At your own risk

At your own risk

i lost my mama nilipokua na miaka minne...sometime unawish angekua around kiukweli.
 
kabisa,she is my everything mungu ampe maisha marefu sana
 
Baba yangu mwaka watatu huu ananiumaa like kaondoka dakika hii wacha kabsaa mzazi ni mzazi anauma sana ,, Mungu amuweke mama yangu
..rip my dad.
 
Ni kweli kabisa,ni uchungu usio na kifani. Mama yangu ni mwaka mmoja na miezi kadhaa ulipotuacha kwa ghafla uchungu ninaousikia hauna maelezo yoyote! Mpaka leo kuna vitu huwa nawaza nitamwambia mama yangu ndio atakaenielewa , baadae nakumbuka kuwa hatunae tena,ila kwa uhakika kiroho bado niko nae!

Pole sana mwana,mungu ampe maisha marefu mom wangu
 
kabisa,she is my everything mungu ampe maisha marefu sana

we acha tu siku zote nasema siku nikiolewa mme hata asiponipenda kiviile ila ampende amthamin mama yangu na mm mama yake
 
  • Thanks
Reactions: lin
sijaelewa title tafadhari , " at your own risk" how?
 
Hapa duniani hakuna mtu anayeishi maisha magumu kama yule aliyefiwa na mama yake mzazi.

Ni bora ya mtu asiye na pesa, atahangaika atatafuta na ipo siku atazipata hata kama ni uzeeni atapata tu lakini ukimpoteza mama ndio imetoka hiyo. Mama hautaweza kumtafuta, mama hana mbadala, mama ni mmoja tu, ukimkosa huyo uliyenae hutampata mama mwingine.

Mtu asiye na mama anakuwa kwenye wakati mgumu sana hasa nyakati za:
1. GRADUATION 2. HARUSI 3. MAFANIKIO 4. WAKATI WA SHIDA (Karibia nyakati zote tu kiukweli)

Katika hayo matukio ndio ambapo kila mtu anamkumbuka sana mama yake, utakapokuwa kwenye harusi unatamani mama yako angekuwepo, utakapokuwa kwenye graduation unawish mama yako angekuona unapomaliza chuo.

Mtu anapomzungumzia mama yake basi nawewe unatamani mama yako angekuwepo, mtu akipigiwa simu na mama yake unatamani mama yako angekuwepo labda angekupigia simu.

Mtu asiye na mama kila akikumbuka mama yake alipokuwa akimuita, akimfulia nguo, akimnyooshea nguo, akimuwekea chakula na kumfundisha mambo mengi ya kimaisha ataishia kulia tu.

Uchungu wa kumkosa mama hauna kifani wanajamiiforums, ukimkosa mama unaweza ukajiuliza unaishi ili iweje sasa?

POLENI WOTE MLIOFIWA NA MAMA ZENU PIA NISAMEHENI KWA KUWAKUMBUSHA MACHUNGU NA KUWATOA MACHOZI.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Hakuna atakayeishi milele, kufa kupo usiwafanye watu wamkufuru Mungu. Kama mtu hana mama hana tu kuwa na huzuni na uchungu hakumsaidii chochote usiwaletee watu mawazo ya kujihurumia na kuwarudisha nyuma. Nasema songa mbele, Mungu anayekutunza toka tumboni hajafa.
 
RIP my mama, nilikupenda ila Mungu alikupenda zaidi alikuchukua kwa wakati ambao ndio nilihitaji ushauri na msaada wako katika maisha haya, all in all nakupenda na nitakupenda daima tangu umeondoa duniani sijawahi kuona mwingine kama wewe, wewe ni mama na utabaki kuwa mama yangu daima
 
we acha tu siku zote nasema siku nikiolewa mme hata asiponipenda kiviile ila ampende amthamin mama yangu na mm mama yake

ni kumshukuru Mungu..dunia hii ni tambara bovu. wapo wamama nanaotembea na waume wa bint zao lakin pia wapo mama mkwe ambao anaweza hata akakufungashia virago uachane na mwanae... maishani lolote laweza kukutokea. tuombe Mungu atuhurumie
 
asante..
its very true, i have noticed something, nikiwa nahudhuria harus or send-off parties, huwaga nataman kulia coz kuna point wanamtaja mama na wanaona how happy their mama r kuona mwana ako stage flan ya maisha, honestly machoz hunitokaga na nakua sitamani kuolewa kwa harusi or do send-off parties, my mom passed away 12 yrs ago but duh, cant get over the pain!
 
Baba yangu ndio kila kitu kwangu, huwa nashindwa kuelewa janaume zima lisipojuwa umuhimu wa Baba nadhani wengi wao ni mimba za kubambikwa hawana uhakika kama wanaowaita Baba kama ni Baba zao kweli.

Baba akifa mara nyingi familia nyingi zinasambaratika mababa wengi wako jela kwa makosa waliyofanya kutafuta pesa kuprotect family huku nje mimama inatoombwa tu.

Excuse you?!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom