Astra Projection

Astra Projection

sawa nawewe nakuweka kwenye kundi la matapeli...🤣
sio kwamba siijui naijua na nilishawahi ifanya nikawa nahisi kufakufa nikaona isiwe tabu nisijichoshe kizazi!
Ulikuwa Umeweza ila ulikuwa na kitu kimoja tu kilichokukwamisha 😅😅🤣 bado ulikuwa na Mawazo ya Uoga uliyosimuliwa, Ukiwa unafanya meditation unatakiwa Ucreate reality ambayo haifanani na Maisha uliyosimuliwa..

So Moyo wako ndo ulikuwa Unaogopa Ila ungeupita Huo uoga na Kuona Vyovyote iwe Tungekuwa Tunasimuliana Kitu hapa
 
niacheni kwanza sasahivi ndo siwezi jaribu kabisa maana kusi imekuwa kas mambo mpangalanyiko!
 
we hukiheshimu kifo..?
Kwanini uogope Kifo?
Kifo kinaanza Siku unapozaliwa tu!
The day you were Born....Ndo siku uliyoanza Safari ya Kifo..

So mawazo yako kuhusu Kifo Ni illusion kwa sababu No matter what lazima Utakufa Miaka 60 mbele au Miaka 100 Mbele hiki kizazi chote hakitakuwepo Kitakuwep kingine so Ishi na Usiogope Kifo..

Kama ambavyo haukuchagua Kuzaliwa Vivyo hivyo huwezi kuchagua Jinsi, Sababu ,na hata Siku ya Kufa
 
ni lazima tuogope kifo, itachukua muda kunielewa kwanini tuogope kifo!
 
Back
Top Bottom