Astra Projection

Astra Projection

Hapana mkuu
Ndoto nazujua vizuri hakuna ndoto unaota unafahamu zako kwanzia jina lako mpaka miaka yako
Aarr kuna binti mmoja kasema kuwa yeye huota yupo kwenye mandhari ya miji fulani poa sana.
Ndo'nikamwambia hizo ni ndoto za kawaida tofauti na Astra Projection.
Au aina ya ndoto hizo ndiyo projection yenyewe?
 
Back
Top Bottom