At this age..!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
169,819
2,000
1469032256927.jpg
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,904
2,000

Umenikumbusha dada mmoja alikuwa anatusimulia jinsi mama yake alivokuwa akamwambia. ... wakati huo tulikuwa sekondari form 3. Utakuta labda huyo rafiki yangu kufanya kosa sasa mama yake anamgombeza.... utasikia..."mkubwa wewe hivi unafikiri us ingekuwa shule saa hizi na uko kijijini ungekuwa ushaolewa na una watoto 3 sasa sikuelewi kwanini ufanye mambo ya kipuuzi na ya kitoto. Shakur Mungu umezaliwa mjini na sukuma Mungu uko shule.... Acha utoto na ujinga. .."

Huyo rafiki yangu anasema alikuwa anachukia kila mara mama yake akimgombeza kwa maneno hayo, ila anasema yalimsaidia maana hakukubali kuzalishwa hadi alipoolewa.

So sad to the girl, saa nyingine waschana kama hawa sio umasikini bali ni kutokujua matokeo ya atachokifanya (being ignorant) yaani hajui ukipigwa chini unavimba juu pia hajui kuwa ile kitu haina mabega maana aliyemdanganya anamwambia ....... wala haiumi ngoja kidogo mii siingizi yote hii... naingiza kichwa tuu... nyoo kooo ukiruhusu tuu jamaa anazamisha yooteee.

Feeling sorry for her though.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
169,819
2,000
Umenikumbusha dada mmoja alikuwa anatusimulia jinsi mama yake alivokuwa akamwambia. ... wakati huo tulikuwa sekondari form 3. Utakuta labda huyo rafiki yangu kufanya kosa sasa mama yake anamgombeza.... utasikia..."mkubwa wewe hivi unafikiri us ingekuwa shule saa hizi na uko kijijini ungekuwa ushaolewa na una watoto 3 sasa sikuelewi kwanini ufanye mambo ya kipuuzi na ya kitoto. Shakur Mungu umezaliwa mjini na sukuma Mungu uko shule.... Acha utoto na ujinga. .."

Huyo rafiki yangu anasema alikuwa anachukia kila mara mama yake akimgombeza kwa maneno hayo, ila anasema yalimsaidia maana hakukubali kuzalishwa hadi alipoolewa.

So sad to the girl, saa nyingine waschana kama hawa sio umasikini bali ni kutokujua matokeo ya atachokifanya (being ignorant) yaani hajui ukiwa chini unavimba juu pia hajui kuwa ile kitu haina mabega maana aliyemdanganya anamwambia ....... wala haiumi ngoja kidogo mii siingizi yote hii... naingiza kichwa tuu... nyoo kooo ukiruhusu tuu jamaa anazamisha yooteee.

Feeling sorry for her though.
haina mabega unapigwa chini unavimba juu gud morning Kasie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom