,Acha hizo wewe
Ahahaha!! We mkuu umekurupuka sana, huu Uzi wa ishu za kurogwa jamaa aliubandika mwaka 2013 na huu wa Cancer ni mpya wa mwaka 2018.

Siku nyingine kuwa makini..don't judge people easily kihivyo.

Futa maandishi yako tafadhali... And I apologize on behalf of this man who raise accusations kwa mleta mada mgonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna maisha magumu wewe
Unataka kutoa milioni kwa mganga wa kienyeji ???[emoji3]
 
kumbe hata kwa msisi hujaenda kisha unakuja kutoa ahadi ya 1m hapa...ebu nenda kafanye homework yako ipaavyo sio unakaa jf kuomba msaada online...tembea kijana acha kulialia.
kwa msisi balaaaa....""
 
Huyu jamaa si ndio ana kansa?/sijui anaendeleaje huko aliko
 
Ndugu zangu,

Mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote (we never give up united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals).

Binafsi mimi ndio muhanga na muathirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu, (trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky) na mambo mengi mabaya kwa binadamu.

(There comes a times it feels like the world is upon my shoulder can't take this shiit no more) nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha Mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake (ain't fear death because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy).

Nilikuwa na (plan) ya kutafuta (anyone with the solution) kwa maana ya (traditional healer) au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama (its a waste of time) watu nao wamekuwa matapeli tu (nowdays).

Yaani (we living in crazy time folks) nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hooa hell no! Mungu ananitaka mwanae si bure na (he is the master of the people so far so am good} to go though ukioniona( live) huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa huwezi.

Nimetoa dukuduku langu nahisi kama (relief) fulani nimepata.

Kila la kheri wandugu.
Folk,don't despare brother, there is hope believe me.Nikuambie kitu,your *only* hope is in Jesus Christ.In the book of Isaiah 53:4-5 we read the following extremely powerful verses:

4 Surely he took up our infirmities and carried our sorrows,yet we considered him stricken by God,smitten by him and afflicted.
5 But he was pierced for our transgressions,he was crushed for our iniquities;the punishment that broght us piece was upon him and by his wounds we are healed.

Brother,these two verses are very clear,Jesus Christ went to the cross so that he may take our infirmities and sorrows, including your infirmities and sorrows! In verse five, we observe something very outstanding, 'by his wounds we are healed.' Brother, just believe that by Jesus Christ being wounded at the cross,you will be healed and it will be so.

However for these things to happen in your life, you will have to believe in Jesus Christ and stay away from sin and the sinful modalities of this sinful world.
Since you do not yet believe in Jesus Christ I believe,and you do not yet know how to live a fruitful,sinless life in Jesus Christ, I advice you to find a truly Jesus believing Church for guidance.This is very important.Ukienda kwenye makanisa yasiyomuamini Bwana Yesu kweli, hutapata msaada tarajiwa,na makanisa,manabii na mitume wa namna hii wako wengi sana siku hizi.Tafadhali achana na waganga wa kienyeji watazidi kukuingiza kwenye matatizo!

Jesus Christ came, so that we may have life and have it abundantly brother,just believe and it will be so.Hakuna linaloshindikana kwake!
 
Af we mtoa mada unaonekana kama muongo flan hivi,kuna Uzi wako kama huo kuwa repot ya daktar utakufa baada ya miez mnne Leo umekuja nahuu kuwa majirani wanakuloga,sasa tukueleweje ni majirani au madaktar walokwambia utakufa baada ya miezi mnne,Acha hizo wewe
Mkuu, soma vizuri, hii ni post ya December, 2013.
 
Jaribu kuulizia Moshi sehemu za Uchira kuna mtu anatoa tiba asili za Cancer; personally namfahamu mama mmoja alikuwa na cancer ya ziwa aliweza kuishi kwa zaidi ya miaka 30 akitumia hizo dawa za Uchira mpaka Mungu alipomchukua mwaka Juzi ikichangiwa na uzee
 
Dah dunia inamambi sana Sokwe heshima kwako huyu jamaa kama alikuwa anataka ushauri wa kweli basi leo tusingesikia haya ila ndiyo tena
 
Just believe in GOD ndugu Mungu ni mmoja na anatupenda sisi sote. yeye pekee ndio WA kukuepusha na hicho kikombe if it's true ...ALLAHAKBAR
 
Japo si mganga wala mchungaji kwa hisia zangu nilopewa na Mungu tiba ya mambo kama hayo ni wewe na ndugu kuacha hofu.Hakuna hatari kama hofu na ndio njia ya awali adui zako kukushambulia,pili jua historia ya wazazi wenu,alafu zingatia kusali ukiomba Mungu akufungulie milango ya maisha yako halisi,usipende kusali kwa staili ya vita kama za baadhi ya walokole mfano shindwa waka moto
waka moto.. maana ile ukiteleza kidogo washirikina/mashetani yanarudi kupambana nawe, penda kuiambia nafsi yako "hawa watu wasiniweze sina chuki nao" Ukiwaona sema moyoni "Ondokeni mbali nami sihitaji matatizo nanyi alafu malizia kwa kusema Eeh Mwenyezi Mungu waondoshe adui zangu wasinidhuru.
 
Nimefanya medical examination Bugando medical center kaka sokwe kwa takribani miaka minne mfululizo bila mafanikio, pia ishu ni ya miaka zaidi ya 19 inasumbua. Sifichi kitu kaka mi kama kwa sangoma nimekwenda na nadhani idadi yao ni kubwa ila haimaanishi kwamba simpi mungu thanx and praises zake ila naamini mungu anatungua watu wake hata kwa magome ya miti ya sangoma maana yeye ndie alieweka miti hii hapa duniani.

Mbali na hayo naweza kuhisi kitu kisicho cha kawaida mwilini kwangu na kutafuta jawabu lake...I mean I can't feel it from what is going on through and within my body and make a soundable conclusion. Tunakubali au tunakataa kaka hii ni taaluma ya waswahili.

Kind regards.
Kama unaamini genuinely kabisa kuwa unarogwa na anayekuroga ulishamuhisi au umeshawahisi, basi nenda mbele yao bila woga uwachane makavu kuwa wao wanakuroga na sasa imetosha, utakayoyafanya watajuta. Baada ya kufanya hayo utapona kimiujiza tena haraka.
Jambo jingine unaonekana una majivuno kutokana na jinsi tu unavyoandika. Inawezekana umesoma lakini si lazima kila mtu akajua kuwa umesoma, that's for yourself and yourself only. Ishi na watu kama vile unalingana nao. Don't fake your personality and attitude, be who you are but humble even to a garbage collector and think positively. Isije ikawa unasumbuliwa na nafsi yako mwenyewe "fear of the unknown". Pia ondoka uende mbali na nyumbani, kaa pekeako tafakari uone kama kutokupiga hatua kwako kumechangiwa vipi na we mwenyewe kwanza kabla hujawafikiria walozi. You have in yourself, the solution to your problems.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom