Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,168
- 4,334
Kwa hiyo na wewe una majini?Ndio nimewahi
Kwa hiyo na wewe una majini?Ndio nimewahi
Endeleeni kujitekenya alafu chekeni sana.Kitambo gani wewe dogo
Umejiunga 2024..
Heshimu wakubwa zako.kumbavu.
wengine huita: soul travel yaani out of body experinces, Ni UCHAWI tu sio kingine.hii astra projection huwa sielewagi ebu tufafanulie kidogo mkuu