Astra Projection

Astra Projection

Wewe umesema ila wakongwe wote wanaelewa Mada za 2010 zilikua zipi
kuna majukwaa tofauti tofauti kuna mawazo tofauti tofauti Alafu ukizungumzia wakongwe unamaanisha nini?au unaangalia Id za kujoin jf wengi tupo humu kitambo kuliko unavyodhani mi nimekuwa mwanachama sababu tu wamelazimisha watu wawe wanachama msijifanye mnaijua sana jf kuliko Max melo.
 
Kitambo gani wewe dogo
Umejiunga 2024..
Heshimu wakubwa zako.kumbavu.
 
Kitambo gani wewe dogo
Umejiunga 2024..
Heshimu wakubwa zako.kumbavu.
Hujamuelewa tu..

Watu wengi wanaingia kama guest humu kwa mfano mimi nimeanza kuisoma jf tangia 2011 lakini nikajiunga 2015 kwa ID nyingine nilishaachana nayo maana nilipoteza email yake. Nikawa naingia tena kama guest nikaamua kujiunga tena 2020 kwa ID hii.
Kwa sasa mtu akiingia kama guest mara kadhaa basi atalazimika kuwa na ID ili aendelee kutumia jf, kwa hiyo wengi wameanza kuijua jf na kuitumia kabla ya kuwa members
 
Back
Top Bottom