Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,718
OBEs
tulia ujifunze madini wewe mimi ndo mkali wa kutongoza humu ndani sijawahi na sitawahi kupigwa kibuti!.. endelea wewe kuwapenda hao mamume ya wake zao...🤣ungetakiwa umwambie unampenda yeye na bwana ake😃 ungekuwa umemaliza mchezo.
Uliwezaje?Habari wanajf,
Nilikuwa naomba mrejesho wa walioweza kufanya Astra projection.
Maana mimi nimeweza jana baada ya siku nyingi?
Mkuu niliteseka kurudi wewe Acha tuuuhUnataka kwenda gizani kuchukua maelekezo Kama watu wakuu ?
vizuritulia ujifunze madini wewe mimi ndo mkali wa kutongoza humu ndani sijawahi na sitawahi kupigwa kibuti!.. endelea wewe kuwapenda hao mamume ya wake zao...🤣
Jicho la tatu, jf niliipenda sana kipindi kileEnzi za jf hizi ndio zilikua mada
Mkuu nitazidi kuwaeleza wengi mnajua kwamba ukitoka basi nikwanguvu zako la hasaUliwezaje?
Kwl kabisa mkuuEnzi za jf hizi ndio zilikua mada
unatutania wewe yani tusile ngano tule nini..? tusinywe pombe tunywe nini..?Mtanisamehe sio mtu wa maneno mengi
Ila zile procuders zote za Rakims alizozilezea.
Pia kuna vyakula mtu anabidi uache kuvila na kunywa kwa siku chache kabla hujajaribu kama pombe ,sukari na ngono.
Izi zinapunguza uwezo wa concentrate alafu haipo kama wale jamaa wanavyooeleza kwenye ulimwengu wa kiroho hakuna katikati bali ni either upande wa giza ama nuru.
Naukienda kizembe zembe hurudi maana huko ni kuzimu.
vipi nani anakusumbua hapa jf nikutongozee sahivi..?vizuri
Ni kuwa nguvu za nani?Mkuu nitazidi kuwaeleza wengi mnajua kwamba ukitoka basi nikwanguvu zako la hasa
Mkuu ni kweli sijui kuandika lakini sio mchoyo wa kuitoa hii elimuHujui kuandika, hujui kueleza na huna objective katika suala hil unalozungumzia hapa. Kwakifupi, unawakera sana watu makini
Hii sio astral projection wala lucid dreams.. hizi ni ndoto za shibeMtanisamehe sio mtu wa maneno mengi
Ila zile procuders zote za Rakims alizozilezea.
Pia kuna vyakula mtu anabidi uache kuvila na kunywa kwa siku chache kabla hujajaribu kama pombe ,sukari na ngono.
Izi zinapunguza uwezo wa concentrate alafu haipo kama wale jamaa wanavyooeleza kwenye ulimwengu wa kiroho hakuna katikati bali ni either upande wa giza ama nuru.
Naukienda kizembe zembe hurudi maana huko ni kuzimu.
Lazima uchague upande moja hakunaga katikati .Ni kuwa nguvu za nani?
Kwa hiyo hizi ni Zama za kf?Enzi za jf hizi ndio zilikua mada
Sawa. Ila ujue si wote tunapenda ku fall through comment moja moja ndio maana ingekua busara kuweka maelezo yoote pamoja ili mtu aelewe na akiwa interested zaid aanze kufuatilia michango mmoja mmojaMkuu ni kweli sijui kuandika lakini sio mchoyo wa kuitoa hii elimu
Nitakuwa naitoa kwa majibu ya maswali kadri ya uwezo wangu
Utanisamehe