Assuming the world without women!

Kwanini tumshukuru kwa lipi hasa? kwani kuna umuhimu gani wa wewe na mimi kuwepo hapa? nini kingebadilika kama wewe na mimi tusingezaliwa au watu wasingekuwepo? hakuna faida yeyote ya kuwepo hapa kwa hiyo swala la kutoa shukrani kwa mwanamke kwa kunizaa halina msingi wewote kwa ni sikuomba kuzaliwa naye na nilizaliwa bila idhaa yangu na sioni sababu ya kushukuru kwa hilo.....kwani bila wewe na mimi dunia isingeangamia na hakuna ambacho kingebadilika...........

Na Tekinolojia inabadilika na hata wanaume wameanza kubeba mimba kwa hiyo baada ya muda nadhani itawa poa tu!!!

Hahaha.
 
Kama dunia isingekuwa na wanawake wewe usingekuwapo duniani. Nasema hivi bila kujali jinsia yako maana wote tumezaliwa na mwanamke. Pliz usilete tena threads za namna maana wengine tunaheshimu mama zetu na kuwapenda mno. Ebo!!!!!!!
 
wastage of brain space and energy.
Any way ebu tujaribu kuwaza kama kungekuwa na jinsia nyingine ya tatu!
 
Naona kila mtu anatoa jibu kwa hisia bila kuzingatia ukweli wa swali; Naona swali hilo limekosewa; swali sio assumption; mwandishi alitakiwa kwanza swali kuuliza ndio aweke assumption kupitia kupata jibu; najibu kwa kubadilisha swali kuwa " Hebu fikiria, Dunia bila wanawake ingekuaje?"
JIBU: Angekuwepo Adam tu, maanake Mungu asingemuumba mwanamke kutoka ubavuni mwa ADAM; Naona dunia ingekuwa shwari bila shida kabisa na tulivu; maana no sin ( maana wanawake ndio walianzisha pale Eden), no Ufisadi (maana mafisadi hufanya hivyo ili kuwakirimu wanawake), du Adam angeishi kwa raha mstarehe na dunia yote ingekuwa yake akiitawala bila shida kabisa
Tuendelee
 
Kama dunia isingekuwa na wanawake wewe usingekuwapo duniani. Nasema hivi bila kujali jinsia yako maana wote tumezaliwa na mwanamke. Pliz usilete tena threads za namna maana wengine tunaheshimu mama zetu na kuwapenda mno. Ebo!!!!!!!

...haha, mjibu kwa hoja, akiendelea mpe kiroja...

sipendi kulitumia neno hili, anyway acha niliweke kwenye mabano, '(assume)' tungekuwa tunajigawa kama bacteria vile, (binary fission), mambo ya 'sitoki-no-sisi' hayo...!!!
 
Linaweza kuwa swali ambalo wengi wetu hatujawai jiuliza, au kama tumekwishawai jiuliza tukakosa jibu, naomba niliwasilishe kwenu leo; Hebu fikiria Dunia bila wanawake ingekuaje?[/QUO



sijui dunia ingekuwaje kabisa........
 
Women ooooooghhhh... their are our mother,sisters, aunts, wives and so on........the world could be blue, green or red withough them....and hiyo isingeitwa dunia ingekuwa something ealse
 
Back
Top Bottom