baby zu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,946
- 5,040
Bora umemjibu, jf was real a home of great thinker, Mada ulikua ukisoma unatoka na knowledge hasaNi Facebook
Bora umemjibu, jf was real a home of great thinker, Mada ulikua ukisoma unatoka na knowledge hasaNi Facebook
Ipo fofauti sana ya zamani ilikua ya motoKwamba hii sio jf tena?
kifo kinatakiwa kiogopwe ili dhana ya uhai ipate nafasi, ingekuwa si kitu chakuogopesha watu kibao wangekuwa wameshajimaliza!.Kwanini Unaogopa Kifo nianze na Swali hilo kwanza
Nzuri sana na cha kuongezeaKwanini uogope Kifo?
Kifo kinaanza Siku unapozaliwa tu!
The day you were Born....Ndo siku uliyoanza Safari ya Kifo..
So mawazo yako kuhusu Kifo Ni illusion kwa sababu No matter what lazima Utakufa Miaka 60 mbele au Miaka 100 Mbele hiki kizazi chote hakitakuwepo Kitakuwep kingine so Ishi na Usiogope Kifo..
Kama ambavyo haukuchagua Kuzaliwa Vivyo hivyo huwezi kuchagua Jinsi, Sababu ,na hata Siku ya Kufa
Duuuuh watu wamepotea sanaIpo fofauti sana ya zamani ilikua ya moto
Alie kwambia huko ninkuzimu kakulisha matango poriMtanisamehe sio mtu wa maneno mengi
Ila zile procuders zote za Rakims alizozilezea.
Pia kuna vyakula mtu anabidi uache kuvila na kunywa kwa siku chache kabla hujajaribu kama pombe ,sukari na ngono.
Izi zinapunguza uwezo wa concentrate alafu haipo kama wale jamaa wanavyooeleza kwenye ulimwengu wa kiroho hakuna katikati bali ni either upande wa giza ama nuru.
Naukienda kizembe zembe hurudi maana huko ni kuzimu.
Hapana mkuu nipo vizuri sana na weza hadi kuingia kwenye mwili wa mtu mwingine na kumcontrolAt least.. na kuwe kumetulia sasa usijeshindwa kurudi huku ukazikwa mwili ilihali roho yako ipo inatangatanga huko
Fb imeoza ni maushenzi shenzi tuNi Facebook
Hakuna aliyeniambia mkuuAlie kwambia huko ninkuzimu kakulisha matango pori
Kwanini Uulinde Uhai?kifo kinatakiwa kiogopwe ili dhana ya uhai ipate nafasi, ingekuwa si kitu chakuogopesha watu kibao wangekuwa wameshajimaliza!.
kiumbe hai lzm kiogope kifo ni sehemu ya kulinda uhai
Sawa ila kuna vingine havionwi mkuuHuku ndo kujirsk kuliko, unaweza kuzimika mazima ila napenda nijifunze nionane na ndg zangu waliotangulia.
Nzuri sanaKwanini Uulinde Uhai?
Dhana ya Maisha Baada ya Kufa Huiamini?
Kwanini Ukumbatie Dhana ya Material World na Huamini Spiritual Realm?
Yoyote mwenye Kuamini Kuwa Mwili huu wa Nyama na Damu Hautaurithi Ufalme wa Mbingu amewaza Vyema!
Na hivyo hakuna Haja ya Kuogopa Mwili utakaokuingiza Peponi!
Kuogopa Kifo ni Uoga wa Kuishi! Na Ubinafsi wa Kukumbatia Dunia hii kwa kuamini Unaacha mali zako ambazo hata hukuwa nazo Miaka 100 iliyopita..
Kama ambavyo hujui Ulikuwa Wapi kabla ya Kufika hapa Vivyo hivyo Usiogope Unaenda wapi baada ya Kutka Hapa..
Kifo ni funzo kuwa Hii ni njia ya Mwili na sio Njia ya Rohoo...
Na ndo maana Watu husema Dunia Sisi tu wapitaji...
0780802230 atakusaidia ku atra projectni lazima tuogope kifo, itachukua muda kunielewa kwanini tuogope kifo!
enzi za rakims na mshana jr🤣Enzi za jf hizi ndio zilikua mada
Huwa napractice sana hii kituHabari wanajf,
Nilikuwa naomba mrejesho wa walioweza kufanya Astra projection.
Maana mimi nimeweza jana baada ya siku nyingi?
umeenda huko tena! hatutamaliza acha mi niishie hapahapa!.Kwanini Uulinde Uhai?
Dhana ya Maisha Baada ya Kufa Huiamini?
Kwanini Ukumbatie Dhana ya Material World na Huamini Spiritual Realm?
Yoyote mwenye Kuamini Kuwa Mwili huu wa Nyama na Damu Hautaurithi Ufalme wa Mbingu amewaza Vyema!
Na hivyo hakuna Haja ya Kuogopa Mwili utakaokuingiza Peponi!
Kuogopa Kifo ni Uoga wa Kuishi! Na Ubinafsi wa Kukumbatia Dunia hii kwa kuamini Unaacha mali zako ambazo hata hukuwa nazo Miaka 100 iliyopita..
Kama ambavyo hujui Ulikuwa Wapi kabla ya Kufika hapa Vivyo hivyo Usiogope Unaenda wapi baada ya Kutka Hapa..
Kifo ni funzo kuwa Hii ni njia ya Mwili na sio Njia ya Rohoo...
Na ndo maana Watu husema Dunia Sisi tu wapitaji...
pita hivi0780802230 atakusaidia ku atra project
😅😅umeenda huko tena! hatutamaliza acha mi niishie hapahapa!.