Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,843
- 1,432
Hizo zote ni mbwe mbwe tu, kufa ni njia kuu ya kuelekea peponi. Hamtaki mama aende peponi? Au mnaona ni sawa baba afe halafu mama abaki? Kila mtu akifa ni uchungu kwa wanaobaki siyo mama tu. Wapumzike kwa amani wote waliyotutangulia, nasi siku moja tutawafuata kila mmoja na wakati wake aliyopangiwa na Mola. Wapumzike wanapostahili.