Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,843
- Thread starter
- #81
Sawa mkuuHii sio astral projection wala lucid dreams.. hizi ni ndoto za shibe
Ila usijaribu kama huna roho ya kukurudisha
Sawa mkuuHii sio astral projection wala lucid dreams.. hizi ni ndoto za shibe
Maana yake?Kwa hiyo hizi ni Zama za kf?
Upande wa nani na nani?Lazima uchague upande moja hakunaga katikati .
Ila angalizo huwezi kurudi kama huna nguvu za kukurudisha huwezi na utakaa uwezi
hamna aisevipi nani anakusumbua hapa jf nikutongozee sahivi..?
Mkuu hichi kitu kipi naweza kukupa maelezo tu ulipo ukafanya naukathibitisha huko ulipo ila kwa namna ilivyo ni tofauti na maelezo ya watu.wewe ni tapeli tu.. ukibisha nifate na hiyo Astral yako, mnakaa mnadanganyana tu!.😂
katafute huko chap umlete hapa sasahivi unachukua jimbo! mwanaume unakosaje wadada wa reserve..?hamna aise
Haina shida nduguSawa. Ila ujue si wote tunapenda ku fall through comment moja moja ndio maana ingekua busara kuweka maelezo yoote pamoja ili mtu aelewe na akiwa interested zaid aanze kufuatilia michango mmoja mmoja
ipoje..?Mkuu hichi kitu kipi naweza kukupa maelezo tu ulipo ukafanya naukathibitisha huko ulipo ila kwa namna ilivyo ni tofauti na maelezo ya watu.
Ina hatari gani ambazo ulishazipata tofauti na porojoKwanza kabisa sipendi mtu ajaribu maana ni hatari kwa mwanadamu
We jamaa ni muongoSawa mkuu
Ila usijaribu kama huna roho ya kukurudisha
Uwekekano wa kutokurudi ni mkumbwa sana tena sana.Ina hatari gani ambazo ulishazipata tofauti na porojo
Vitu za Energy portal sio kitu ya kuwa na taarifa nusu...... Unaweza vuruga life yako.Mkuu niliteseka kurudi wewe Acha tuuu
Sawa mkuu najua ntapingwa sana kwa maneno ya "nilisikia kwamba"We jamaa ni muongo
Wengi ni wajuaji wasiojuaVitu za Energy portal sio kitu ya kuwa na taarifa nusu...... Unaweza vuruga life yako.
kwamba astral body inaweza kushindwa kurudi kwenye mwili wake!!!! Haya maelezo umeyatoa wapi??Uwekekano wa kutokurudi ni mkumbwa sana tena sana.
Hawa watu ambao walisema unarudi tu unajieka kwenye mwili wengi wanaota .
Upande wa giza na nuruUpande wa nani na nani?
Ukifanya meditation hasa zile deep meditation akili yako inakua katika hali ya utulivu mkubwa , sio rahisi kuendeshwa na hisia haribifu .ipoje..?
hii kitu nmeifanya zaidi ya x100Sawa mkuu najua ntapingwa sana kwa maneno ya "nilisikia kwamba"
Mimi naogea from experience hivi vitu sio vya kujaribu kama unavyoona huku
Nimeona wasanii wengi wanaelezea walivyokuwa wanatoka kwenda gizani kuchukua lyrics na kila kitu Cha nyimbo zao..... Baada ya siku kadhaa wanarudi mzigoni.Wengi ni wajuaji wasiojua