At this age..!

At this age..!

Daa!! Huyo mama pamoja na kunyonyesha lakini nyonyo lake bado msumari asee![emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haina mabega [emoji39] [emoji30] unapigwa chini unavimba juu[emoji144] [emoji25] [emoji144]gud morning Kasie

Hahahahhaa haina mabega hiyo hehehehe

Morning Mshana.
 
Usukumani hii kitu sidhani kama bado ipo tena, ilikuwepo mwishoni mwa miaka ya 90.
Ila nimeshuhudia mwaka jana November nilikuwa maeneo yao na NGO moja hivi inayoshugh
ulikia hayo mambo, hali iko juu kiasi.
 
Si ajabu mwanaume aliyekatisha ndoto za huyu binti ni mtu na familia yake tena mwenye watoto wa kike halafu ni mkali kapitiliza
Kaka upo sahih , tena watu wa namna hiyo huishi maisha ya misukosuko kutokana na machozi ya watoto wa watu.
 
Kwa umri huu inatokea lakini uombe Mungu msaada utakao kuwa nao. Class mate wangu, alipata mimba tuko chuo mwaka wa kwanza. Boyfriend mwenyewe brazamen tu wala hasomeki. Alimpigia mama yake simu akitaka arudi nyumbani mara moja ili aitoe. Mama yake alimwambia sikia tena sikiliza, lea hiyo mimba na nitakusaidia kwa uwezo wangu wote. Yule binti alipojifungua mama yake alimletea house girl, alimpangishia nyumba nzima na alikuja kumsaidia.

Mama mambo yake super, na alimueleza kuwa alipata ujauzito wa binti yake wa pekee akiwa shule, na wazazi wake walimwambia akijifungua awaanchie mtoto ili aendelee na masomo. Yule mama alisoma na kumaliza, anawadhifa mkubwa serikalini lakini hakujaliwa kupata mtoto mwingine. Alimwambia binti yake, kama ningetoa mimba yako, sasa hivi ningekua mgumba.
 
nilikuwa sijaelewa ila nimefatilia kila post humu ndani nimeelewa...duh...mwenyezi Mungu atusaidie
 
Ila nimeshuhudia mwaka jana November nilikuwa maeneo yao na NGO moja hivi inayoshugh
ulikia hayo mambo, hali iko juu kiasi.
ulikuwa kijiji/wilaya gani mkuu ambako bado hizo mambo zipo?
Mimi mara ya mwisho niliona Kiloleli-Kishapu
 
Kwa umri huu inatokea lakini uombe Mungu msaada utakao kuwa nao. Class mate wangu, alipata mimba tuko chuo mwaka wa kwanza. Boyfriend mwenyewe brazamen tu wala hasomeki. Alimpigia mama yake simu akitaka arudi nyumbani mara moja ili aitoe. Mama yake alimwambia sikia tena sikiliza, lea hiyo mimba na nitakusaidia kwa uwezo wangu wote. Yule binti alipojifungua mama yake alimletea house girl, alimpangishia nyumba nzima na alikuja kumsaidia.

Mama mambo yake super, na alimueleza kuwa alipata ujauzito wa binti yake wa pekee akiwa shule, na wazazi wake walimwambia akijifungua awaanchie mtoto ili aendelee na masomo. Yule mama alisoma na kumaliza, anawadhifa mkubwa serikalini lakini hakujaliwa kupata mtoto mwingine. Alimwambia binti yake, kama ningetoa mimba yako, sasa hivi ningekua mgumba.
Very touching [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144]
 
Nilikuwa maeneo ya Bukombe na kisha Ushirombo
Oookay, jamaa zangu wasumbwa kweli bado wana hiyo mambo jamaa bado primitive sana wanamiliki hadi "lusunda" kitu kilichotengenezwa kwa kamba za katani na hutumika kuning'inizia vyungu au vibuyu vya maziwa mitaa fulani Katente-Ushirombo.
 
Hahahahahahaa
Nishapiga sana maziwa yao ya kwenye vibuyu. Ila ninawakubali kwa kuwa wakarimu sana.
Taratibu mambo yatakaa sawa maana hata kusini kule bado hakuja kaa vizuri.
 
Ukarimu wao hauna mipaka? Unaenda mbali kiasi gani? [emoji85] [emoji39]
 
halafu unakuta wazazi walibadilishana debe la mahindi.... kisha mume ana miaka 70+ kuharibu tu maisha ya watoto wao
 
Back
Top Bottom